Habari WanaJamvi, Kuna ishu moja inanitatiza nataka kuuliza.
Hivi kwenye biashara tukisema "MTAJI" tunaamisha nini?
Ni hela ile inayozunguka tu katika biashara kwa mfano umenunua Mzigo wa laki...
Habari Ndugu Zangu Naimani Wote Ni Wazima Wa Afya.🙏
Ndugu Zangu Nimepata Wazo La Kufanya Biashara Ya Library Yani Kuban Movies Kwa empty CD Na Music Pia Kuuza Flash Na Memory Card Pia Kuuza...
Wakuu habari
Baada ya kutafakari kwa muda nimeona nijaribu forex trade, ndio inaweza kuniletea uhuru kamili, ambao nimekuwa nikiusaka tangu nizaliwe, kujiriwa niliacha kwa kukosa uhuru ila hata...
Kumekuwa na tabia ya ajabu ya biashara za aina flani kuibuka kibongo bongo na kuwa hyped ila ghafla zinakufa kibudu 😂! Hebu tuzitambue na tuelewane shida hasa huwa nini mbona hazi prosper kama...
Wakuu Wenzetu Waarabu na Wahindi Wanawaandaa Watoto Wao kuwa na uwezo wa ku manage Biashara kubwa kama hii ya mabus wakiwa vijana wadogo.
Huyu Anaitwa Amran Ally Mohamed Said au Amran Kifaru ndio...
Hii ni ofisi ya wanaochimba mgodi wa utajiri kwenye Forex. Yale mambo ya ma Bitcoin, na kadhalika, ku trade na kila aina ya utajiri rahisi ndio hapa training centre yao, namna ya kuupata utajiri...
Kwa wale wenye malengo yakuja kumiliki taasisi za kifedha n.k au ulisoma 'economics & investment' au 'Finance and investment' na hujui wapi pa kuitumia taaluma yako; huu ni uwanja wako.
Lakini...
Wakuu habari za mida hii.?
Naamini kuna nguvu ya mapinduzi kutoka kwenye mawazo za watu (ideas)
"Wazo" Mungu akasema na tumfanye mtu kwa sura na mfano wetu " vyote tuvionavyo vimetokana na...
TANZANIA imekuwa kiungo muhimu kwanchi zisizokuwa na bandari katika ukanda wa Afrika mashariki na kati.
Bandari zake za Dar es Salaam, Tanga naMtwara zimekuwa lango muhimu la bidhaa na biashara...
Mimi ni wakala mpya wa Airtel Money, nilikuwa naomba msaada wa kuelekezwa jinsi ya kutoa hela kwa njia ya meseji, pale mteja anapokuja na kuomba kutoa pesa akiwa amepewa pin ya siri ili atoe pesa...
Habari ndugu zangu.
Baada ya kusikia habari kutoka serikalini kuwa na madalali wanatakiwa kuwa na leseni ya biashara ya udalali ndio utakuwa unafanya shughuli zako kihalali.
Nimeona fursa hapo...
Habarini wapendwa..
Naishi Sinza Mori..
Nje ya nyumba yetu tuna Fremu, 5 ila moja ipo tupu.. Nilikuwa nataka kusafiri, nikawaza nikodishe nikirudi baada ya miaka 2nianze upya..
Lakini.. nimewaza...
Kuna mambo kadhaa nahitaji kufahamu kutoka kwa Wajuzi wa hizi kazi.
Nimeonesha nia ya kutaka kuuza hisa nikapatiwa orodha ya Madalali, sasa nipo njiapanda nitumie kigezo gani kuchagua Dalali...
Wadau, ningependa kujua biashara ya kukusanya chupa za plastic zilizotumika kwa kuwa nimeona kuna fursa katika mkoa niliopo. Dar imekuwa dili sana naona watu wanabeba mizigo mikubwa ya machupa...
PESA NJE YA AJIRA.
Wapo watu wengi ambao wanashindwa kufanya biashara japokuwa wana mitaji ya kutosha na hii inatokana na sababu ya kwamba wanakuwa wametingwa na ajira zao.Pale wanapojaribu...
Nilikuwa na wazo la kufungua library ya muvi ambapo nitakuwa nauza cd pamoja na kuweka nyimbo kwenye simu nakutoa huduma zingine kama vile kuwaunganisha watu Facebook, WhatsApp, Instagram n.k...
Kama Uzi unavyosema hapo
Naishi Dar es Salaam. Nataka kupata uzoefu ambao utanisaidia na utasaidia kwa watakaofuatilia Uzi huu, kuhusu biashara hii kwa ambao walishaifanya na hata kwa wenye uelewa...
Umuofia kwenu.
Mimi ni muajiriwa wa serikali katika mkoa huu wetu Dsm, kutokana na changamoto za usafiri nimeona nijiongeze hata na tuk tuk kwanza, hivyo basi kama kuna kampuni inakopesha naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.