Hamna biashara ambayo haina risk. Namna Bora kabisa ya kupunguza risk kwenye biashara ni kupata elimu, maarifa na taarifa sahihi kuhusiana na biashara unayotaka kuifanya.
Kuna namna nyingi za...
Biashara ya Nazi.
Habari zenu wakuuu
Naomba msaad wa maelekezo na ushauri wenu kuhusiana na biashara ya Nazi, Nazi nitakua nazitolea kilwa.
1. Naomba mnijuze kuhusu soko la Nazi jijini Dar es...
Wapendwa salaam! napenda kujuwa mtu anapokuwa na dhamana ya fedha za UTT mfano bond za 300m anaweza tumia hiyo Kama colleteral kwenye taasisi za fedha? au UTT inaweza ikakupesha kupitia dhamana hiyo?
Habari wakuu nina kaka yangu yuko usa anahitaji kunisafirishia computer aina ya imac 2017 inch 21 ila ajui ni njia gani atatumia kunisafirishia naomba njia au hata msaada unaoweza nifanikisha kaka...
Wakuu natumaini mko wazima.
Leo niko mbele yenu kuomba ushauri kuhusu biashara ya saluni ya kike. Mimi ni kijana wa kiume mjasiriamali na popote penye fursa huwa siogopi kujirushiamo ila najua...
Habari wanaJF,
Hali ya uchumi imekuwa ngumu kwa watanzania wengi. Naamini ili kupata maendeleo njia mojawapo n kujenga tabia ya kuweka akiba.
Hivyo nakaribisha mawazo tuweze kupata elimu/njia...
Habari wakubwa kwa Wadogo, Wababa kwa Wamama.
Husika na kichwa cha Habari hapo juu.
Nnatafuta Agent wa sigara za Dunhill kwa dar es salaam. Nnataka mzigo mkubwa kama cartoon 20. Kwa mawasiliano...
Wakuu habari zenu,
Nina mtaji wa milion 20, nataka kufanya biashara ya vipodozi au vinywaji pombe kali za jumla na rejareja, frame ipo msamvu karibia na stand ya msamvu, naombeni ushauri wenu wakuu
Ningependa kujifunza maana ya haya maneno katika uchumi;
1. Amana na hati fungani
2. Cryptocurrency
3. Pia, ni jinsi gani dhahabu inakuza/tunza thamani ya fedha
Ni mkaa kutoka Chunya kwenda popote Tanzania kwenye soko zuri zaidi. Preferably mkaa uje Dar es Salaam kwa sababu ndiko kwenye soko la uhakika na lenye bei nzuri zaidi.
Nimesajiliwa kuzalisha...
Habarini wana JF,
Naomba kujua jinsi ya kuanzisha kampuni ya tours. Nitakuwa tu na ofisi ila magari sina Nategemea kukodisha magari na kutia nembo ya hiyo kampuni tarajiwa. Ninaomba ABCD...
Habari za mwaka huu wa 2023, ni amtumani yangu kwamba katika safari yako ya upambanaji unaendelea kujipa moyo na kupambana kwa nguvu.Usikate tamaa.
Leo nataka nichongoze mada ndogo yenye ukubwa...
1. Wakati FTX wanafanya fundraising, Sam Bankman Fried (SBF) alichukua yeye binafsi kiasi cha dollar za kimarekani milioni 300 kati ya 420.69 zilizokusanywa kutoka kwa wawekezaji.
2. Mwezi wa...
Katika maisha ya biashara na Ujasiriamali hakuna kitu kizuri kama ukiwa na uhakika wa wateja kila siku, kuna furaha flani amaizing sana isiyoweza simulika.
Mtu ana simu ya ofisi ipo busy kila...
Naomba kujuzwa namna ya kufanya biashara ya nafaka, kufungua frem kuuza nafaka kama vile Michele, Unga, kunde, maharage nk
Nijue namna inavyofanywa, risk zake, naweza pata haswa wapi, mtaji...
Ndgu wanajamiiforams naombeni msaada wa kuelekezwa namna ya kufikisha viatu hivi katika soko la nchini Botswana kwani naamini kuna watu watanisaidia jinsi ya kuifikisha huko, na bei huko wananunua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.