ASL ALKM Ndugu wana JF,
Kufungua guest house process yake iko vipi? yaani vibali, kodi za serikali nk
Je kuna limit ya vyumba, yaani hata kama nyumba ina vyumba viwili self-contained
yaweza kuwa...
Wengi wetu tukitaka kuanza biashara wazo la kwanza kabisa tunawaza faida!
Ndio ni faida mtu wangu!
Lakini kwa mfanyabiashara aliyekomaa kabla hajaanza biashara anafikiria kwanza ni kwa namna gani...
Wakuu kwema , natumaini mpo pouw , huku tukiendelea na msiba kdog mdogo.... Nimeona fursa sehemu ya kuweka depot Kwa ajili ya kuuza maji haya ya chupa Kwa bei ya jumla ..... Kwa wale wazoefu...
Hello wapendwa wa JF nilikuwa nauliza ni wapi kwa hapa Tanzania naweza pata mjasiriamali mdogo au kama ni kiwanda kinachotengeneza jam ya kwenye mkate tufanye biashara.
1. Find a higher paying job.
2. Ask for a raise or promotion at your current job.
3. Start a side hustle or business.
4. Invest in income-producing assets.
5. Look for new sources of income...
Wanajukwaa habari za muda huu!
Anataka kuhamia Kagera(muleba) kutoka Arusha mjini.
Ni mfanyakazi wa serikali mambo ya mifugo na uvuvi, Yeye anaona akienda huko atapata fursa nyingi zaidi...
Jamani naombeni ushauri nimekopa kwa watu binafsi na tasisi za kifedha paka sasa na Deni langu limepanda sana na kufika 7700000 milioni Saba na laki Saba
Mzigo dukani kwangu upo ila siyo mkubwa...
Habari wakuu,
Naomba kukutana kwa wadau wote wajasiriamali na wafanyabiashara wa vyuoni ili kujadiliana masuala mbalimbali kuhusiana na michongo ya pesa na fursa kibao za kibiashara.
As well as...
Salam zangu na zisambae kwenu nyote. Matumaini yangu mu buheri wa afya tele, na hata walioteteleka mwenyezi Mungu awajaalie wepesi wa kupona haraka.
Ahadi ni deni. Nami tangu nimeanza mbio zangu...
Panapo majaaliwa ya mwenyezi Mungu tumekutana tena kwenye kikao cha wapambanaji. Wakuu wa jukwaa hili hususani vijana nawasalimu kwa Salam adhimu ya mama yetu Samia Suluhu Hassan......
Bila...
Wakuu habari za jioni?
Samahanini kwa usumbufu nilikuwa naomba kujua mchanganuo wa hii biashara uko vipi? Je ni biashara ambayo bado inalipa au ishakuwa saturated?
Nauliza hivyo coz kuna jamaa...
Natafuta business partner wa kushilikiana nae kuchukua frame. Frame ina ukubwa wa 35sqm tunaweza kufanya partition au kufanya biashara zinazoendana pamoja . Mimi nataka kufungua ice cream parlor...
Habari wana JF,
Naomba nikili kuwa hali yangu kiuchumi sio nzuri, na hasa baada ya kuingia white house huyu mzee wa Geita. Naona mambo kama vile yamefungwa kwa makufuli yasiyofunguka.
Kwa kawaida...
Habari ya jumapili wakuu!
Kwa heshima zote naomba msaada nisaidiwe maeneo yanayouza vitu vifuatavyo kwa jumla Kariakoo
I. Viatu simple na slippers
ii. Nguo za ndani, yaani chupi, boxer night...
Kuna gari nnayo hapa sasa natafuta tenda za nyama au kubeba mboga mboga au vitu ambavyo vinahitaji friji na tenda iwe ya Kila siku au mwezi au hata alie na Connection ya kazi hizo tunaweza kuwa...
NB: Unaweza pia soma > Biashara za kufanya kwa mtaji mdogo wa elfu 10 mpaka 50
======
Ni muda sijaandika uzi katika jukwaa hili, nimepata msukumo leo baada ya kisa kilichotokea apa katikati na...
Niende moja kwa moja kwenye mada, mwezi wa 6, 2022 kuna jamaa aliniuzia gari Mkoa wa Mwanza (Crown 2010). Tukaandikishiana vizuri kabisa nikatoa hela nikapewa kadi, nikakamilisha taratibu kama...
Hello jmni naomba kujua maduka ambyo yapo Dubai ambayo yanauz vitu especially viatu, nguo mikoba kwa bei ya jumla nzuri ambayo naweza nikaagiza nakuleta dsm nakama kuna mahali wanauza mtumba grade...
Maada hii haihusiani na forex, kubeti, michezo ya upatu, n.k.
Dunia ya sasa imekuwa sana kiteknolojia hasa kwenye upande wa internet na kuna fursa zipo za kupiga hela za uhakika, Fursa hizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.