Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

COPY and PASTE from HILARY MBONDE [http://1] Watu wengi wamekuwa wakiangaika hama kuwauliza watu wao wa karibu ni biashara gani afanye au ukimuuliza ni biashara gani unataka kufanya atakuambia...
8 Reactions
30 Replies
23K Views
Wakati taifa letu likiwa katika usingizi mzito usiokuwa na njozi, "Muungano wa Falme za Kiarabu" (UAE) walianzisha mpango wa mda mrefu wa kuwa na mbuga za kisasa mfano wa mbuga za Tanzania, na...
2 Reactions
23 Replies
3K Views
Wadau wa kilimo nchini wana kilio kikubwa sana baada ya kutapeliwa mabilioni ya shilingi na kampuni ya Jatu Plc ambayo imeendesha pyramid scheme tangu 2019. Kampuni hii imekuwa ikitangaza kama...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habar wana jf naomba msaada wa taasisi zinazohusika kutoa mikopo kwa waajiriwa au hta wafanya biashara Ziwe ni taasisi zilizosajiliwa maana huku mitandaon kuna taasis nyingi za utapeli
1 Reactions
1 Replies
402 Views
Nawasalimu Kwa jina la muungano wana JF wote Kifupi nisikuchoshe wala tusichoshane nitaenda moja Kwa moja kwenye maada kama kichwa kinavyoeleza Mtanisamehe Kwa uandishi wangu Mimi sio muandishi...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu habari, Nini kipo kwenye huu mfumo wa TRA? Yaani system imekua mbovu kwa miezi sasa. Naombeni solution nyie mnafanyaje kufaili returns zenu?
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakati Tanzania Iphone ni kama Lulu, wanawake wanahongwa iphone haijalishi ni mdogo au mkubwa ila wanafuraha sana na kutamba wanatumia "latest Iphone" Wenzetu unapewa simu unalipa $15 kwa mwezi...
0 Reactions
10 Replies
679 Views
Salamu wakuu. Mambo yasiwe mengi, nipo sehemu napata kilaji huku nikicheki mechi ya Yanga na Azam live. Ee bwana meza zimechafuka beer kila pande watu wanamwagilia moyo ndipo wazo likaja...
1 Reactions
8 Replies
608 Views
Habari za wakati huu wapendwa. Naomba kufahamu Bei halisi ya ununuzi wa gunia za Mahindi, mchele, maharage. Pia gharama za usafirishaji kutoka mikoa mbali mbali Nchini Tanzania 🇹🇿 Asante.
0 Reactions
2 Replies
933 Views
Msaada, kwa hapa Dar ni wapi nitapata poda au unga wa galatini?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mimi mtu akiniambia anataka kufungua bar na mshangaa sana. Biashara ya bar ina mambo ya giza giza sana na usipokuwa makini pepo unaweza kuisikia. Biashara ya bar inaweza kukutajilisha gafla au...
2 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanandugu, naombeni msaada tafadhali. Mimi ni kijana mwenzenu nimebahatika kuchanga pesa zangu na nimefanikiwa kupata milioni moja na nusu; nataka kufungua biashara ya kuonesha mpira kwa jijini...
2 Reactions
634 Replies
231K Views
Kwa mara ya kwanza nilikuwa humu kuandika kuhusu biashara ya nafaka hasa mahindi sidhani kama ina miezi miwili, naifanya na naendelea kuifanya, ifikapo mwezi wa kumi nitaleta majibu lakini...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Nawasalimu katika jina la jamhuri, Naomba mwenye uelewa katika suala hili anisaidie, iko hivi mimi naishi moja ya mikoa ya kanda ya ziwa kuna rafiki yangu anaishi mkoa wa iringa, juzi alinipigia...
1 Reactions
7 Replies
599 Views
Samahani naomba ufafanuzi kuhusu kupokea bidhaa kutoka nje ya nchi,hatua za kufuata Ni zipi
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Jamani mimi huwa nakiuliza hivi iweje Tanzania kweli tunakosa shirika la ndege lenye ndege za kuruka sehemu ambazo kimsingi ni potential kwa biashara kama DUBAI, JOHANNESBURG, LAGOS/ACCRA ENTEBBE...
7 Reactions
109 Replies
11K Views
Starehe mnazipenda ila mwisho wake MBAYA. Wengi wameteketea kwa kuendekeza UMALAYA. Ishi vizuri, kula vizuri, fanya mazoezi na umrudie Muumba wako...
8 Reactions
38 Replies
2K Views
hakika hizi ndizo siri za utajiri matajiri wamekuwa wakizificha toka mda mrefu ambapo Mimi toka nikiwa na miaka Tisa(9)nimekuwa nikifatilia kwa ukaribu sana na kujiuliza maswali mengi kuwa kwanini...
7 Reactions
50 Replies
16K Views
Back
Top Bottom