Mimi ni kijana mwenye umri wa 30 ninamtaji wa milion 8 .Nilikuwa naomba ushaur, muongozo na jinsi gani ya kufanya biashara ya nafaka kupeleka nije nchi .Asanteni
Habari wadau.
Nimeamua kununua bajaji ili kujikimu na maisha. Hapa nilipo Bajaji ni nyingi na biashara imekuwa ngumu mno. Vipi we ukwapi na biashara ya Bajaji imekaaje pande hizo? Nipo tayari...
Wakulungwa wenzangu
Baada ya hizi sikukuu za mwisho wa mwaka kupita nimefanikiwa ku-save cash kidogo.
Sasa nimekuwa nikifatilia changamoto mbali mbali za wafanyabiashara ndogo ni pamoja na...
Habari wana JF,
Nina ndugu yangu ana gari ya kubebea mizigo ya tani 7, amepaki tu nyumbani. Anaomba ushauri, anawezaje kutumia kwenye biashara ya kusafirisha mizigo ili apate kipato?
Kwa yeyote...
Tukiwa tume uanza mwaka mpya kampuni ya simu ya TECNO iliojizolea umaarufu hasa kwenye uuzaji wa simu janja zenye ubora kwa bei nafuu inatarajia kuzindua toleo jipya kwenye mtiririko wake wa simu...
Wakuu habari..
Nina ka ofisini , huu ni mwezi wa 3 tangu nianze hii biashara ya mayai.
Sasa kwenye hii frem niongeze bidhaa gani nyingine , ? inayo endana na hii ya mayai.
Sent from my Infinix...
Habari wakuu
Mimi ni mjasiliamali ninayeanza, niko na kampuni ya Madawa iliyosajiliwa na nyaraka zote zipo, na ninapatikana Dar es Salaam.
Kuja kwangu hapa ni kutafuta mtu ambaye atakua tayari...
Wengi huwa ni vijana wadogo tu wapo kwenye 20s hasa wahitimu wa degree na diploma.
ni tabaka tofauti na wauza simu wengine, wao hujitofautisha kwa kuuza simu zenye brand zinazotrend ulaya na...
Habari wakuu,
Katika harakati za kujikwamua kiuchumi zipo njia mbalimbali ambazo mtu anaweza kuzitumia ili kufikia malengo. Yaweza kuwa kwa kutumia jitihahad kubwa au kwa kwa kutumia maarifa ya...
Wakuu kheri ya mwaka mpya, Nakiri kua sisi tulio humu tunatofautiana maarifa pamoja na jicho la kuiona fursa.
Mimi hapa Naomba mwongozo, Nina account "page"Facebook inayo jihusisha na maudhuhi ya...
Habari..
Nimeamua niwe winga wa kuuza vitu online kariakoo.
Yaani mimi niwe napost kwa mitandao kutafuta wateja halafu nauza kwa bei ya Jumla.
Swali langu ni..
1. Je, ni Sehemu ipi kama...
Kamishna wa Sera wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Elijah Mwandumbya, akizungumza jijini Dodoma na wanahabari kuhusu Kongamano la kwanza la Kodi Kitaifa lenye lengo la kuongeza ushiriki wa wadau...
Nina kiwanja kikubwa chenye ukubwa zaidi ya sqm 1000 Dom maeneo ya msalato. Kiko plain, and few meters kutoka main road.
Kwa Sasa Sina nguvu ya kipesa kufanya project ya ujenzi.
Naombeni ushauri...
Habari wana JF,
Baada ya mihangaiko ya hapa na pale ya kutafuta chochote ilimradi mkono uingize kitu kinywani, nimejikuta najiuliza sana haya maswali kuhusu pesa ya Tanzania
- Je, ni kampuni...
Habari wanajamvi nimerudi tena hustler mkomavu.
Mwanzoni mwa mwaka niliweka nadhiri ya kutembeza biashara kutokana na mtaji kuwa finyu nilianza na mtaji wa 42,000 kwa kuwa baadhi ya vifaa...
Tangu mwaka 2017 tumekuwa tuki-export bidhaa zetu kwenda South Africa na India zaidi ambapo ilikuwa zaidi ya 10% ya exports zilienda katika nchi hizo. Huku nchi za falme za kiarabu zikipata chini...
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano ya Tanzania,
Kila ninapotembelea taasisi mbalimbali ambazo ili uhudumiwe unahitajika utoe utambulisho unakutana na vitambulisho vilivyosahaulika.
Hivi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.