Guest yangu iliyopo Ukonga Dsm mapato umefika sana. Kila nikihoji naambiwa hakuna wateja kitu ambayo usiamini. Naambiwa kuna tea bulb ambazo ni camera unaweza unanishiwa kwenye simu yako unaona...
Wadau wote wa jukwaa la uchumi, wapambanaji wote, waumini wote wa kesho bora, wafuasi wa mawazo chanya, timu ya JF na wadau wengine , kwa niamba ya film Evigt_water tunawatakia christmas njema na...
Rejea hapo juu mimi nimeamua kujihusisha na kuagiza bidhaa kwa jumla kwa wastani ambao si zaidi ya piece 50 kwenye product ndogondogo kama saa,usb n.k.
Naomba kujuzwa suala la shipping katika...
Habari wanaJF.
Mimi nimenufaika na mkopo kutoka benki fulani...sasa marejesho yako ni 16000/= kwa siku ni kwa muda wa miezi 18.
Ila biashara nayofanya kwa siku ninaweza kupata 20000/= ambayo...
Miti hii inauzwa pamoja na shamba Ina ukubwa wa hekta kumi+
Kuna miti iliyofikia umri wa kupasua au unaweza subiri miaka miwili
Mawasiliano piga +255623496947
Licha ya Serikali kuagiza vifaranga vya kuku 62,730 wa mayai vilivyoingizwa nchini virudishwe Ubelgiji, inadaiwa hadi sasa bado havijaondolewa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere...
Habari za jioni wadau? Nina mengi ya kushare nanyi kuhusu safari yangu ya kutafuta maisha ndani ya mkoa wa Kagera niliyoianza mwezi wa nane mwaka huu 2022. Ila kwa ufupi naomba niseme tu kuwa...
Kutokana na hali kubana (hela kuwa ngumu) wateja wa kona baa Afrika Sana kwenye biashara pendwa wamesambaratika na wamebaki kutumia sabuni na mikono ili kuendana na kasi. Hongera Hongera sana
Mimi ni kijana nliehitim chuo mwaka huu nmeamua nijiajiri kuuza chips biashara hii nataka nikaifanyie Morogoro coz maisha yangu nataka nikaishi huko.
Naomben USHAURI kwa wazoefu na wenyeji wa...
habar wanajamvi, Tumefikia 99.54576788887% kuumalza mwak , Tuombean afya njema sasa na baadae tukiwa hai
Nauhitaji wa pikpk tvs 150cc Hlx /used sina ela ya kununua mpya hilo ndilo chaguo langu...
Leo nimekaa nikaanza kutafakari hili, nikajiuliza mtu anafungua kiwanda cha kutengeneza viberiti, analipa wafanyakazi, analipa kodi ya serikali pamoja na vitu vyengine, ananunua materials...
Nimefanya manunuzi ya simu NOKIA mwezi mmoja uliopita na taarifa ikaja kama IN TRANSIT na ikajiandika namba moja kwenye andishi kwa maana ya idadi ya order niliyoifanya ila baada kama ya wiki...
Habari,
Je, unaweza nishauri nifanye kitu gani naweza pata angalau 300,000 ndani ya muda sio mrefu sana?
Nahitaji kuanzisha biashara ndogo ntayoimudu maana nahisi kuchokwa nyumbani. Umri unaenda...
Habarini wajameni, kuna mtu humu ashawahi kununua bidhaa aliexpress halafu zikatumwa kupitia speedaf?
Mbona naona kama wanazingua? Maana nimeagiza mzigo wamekaa nao sipigiwi simu wala nini...
Mkesha !!! Mkesha !!! Kutakuwa na mkesha mkubwa wa kufurahi na kumshukuru Mungu ktk viwanja vipya vya Family n Fun swimmingpools… njoo wewe na familia yako ule ufurahi na kumshukuru Mungu kwa...
Wana jf natumain wote ni wazima mimi nina langu leo nataka ushaur wa kufikilika nina mill5 nataka nianzishe biashara na biashara ya kwanza nmeifikilia n kununua bajaji na kuwa dereva mwenye lakin...
Habari wakuu!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu. Mimi ni kijana wa miaka 25, naishi Mafinga-Iringa (na ndiyo nyumbani) nilipozaliwa.
Sasa baada ya kuhitimu chuo miaka miwili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.