Kwema wakuu.
Maisha yetu yanakuwa magumu, fedha yetu inakosa thamani. Hivi kama taifa likatelekeza shilingi na kuanza kutumia dolar ya Marekani tataathirika ama kufaidika na nini?
Nimejaribu kufikiri.
Kutokana na changamoto ya ajira nchini ambapo serikali imeajiri watu wasiozidi milioni moja kati ya watanzania milioni sitini ambapo nguvu kazi ni zaidi ya watu milioni...
Je, umekua ukisikia tuu swala la kuwa na website lakini hujaelewa kwanini haswa uwe na website kwa ajili ya biashara au asasi yako isiyo ya kiserikali (NGO)? Au unayo website lakini haujaona bado...
Wiki iliyopita nilitoka Moshi nikaenda kumtembelea classmate wangu pale Arusha. Jamaa ni engineer wa computer. Jumapili baada ya kula Ibada Safi na kwaya kali pale St. Theresa tuli-mount XR 250 na...
Nimekaa nikawaza nchi Kama marekani ugoro unauzwa supermarket lakini huku watu wananua kwa kujificha utazani kwamba ni kitu haramu. Hatua ya kupackage ugoro kwenye small can tins ika create ajira...
Wakuu habari.
Naomba niende straight kwenye mada. Nakumbuka miaka imepita kidogo, niliwahi kusoma mahala pameandikwa kuwa Auditing Firms azitakiwi kujitangaza kama aina nyengine za biashara...
Habari za wakati huu;
Kwanza nianze kwa kuwapa pongezi wale wote ambao wamejitosa na kuamua kuanzisha biashara zao ndogo na za kati.Changamoto ni nyingi na muda ni mchache na Fursa nazo ni...
Jukwaa la Uchumi limesema licha ya kuwepo kwa dalili za kupungua kwa Mfumuko wa Bei, Mataifa ya Afrika yataendelea kukabiliwa na mwaka mgumu kwa sababu ya agizaji Bidhaa nje na Mishahara Duni ya...
Aisee bank wezi sana. Mwezi wa 7 nlikopa CRDB milion 20 kwa mkopo wa miezi 36 ambapo kuna riba ya 4 miln.
Nikaenda kufanya ujenzi Mwanza. Sasa bana nikapata dharura inayohitaji hela kama 3 miln...
Hello jamaa zangu,
Tumaini langu mnaendelea vizuri.
Nahitaji kupata pikipiki Kwa ajiri ya biashara ila pesa yangu ni kidogo sana.
Ningependa kujua kama Kuna wadau wanayajua makampuni...
Here is the man who makes 161 million FCFA of turnover per day, His name is Obasanjo the former president of Nigeria nicknamed the king of livestock in Africa.
The man indirectly employs 7,000...
Habari wanajamvi,
Kwa sisi wa maisha ya kawaida, fursa hupatikana pale mtu anapohama au kuuza vitu kwa bei ndogo kwa ajili ya kutaka kununua kingine.
Especially wakipatikana wale wageni ambao...
Habari wakuu nasogeza hoja mbele yenu nahitaji msaada na muongozo nina goli langu la uwakala sasa nataka nijiongeze sababu ofisi imepwaya na uzuri namshukuru Mungu uwakala umeitika vya kutosha...
Wadau, nina 200 million TZS, je niweke fixed account benk ipi yenye interest nzuri ya mwaka?
Asante
Michango
==========
Mkuu salute!
Seriously fanya haya kwa pamoja baada ya miaka 5 utakuja...
Wanajamvi nawapa salamu,
Nina mtaji wa 100,000 naomba wajuzi wanijulishe biashara inayoweza kunipa 1000 au hata 500 kwa siku. Nipo DSM
Ahsanteni nyote.
Wakati huu maeneo mengi yanavuna mpunga, na tayari mchele mpya umeisha anza kuuzwa, kwa yule kijana mwenye uchu na mafanikio ni wakati wa kutengeneza pesa tena kwa mtaji kidogo.
Biashara ya...
Chaos wazee na vijana leo nimekuja na
KANUNI UNAZOTAKIWA KUZINGATIA KUHUSU FEDHA
KANUNI NO. 1
Kamwe usikope fedha na hasa ya riba kwa ajili ya kuanzishia biashara (isipokuwa kwa mkopo ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.