Niliondoka geita miaka miwili iliyopita, pakiwa ni pakawaida sana, lakini baada ya miaka miwili nimekuta gorofa za kutosha, nyumba za maana, mitaa ina lami, watu wanadrive ndinga kali kali, yani...
New update . . . . 25.12.2022
Merry Christmas and Happy New Year 2023.
Umewahi kusikia kuhusu CMC Marketplace?
.
.
CMC Marketplace ni mfumo wa Soko la kutegemeana kwa wale wanaoamini kufanikiwa...
Ukisema bei halisi utaona Mtanzania kubagain ni bora useme bei kubwa tu. Halafu kuna katabia siku hizi mtu anakuomba bei jumla hata kitu kimoja unataka bei ya jumla umeona wapi.
Maisha ya zamani...
Habari Wana JF,
Mimi ni mwanabiashara kutoka Nairobi, Kenya. Ninafanya biashara katika sekta za Ujenzi na Real Estate.
Katika pilka pilka za kibiashara, nimekuja kuugundua mji wa Mafinga. Mji wa...
Habari,
Kama inavyojulikana mkoa wa Dar es Salaam ndio mkoa mkubwa kwa biashara.ukianzisha biashara yoyote inatoka ila kuna kuzidiana.
Thread hii ni ya kusuggest biashara zinazotoka sana na...
Habari wana JF
Nimekaa nikawaza biashara ya kuuza gesi kwa kupima kutokana na kiwango cha pesa mtu alichonacho.
Kutokana na maisha kuwa magum mtaani sometimes unakuta mtu ameishiwa gesi kwenda...
Unapofanya uamuzi wa kuanza biashara yeyote unahitaji kujitengenezea kipato kizuri.
kwa kuzingatia ubora na utofauti wa bidhaa unazoziuza. Unaweza ukapata wateja wengi na biashara yako ikakuwa...
Habar wana JF?
Msingi mkubwa wakufanikiwa katika maisha nikuweka akiba.
Kipindi nipo Shule nilikua na-save kiasi cha pesa ninacho pewa kwaajili ya matumizi ya shule kila siku nyumbani nilikua...
Salaam nyingi sana wana JF,
Ni ukweli uliowazi kwamba, kadri miaka inavyozidi kusonga mbele, teknolojia nayo inakua kwa kasi sana, mitandao ya kijamii nayo inashika kasi kuendana na mabadiliko...
Adje wakuu? Aliyewahi agiza gari china na ikafikaaa kupitia Alibaba.com anipatie mrejesho na utaratibu mzima mzima upoje, nipo kwenye mazungumzo ya mwisho na Muuzaji
Mwaka unaisha leo ndio tunafunga Nov kesho ndio 1st Dec zinabaki siku tu sio mwezi tena wala miezi tufunge 2022 and if God wish ikimpendeza tuingie 2023 tukiwa na Mipango na mikakati mipya ya...
Habari wadau wa biashara na ujasiliamali.
Labda nitangaze interest. Nimefungua biashara yangu ambayo inahitaji sana kupokea malipo ya awali kabla ya kutoa huduma na nikaifikiria PayPal.
Katika...
Habarini wakuu
Ni mfanyabiashara na mwajiriwa wa kampuni moja ya mawasiliano Tanzania.
Nina shida na million 6 kwa marejesho ya kuanzia miezi 10.
Naamini baadhi yetu ni wazoefu wa mikopo. Wapi...
Habari wana jamii forums
Kuna baadhi ya watu wanaifanya fx industry kuonekana kama ni kitu scam,kumbe ni wajinga baadhi ambao ni walala hoi wanaifanya hii game ionekane ni wizi,wanajifanya ni...
Wakuu mimi nakiri mimi ni mzoefu kiasi katika kuagiza bidhaa mtandaoni ila hii kwangu ni ngeni.
Nimeagiza vitu kadhaa vimekuja na tracking namba inayoanzia na TZ001, Posta wenyewe nimeenda...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.