Kwa hapa Dar es salaam kuna mzunguko mkubwa sana wa watu kwa 800,000 maeneo ya Mbagala naweza fanya biashara gani ninaweza kuingiza walau 20k au 15k faida kwa siku?
Ushauri wenu please guyz
Wakuu,
Nataka nianze kuuza ugali na dagaa mchele wale wa kukaanga, nitaweka na kachumbari kunogesha au mboga za majani.
Nimefikiria ugali na nyama ya kukaanga lakini nimeona itanikost sana...
Habari za humu wanajukwaa
Naomba kuuliza kwa wale wazoefu wa kununua bidhaa mbali mbali online hasa ALIEXPRESS je maana sijawah kuagiza kwenye platform hii mm huwa natumia KIKUU kuagiza vitu...
Naomba kufahamu kama kuna uwezekano wa benki kuwezesha biashara ambayo ndiyo inaanza kwa namna ya wao kama benki kutumia mkataba wa makubaliano ya kibiashara kati ya kampuni yangu na ya China...
Habari wana JF,
Ninaomba kupata mawazo au majibu ya swali hili. Ninawazo la kujenga jengo dogo la biashara mkoa mmoja hapa Tanzania. Nina eneo tayari kikwazo ni fedha na option iliyopo ni mkopo...
Ndege ya shirika la ndege la Uholanzi (Royal Dutch Airlines, KLM) Boeing 777 ikishusha abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) muda mchache baada ya kutua uwanjani hapo leo...
Kama mtu yeyote anayefanya biashara ya umachinga stand ya mabasi ya Mbezi mwisho? Naomba kujua utaratibu upoje, muda mzuri wa kuanza umachinga ni saangapi?
Natanguliza shukrani. [emoji120]
Inawezekana kabisa siku ambayo ulifungua akaunti yako ya Facebook, Instagram au hata WhatsApp ulikuwa na lengo na kuchati na washikaji, ndugu na watu wengine wengi.
Hukufikiria kuhusu kutengeneza...
SMS MARKETING STRATEGY
(Mkakati wa masoko ya ujumbe mfupi)
SMS Marketing ni Tanzu ya masoko yakidigitali ambayo hutumia ujumbe mfupi(kwenye simu) kufikisha ujumbe kwa wateja au wahitaji wa huduma...
Habari za leo wadau!
Husika na kichwa cha nyuzi hapo juu.
Naomba kujua kwa hapa Dar es Salaam - Kariakoo Ni Sehemu gani naweza kupata vyombo vya nyumbani kwa bei ya jumla ya chini.
Nahitaji...
Uwekezaji unao fanywa na asilimia kubwa ya sisi Watanzania haitupi kuweza kushindana huko Duniani na mataifa mengine.
Tumekuwa na aina za uwekezaji ambazo sana ni kwa ajili ya Familia zetu na sio...
Poleni na majukumu kuna rafiki yangu amenipa hii habari ni kama sijaamini vile ina maana kuna utapeli mpya mjini au ni hivi nasikia 80% ya mizigo inayoingizwa na hawa wafanyabishara inaagizwa na...
Habari za wakati huu ndugu,
Wengi tunafahamu kuhusu Mikopo, kuna wanaokopa vyakula dukani kwa mangi, kuna wanaokopa mikopo ya mishahara, magari, nyumba au hata biashara katika benki na taasisi...
Greetings JF massive!
Karibu tena katika darasa la leo ambapo leo ni siku mahususi kwaajili ya biginners wanaotaka kuanza kufanya kazi kama Online freelancer lakini hawafahamu Online freelancer...
Habari zenu wanajamii forum!
Kama kichwa cha habari kilivyo nipo hapa kuisaidia umma Wa watanzania kuhusiana na biashara hizi ambazo zimeibuka ivi karibuni kwetu huku lakini ila huko nje ni...
Kila Mmoja anafahamu kuwa msimu wa siku watu hununua mahitaji mbalimbali. Naomba tusaidiane. Ni biasahra gani ya msimu huu wa siku mtu anaweza kufanya?
Tanzanian fintech startup NALA has raised US$10 million in funding as it plans aggressive expansion across Africa in 2022.
A past winner of the Ecobank Fintech Challenge and Seedstars Tanzania...
Toleo la TECNO CAMON 19 ambalo lililozinduliwa rasmi katika soko la Tanzania mapema mwezi Julai, ni mahususi kwa ajili ya wadau wa mitindo ili kuondokana na changamoto mbalimbali zinazohusishwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.