Kama unajijua una pesa za mawazo nakushaur usije ukathubutu kuziweka pesa zako bank eti kuzihifadhi utakuja kujuta, hali ni mbaya Sana serikali inakwapua pesa za walalahoi bila chembe YA Huruma...
Serikali inapoendelea kukopa, jamii inaathirika vipi? Je, waziri wa fedha yuko sawa sawa kujitokeza adharani, na kukiri kuwa wataendelea kukopa na hakuna atakaeathirika?
Mchango wangu kuhusu hii...
Ni takribani siku moja sasa toka nifungue kibanda umiza maeneo ya hapa kijijini japo sio kijijini sana ambacho nilikipa jina la "VPN ARENA"
Nimeweka both dstv na azam bila kuchelewa nikarusha...
Unajua kuna msemo unasema ndege mjanja hunasa kwenye tundu bovu, ndio graduates wengi ambao hatuna kazi tunapitia hiyo hali yaani hatuna haki kabisa, now tumekuwa jalala la matusi sii la Saba, fm4...
Wanasema mjini akili. Miaka kadhaa nilikuwa napambana kukuza mtaji kwa kukopesha watu kuanzia elfu ishirini mpaka elfu hamsini kwa marejesho ya kila siku.
Pale Kariakoo kuna watu hawana mtaji ila...
Habarini wana JF,
Juzi kuna jambo limenitafakarisha sana nmeenda dukani haya maduka ya bidhaa za rejareja ni barabaran kuna maduka kadhaa na kuna banda la chips na salon.
Nmefika kwanza nmemkuta...
Habari JF,
Kuna mkopo nimechukua bank fulani hapa nchini, marejesho yake ni kwa wiki, muda niliopewa ni miezi 18.
Je, nitumie njia gani kutunza kumbukumhu ili ukifika muda wa kumaliza mkopo...
USIACHE AJIRA KABLA YA KUJITATHIMINI KWANZA: hapa namaanisha ujiulize je ajira yako inakupa furaha au inakukera na unaenda tu ili uweze kukidhi mahitaji yako ? na je ukijitathimini ukiwa uzeeni...
Heshima mbele,
Natambua kuwa, JF kuna wataalamu na wenye uzoefu mbalimbali. Naomba ushauri namna ya kuanzisha biashara hii.
Natanguliza shukurani
Sawa ngoja nijaribu maana mimi si mtaalamu wa...
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akifanya mazungumzo na Mwenyekiti na Afisa Mtendaji Mkuu wa Visa International, Alfred Kelly kuhusu ushirikiano baina ya taasisi...
Salam wajomba na mashangazi,
Kumekuwa na tabia ya watu kutaka kuumwambfy ujasiriamali/biashara na kuufanya uonekane ni bora zaidi mara elfu moja ya ajira lakini ukichunguza kwa makini...
: Mteja ni nani? Mteja ni mtu yeyote anayenunua bidhaa au huduma inayotolewa na biashara fulani. Mteja ni mtu muhimu sana katika biashara yoyote. Lengo la kuanzisha biashara ni kupata wateja...
Habari za leo!
Napenda leo tuangazie makala hii juu ya taratibu za kufunga kampuni ya biashara hata kama imekuwa katika shughuli za kibiashara kwa miaka mingi
Wafanyabiasha wengi hupenda kufanya...
Jamani naomba kuwaletea ukweli huu: makaa ya mawe ndiyo nishati inayoongoza duniani kwa kutoa umeme hasa katika nchi zilizoendelea ikifuatiwa na hizi zingine za nyuklia, maji na hata non...
Habari wakuu, nataka nianze rasmi biashara ya kufata kaa na kuja kuwauza hapa jijini Dar
Nimefanya utafiti wa kutosha kuhusu upatikanaji wake wanapatikana hasa Mtwara, Lindi na sehemu za karibu...
Biashara ambayo faida ni ndogo kuliko matumizi ni biashara yenye afya?
Mfano ukifanya mauzo, zaidi ya asilimia 60 hadi 70 inaenda kwenye matumizi kama maligafi n.k, na hakuna uwezekano wa...
Habari za jioni wakuu. Nijielekeze Moja kwa moja kwenye topic.
Haiitaji kuwa msomi kuelewa ukifanikiwa kipesa maishani ni jambo litakalokusaidia kufurahia maisha na kupunguza sana stress za...
Biashara hazijawahi kuisha chini ya jua ni vile tu unavyoamua kuchukulia mambo na kujichukulia wewe upo vipi,leo nataka nimsaidie mtu mmoja mahali flani kuichambua hii biashara ili kama alikua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.