Vfd ni mbadala wa efd machine ambayo imeizinishwa na tra na imepewa kibari cha kuhudumia wananchi
Ni rahisi kutumia na haina gharama unaeza toa risiti popote ulipo kidigital kwa njia ya simu...
KAMA KICHWA CHA UZI KINAVYOJIELEZA:
Karibu tuweze kushare fursa mbali mbali zinazopatikana nje ya mipaka ya nchi yetu ya TANZANIA.
Uzi huu ni maalumu kwa wote wenye roho nyeupe na mawazo chanya...
Wakuu habari
Mimi ni software engineer by profession, nimetengeza software na Application za simu kwa ajili ya hospitali, clinics na medical center) ni aina ya software ambayo inatumika...
Badilikeni watu wa mikoani yani mtu kitu kimoja unataka bei ya jumla.
Maana ya jumla ni mzigo mkubwa ambao unanunua kwenye duka la jumla sio la rejareja.
Hii tabia inazidi kukua sana
Nina pesa kiasi fulani.
Sitaki kufanya biashara wala kuziweka kwenye benki kwenye akaunti za kawaida za kutunza pesa.
Nimefuatilia benki kadhaa kwa nia ya kuweka "Fixed deposit" lakini riba zao...
Habari za wakati huu wana Jamii Forums, kheri ya mwaka mpya.
Naomba msaada wenu kujua sehemu ninayoweza kupata mtu anaechinja nguruwe na kuuza kwa bei angalau 5000tsh maana nahitaji na mimi...
Habari Mimi ni kijana nataka mjasiliamali nataka kuanzisha kiwanda kidogo cha kukoboa nafaka kwa garama nafuu sana naomba ushauri bei ya mota pamoja bei ya kinu cha kukoboa na kusaga na kifaa...
Tunatoa ofa ya punguzo la 60% katika usaidizi wa;
-Usajili wa Kampuni kwa Tsh 100,000
-Usajili wa jina la biashara kwa Tsh 10,000
-Kuupdate taarifa za Kampuni na kutuma returns BRELA kwa Tsh...
If you need this product call 0747744895 (Nahitaji watu seriously)
Product Description
Diameter of Inner Circle of Pressing; 10mm
Power; Different Model Different Power
Applicable; Peanut...
Naomba msaada kwenye hii sehemu baada ya kujaza nice class ambayo service yangu imo natakiwa kuweka nice class description
Ni zipi hizo?
Mfano nice class yangu Ni 42
Kwenye nice description...
Takwimu za Forbes zinaonyesha khali ya bwana Musk kuzidi kuwa tata ? Je, tuna yapi ya kujifunza regarding that this man is a legend who revolutionized rocket science?
Ni mwanafunzi wa chuo first year fulani hivi Dar, nina pesa laki 6 ambayo ninafikiria sana nifanye biashara ila wazo haliji yani.
Najua kuna ambao walianza chini labda wanaweza nishirikisha nini...
Habarini za wakati huu wana JF
Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu nina miaka takriban mitatu mtaani sjabahatika kupata ajira so nikawa najichanga changa kwenye mambo yangu nikapata kama 2.2 M...
Uzoefu wenu unahitaji upatikanaji wa vitambaa, zipu, nyuzi na vitu kama hivyo. Pia spear za bicycles upatikanaji na bei zake.
Tafadhali msaada waugwana
Habari ndugu wana JF
Nataka nianze biashara ya uuzaji wa dagaa lakini kwa kuwasafirisha nje ya nchi nikilenga Congo na Comoro.
Hivyo kama kuna watu humu wazoefu wa biashara hizi naomba msaada wa...
Wakuu habari zenu
Nina uhitaji wa mkopo wa haraka ili niweze kufanikisha biashara yangu na nisipoteze watena hivyo ninahuitaji wa haraka wa mkopo kiasi cha milioni 1.4 au 1.5 (milioni moja na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.