Habari za kazi wapendwa wote wana JF.
Ninaamini hapa kuna wazoefu wengi wa masuala ya biashara au Idea yoyote ya HARDWARE.Ninampango wa kuanzisha biashara hii ya hardware(vifaa vya ujenzi na...
Siri 3 Usizozijua za Social Media Marketing[emoji33]
Je,Unatamani Kufanikiwa Ktk Kutangaza na Kuikuza Biashara yako Mtandaoni?
Basi Tumia Siri hizi 3 ambazo Wafanya Biashara wengi Wanazipuuzia...
Habari wadau!
Naomba ushauri wenu nina mataji wa Milion 2 nataka kuanzisha duka dogo la vipozi kwenye hiyo million 2 ndo itagaramikia vifuatavyo-:
Eneo la biashara
Kodi ya frame kwa miez6
Shelf...
Salaam wakuu
Naomba kujua makadirio ya gharama za kupata kibali kuweza kusafirisha cereals kwenda nje ya nchi.
Je ni gharama gani naweza kuingia katika kufuatilia suala hili.
Kama Kuna mtu...
Hivi unakumbuka ulivyokuwa mdogo ndoto yako ilikuwa ipi....?? Kumbuka ulivyokuwa mdogo ulikuwa unamwambia mama au baba nikiwa mkubwa nataka kuwa DR au Mwanajeshi au Mwanasiasa au Mwandishi wa...
Kuna wateja ukiwaandikia bei yoyote hawajawahi kubisha. Wao huiitaji jumla tu walipie.
Wateja wengi vijana wenye hela hawapendezi sana. Wengi huvaa kawaida. Ukiona ameng'aa sana jua hamna hela...
Habari za muda huu!
Niko kwenye eneo linalozalisha zao la dengu na miezi ya mavuno imekaribia. Nimevutiwa na kufanya biashara ya kununua dengu kutoka kwa wakulima moja kwa moja.
Ninaomba kwa...
Kama kichwa cha habari hapo juu mwenye ujuzi na haya mdini soko lake likoje na mnunuaji pia ni nani na yanauzwa kwa tone au kg? Karibuni wenye ujuzi na kutoa darasa
Habari wakuu,
Mimi ni kijana mpambanaji, ndio naanza maisha ya utafutaji wa ridhki kiukweli sina asseti yeyote ya maana labda kitanda, godoro, feni na pasi ndo nilivyonavyo.
Naomba kuuliza kuwa...
Habari
Nimewaza kuanza biashara ya kuuza mboga ya kisamvu
Naombeni mawazo yenu juu ya changamoto zabiashara hii,..mfano kujua tofauti ya kisamvu na kisamvu-mpira, uhifadhi wa kisamvu...
Wakuu habari za sasa hivi.
Naomba kufahamu wapi pa kuanzia ikiwa nataka kufungua microfinance, na je, kuna kima cha chini cha kuanzia kwa mjibu wa sheria?
Majanga yatokanayo na hiyo biashara ni...
Habari zenu wakuu,
Najua fika kua jukwaa hili limejaa watu werevu na wenye uzoefu tofaut tofaut kwenye sekta ya ujasiriamali, hivyo ndugu zanguni nimekuja kuomba mawazo yenu ili niwezepata...
Wadau naomba msaada wenu kidogo kwenye hii biashara ya malori ya kubeba mchanga na kokoto , hesabu kwa siku kwa lorry la tonne 7, 18 na 32 ni kiasi gani ? Katika hayo yapi yana demand sana ...
Habari wana jf
Natamani sana kufanya biashara yoyote ile ambayo itakua hivi, kwa mfano: unaichukua biashara bongo unaipeleka iwe Congo, Zambia, Zimbabwe, Malawi, kisha unaichukua huko biashara...
Wadau nimenunua mitambo ya kuanza kuzalisha maji ya kunywa (used), nimepanga kuanza kutengeneza maji ya kunywa na kuyauza.
Nahitaji wadau wabobezi wanishauri hatua za kuanza biashara hii, pia kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.