Natafuta mtu anayehitaji kujifunza+kuwa dalali wa
-nyumba
-viwanja na
-magari
SIFA KUU
-awe mkazi wa dodoma mjini
ITAPENDEZA ZAIDI MWENYE
-piki piki yake hata kama ana gari ndogo kwaajili ya...
Jaman habari, nilikuwa naomba ushauri kidogo kuhusu mada hiyo hapo juu. Nataka niwe nawatengeneza wadada kucha kope na kubana nywele, mimi ni mdada nina huo ujuzi na watu wengi hili eneo nikija...
Bidhaa za Afrika kama vile kahawa ya Ethiopia, divai ya Afrika Kusini, maparachichi ya Kenya, n.k. zinatangazwa kwenye Maonyesho ya kimataifa ya Uagizaji bidhaa ya China (CIIE).
maparachichi ya...
Vijana wenzangu tusikate tamaa tuongeze juhudi, maarifa, na kumtegemea Mungu kwa sana kila kitu kinawezekana chini ya jua[emoji3508].
Wengi wao walio fanikiwa hawakukata tamaa walikutana na...
Tukio la ajali ya ndege Bukoba la jana linafanana sana na tukio la ndege aina ya Douglas DC-3C iliyotokea katika uwanja wa Kilwa Masoko Airport (KIY) mwaka 1964. Ndege hiyo ilikuwa ikitokea...
Kichwa cha habari kinaongea hapo juu,
Wiki mbili zimepita ambapo wakulima waligoma kuuza mazao yao kutokana na madai ya kwamba bei haikuwa rafiki kwa wakulima hao.
Hali hii imepelekea wanunuzi...
Wadau
Naomba kujua ukweli kuhusu biashara ya Vanilla ambayo inatangazwa sana na jamaa wa Vanilla International wa Vanilla Village wa kule Njombe.
Kwa mahesabu ambayo wamenipa naona faida yake...
Hello wadau!!
Changamoto zozote unazozipata katika shughuli zako za Kila siku usizichukulie kama matatizo Bali ni sehemu ya kukufanya kuzidi kuwa Bora maradufu ya ulivyokuwa.
Straight to the...
Wazoefu tufahamishane yafuatayo kuhusu biashara ya asali mbichi:
Ipi njia ya kuifahamu asali nzuri?
Upatikanaji wa asali, wapi inapatikana nzuri na kwa wingi? Bei ya kununua kwa mzalishaji sh...
SIO habari tena kwamba Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Cochin, mojawapo ya viwanja vya Ndege vyenye shughuli nyingi zaidi nchini India na kwa upande wa msongamano kimataifa, unatumia nishati ya...
Habarini wanajamvi, Ni matumaini yangu kuwa nyote mnaendelea vizuri.
Kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu mimi ni mdau mkubwa wa biashara ya samaki wabichi hawa na ninatamani sana...
Waheshimiwa,
Tangu nikadiriwe mwaka jana sijalipa kodi hata awamu moja.
Kiuhalisia nikienda kuomba ofisini kwao, ni lazima nipigwe penalty.
Ninazo debit numbers za awamu nne kutoka kwenye...
Hello wana JF,
Iatia hasira sana, tangu ni nunue his hiyo bank mwaka 2015 kwa tshs 500 mpaka leo haijawahi panda na zaidi inashuka leo hii ths 380 kwa hisa.
Naona hii bank itakuja ishia na...
Wakuu nataka kufanya biashara ya miwa ya kukata na kuweka kwenye vifuko. ko nlikua naomba kwa anaefahamu anijuze kama ntachukua vijana wa kuniuzia niwape mtaji na kokoteni kwa siku huwa wanaleta...
Kati ya Miki hii miwili (Riyadh Vs Jeddah) wapi Pana fursa za kibiashara? Hususani kuuza bidhaa za vyakula (nyama ya mbuzi, samaki toka Tanzania?) Mwenye uelewa naomba muongozo!
Yaani dah kipindi Cha nyuma ilikuwa ukiweka tangazo la kuuza kitu hapa JF hata nusu saa haipiti kitu kinachukuliwa
Lakini saivi hali imekuwa tofauti [emoji23][emoji23]
Mimi niliweka tangazo la...
Shirika la Ndege la Precision Air nchini Tanzania limeongeza idadi ya safari zake kati ya Dar es Salaam kwenda Hahaya-Anjouan Comoro hadi mara 3 kwa wiki ikiwa ni wito uliotolewa na Balozi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.