Eneo lenye ukubwa wa heka 45 linauzwa eneo lipo mkoa wa pwani vigwaza visezi barabara ya kuelekea bandari kavu eneo ni zuli kwa kujenga yard gereji na Mambo mengine bei kwa kila heka moja mil 3 tu...
Natumai muwazima wa afya .Kuna wakati/ama umri ambao kuna jambo unaona ungelifanyaga lingekusaidia zaidi mbelini ama kukuweka fiti kiuchumi .Ulifikiria jambo gana? ukiwa na umri kati ya miaka...
Habari wana Jamiiforums,
Nauliza, Hivi utaratibu wa kupata bank account kwa jina la biashara yako upoje kwa upande wa Zanzibar?
Na hii sio kampuni bali ni Business Name.
Wanaojua naomba msaada...
Bunge la Uganda limelaani azimio la bunge la Umoja wa Ulaya linalozitaka Uganda na Tanzania kusitisha maendeleo ya miradi yao ya mafuta na gesi katika ukanda wa Afrika Mashariki.
Katika kikao cha...
watanzania tukisikia unatajirika haraka basi wote tunakuja haraka utazani wakimbizi.
sio watu waliopoteza pesa kwenye forex tu hata haya mzungumzi na kujifanya wakimya.
kama...
Hisense smart 4k inch 55 iko creen inafaa kwa matumizii ya kuonesha banda la mpira au pia nyumbn beii million 1.1 ni check tumalizane location mbagara kijichi 0685 809 502
Nisaidieni ushauri wana jamiiforum, nataka pembezoni mwa mji zaidi.
Ningependa nianze biashara ya Hardware ila changamoto ni eneo lenye ujenzi wa kasi zaidi na upungufu wa Hardware shops
Je...
Niseme tu ukweli, upepo wa Forex ulivoingia Tanzania na mimi sikuwa nyuma. Nilijitoa na mimi kimasomaso kuisaka fursa.
Kwa takribani miaka 3 kwenye game la Forex, imekuwa ni miaka ya kujifunza...
NMB BANK PLC LEO
Namshukuru Mungu siku ya leo nimeshiriki shughuli ya uzinduzi wa huduma mpya tatu za bank yetu pendwa Nmb bank Plc katika ukumbi wa Hyatt Regency Dar es salaam,The Kilimanjaro...
ZOEZI LA UTOAJI/UUZAJI VIWANJA KWA MNADA
Ukubwa wa kiwanja:600SQM yaani 20 kwa 30m
Eneo la Mradi:LUGOBA.
BEI ya kiwanja 230000
ZINGATIA
[emoji1428]Hati zitatolewa siku hiyo hiyo na uongozi wa...
Kuna suala limetrend sana kwenye mitandao ya kijamii kuhusu wizi wa vifaa vya magari.
Unakuta umepaki gari lako usiku ukija asubuhi unakuta show yote ya mbele hakuna, taa zimetolewa..wakiweza...
Samahanii naitaji kujuwa beii za jumla za simu ndogo na cover za simu kwa beii ya jumla na redio speaker za bluetooth zile ndogo kwa beii ya jumla pia na headphones kwa beii ya jumla nasubirii...
Kampuni ya Vodacom Tanzania imetangaza kumteua Ndg. Philip Besimire kuwa Mkurugenzi Mtendaji mpya kuanzia Oktoba 25, 2022.
Philip anajiunga kutokea kampuni ya MTN ya Afrika Kusini, alipokuwa na...
Habari wana jukwaa, ndugu zangu nipo Morogoro nina ukwaju mwingi, kama kuna mtu anajua soko lilipo au aniunganishe na masoko. Natanguliza shukrani zangu[emoji120][emoji120][emoji120] Namba zangu...
Wakuu
Kuna kitu hapa natamani tujaribu kujadiliana kwa pamoja juu ya hii biashara ambayo imeonekana kuacha watu wengi na maswali huku watu wengi pia wakiwa na majibu.
Tujadiliane kuhusu biashara...
Wauza magenge hasa wauza dagaa kuna kero huwa mnanipa sijui ndiyo mnawahi muda au ubize. Kitendo cha kupima dagaa au samaki waliokaangwa kwa mkono ambao haujavaa chochote au haujatumia kitu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.