Siku hizi kila nikiwa nahitaji huduma za kibenki hasa nikiwa Kkoo au posta nikienda Tawi lolote la Crdb lazima nipate maudhi.
Hadi najiuliza ni Mimi Tu nnaeona kuna shida mahal? Asubuhi moja...
For carrying out various activities, business
requires money.
• Finance, therefore, is called the life blood of
any business.
• A business cannot function unless adequate funds are made available...
Falling stock markets have wiped out more than $9 trillion in wealth from U.S. households, putting more pressure on family balance sheets and spending.
Americans' holdings of corporate equities...
Habari,
Ni mjasiriamali wa Bidhaa za Ufugaji na Kilimo [(Mayai, Kuku na Kanga) (Mafuta ya Alizeti na Asali)]. Naomba Kufahamu Machache kuhusu:-
1. Uwezekano wa Kufanya Kazi katika visiwa vya...
Jamani mimi nataka nifanye hii kazi, nina vijana watatu, hivyo nataka nifungue vibanda vitatu sehemu tofauti kwa hapa Dar, kuna yeyote anafanya au alishafanya hii kazi?
Nipeni uzoefu wenu jamani...
Kwa maneno machache mno , Business plan ni andiko la kibiashara ambalo unaelezea wapi uliko kwa sasa, na wapi unataka kwenda (Future),ukielezea mikakati (strategies) utakayotumia kufika huko...
Habari zenu wakuu, niko kanda ya ziwa huku kwenye mgodi x, kazi kubwa ninayofanya ni kununua mawe na kwenda kusaga mwaloni, kukamua na kuuza marudio.
Miongoni mwa changamoto kubwa zinawakabili...
JIFUNZE KUTENGENEZA SABUNI ZA MAJI
Katika harakati zetu za utafutaji wa pesa leo ninaomba tuzungumzie kuhusu utengenezaji wa sabuni.Sabuni hizi unaweza kuzitumia katika kufulia,kuogea,kuoshea...
Nimejaribu kufanya biashara kwa uwezo wangu naona nakwama kunawakati unafika nashindwa kuelewa hii ni kweli au kuna mkono wa mtu.
Mwanzo nilianzisha Electronic money transefer mitaa fulani...
Habari wakuu
Naimani wote mko salama, Mungu anazidi kutuonyesha upendo wake. Nimekuja kwenu kuomba msaada kuhusu duka la vifaa vya watoto.
Kwa muda sasa Mama yangu amekuwa akipenda sana hii...
Kama kuna kazi za wasanii zilizofanyika miaka mwaka 1920 basi hati miliki zake zilishakwisha mda wake.
Kazi inayofikisha miaka 100 inakuwa aina tena hati miliki na ukirudia uwezi kushtakiwa wala...
Wakuu naomba kufahamu faida ya kuwa na kampuni namaanisha zilizosajiliwa kisheria?
Na pia kampuni inahitaji mtaji kiasi gani (kiwango cha chini) na kwa namna gani naweza kumiliki kampuni?
Kama kuna Mtu ambae aliwahi Lala mahala au mfanya kazi ambae ana experience na hiyo kazi naomba atoe muongozo kuhusu Usafiri, gharama za vinywaji pamoja na chakula.
Kama kuna Manager/ Accountant...
Hello wadau, natafta kijana anayejua kufanya hairdressing ikiwemo natural hair treatments pamoja na kusuka dreadlocks.
Saloon ni mpya ya kisasa, ipo Tegeta Salasala.
Kwa mawasiliano WhatsApp...
Wanabodi salama?
Nafikiria kuingia kwenye biashara ya tiles (ceramic na porcelain) importing kutoka nje ya nchi.
Nna uelewa kidogo wa hizi products kupitia kwa mafundi wa tiles na kudeal na...
Salaam....[emoji41][emoji410]
Baada ya utafiti wangu wa muda kwenye soko la forex nimekuja na vitu ambacho naamini vinaweza kuwa ni msaada mkubwa sana kwa wapambanaji wenzangu wanaotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.