Habari wa ndugu. Naulizia yard ambayo naweza kupata gari aina ya Totota Town Cruiser. Najua Toyota wanazo ila wanauza mpya na bei zao siziwezi.
Nawasilisha
Wakati naanza kufanya biashara ya maji wengi walinishangaa na kusema ona huyu mchaga anatuuzia maji lakini leo maji ya Kilimanjaro ni miongoni mwa biashara kubwa. Huyo ni The Late Dkt. Reginald...
Wakuu habari..
Nipo Moshi, nina gari aina ya IST natamani kutumia gari hii inizalishie tofauti nakuitumia kupigia misele mjini.
Naombeni wazo ni bidhaa gani naweza kusambaza kwa wateja...
Binafsi sijamuelewa maan kwa takwimu ya maeneo niliyopo mpka kufika sasa bei za nafaka ni kam zifuatazo
1,mchele 2800 kutoka 1000
2,maharage 4400 kutoka 1800
3,mahindi 28000 kutoka 11500...
You can make money from natural soaps.
Natural soaps are the kind made from ‘natural’ ingredients as opposed to synthetic ones
For instance, goat milk, turmeric, moringa, rice milk, coconut and...
Shalom,
December 2022 nilienda likizo nyumbani, nimefika nimekuta wamejenga kituo kipya na kikubwa Cha Polisi. SI mbali na makazi yetu ya asili, nikawaza namna ambavyo naweza kuanzisha biashara...
Asilimia 95 ya biashara zinazoanzishwa zinakufa ndani ya mwaka mmoja
Asilimia tatu zinakufa ndani ya miaka mitatu
Asilimia mbili tu ndo zinafanikiwa
Kuna sababu kuu tatu zinazoua biashara
1...
Ni wazi kuwa miaka inavyozidi kwenda kuna baadhi ya kazi zitaendelea kufa
leo nitaweka wazi kwanini graphic designers wanaenda kukosa ujira waliozoea na kama hawatabadilika basi utakuwa mwisho...
Anaandika Dr Christopher Cyrilo
Jana nilipata bahati ya kutembelea Malembo Farm na kukutana na rafiki yangu Lucas Malembo. Nimshukuru Malisa GJ kunileta kwenye darasa hili la kilimo na ufugaji...
Wadau Habari Za wakati huu!
Niende moja kwa moja kwenye maada, nimekuwa nikifanya survey katika maeneo flani huko mikoa ya nyanda za juu kusini na kugundua kuwa kuna malighafi nyingi ya miwa...
Kwema wandugu?
Leo kero yangu kubwa nawapa CRDB, yani mtu unatoa kiasi kama kishika uchumba upate machine ya CRDB wanakaa na pesa yako karibia wiki mpaka wiki mbili kimya no machine (uwakala wa...
Hello,
Habari za wakati huu ndugu zangu wa JF.
Naomba msaada kama kuna mtu anafahamu ninapoweza kupata chocolate na gift boxes kwa bei ya jumla ama kama kuna mtu anafanya biashara hiyo...
Habari,
Nataka niwe nasafirisha nyama kutoka Tanzania bara kupeleka Tanzania visiwani. Mwenye uzoefu wa hii biashara naomba anifahamishe kuhusu namna ya kupata vibali na nyaraka zote...
Kwa wataalamu ambao mpo katika tasnia ya digital camera, naombeni mnisaidie kunipa machimbo ya maduka yanayouza camera nzuri na imara kwa Dar es salaam, nimejichanga nataka nianze mishe za upigaji...
Bado TUNAPOKEA MAOMBI KWA WALIOKOSA VYUO KWA KOZI YA LABORATORY ASSISTANCE KWA NGAZI YA CERTIFICATE
[emoji95]HII NI KOZI YA MWAKA MMOJA NA ADA NI NAFUU SANA [emoji95]1,000,000 TU INALIPWA KWA...
Habar wana JF
Hii biashara ya duka dah ni biashara nzuri but imejaa hofu kibao kwanza wenyewe kwa wenyewe mnarogana
Chengine jamii inatuchukulia sisi wenye maduka tuna Uhuru wa kipesa lakini si...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.