Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wanaJF, nauliza Kuna anayeifahamu hii kampuni au alishawahi kuwekeza tufahamiane.
1 Reactions
63 Replies
3K Views
Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza...
2 Reactions
8 Replies
557 Views
Wakuu kwema! Hali ya bei za vyakula inatishia kwelikweli, mawaziri husika hawaoneshi jitihada zikaeleweka na bei zikashuka kwanini wasijipime na wakaamua kutupisha na Ili tupate watu wanaoweza...
0 Reactions
1 Replies
365 Views
Wafanyabiashara wengi wadogo wamekuwa wanafanya biashara zao kwa kubahatisha. Wamekuwa hawana uelewa wa namna ambavyo fedha zinazunguka kwenye biashara zao. Wanachojua ni kununua na kuuza, kitu...
9 Reactions
11 Replies
6K Views
Benki ya NBC Yazindua Hati Fungani ya NBC Twiga, kuwainua wajasiriamali na wadau wa kilimo. Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imetangaza utoaji wa Dhamana (bondi) ya miaka mitano inayofahamika...
2 Reactions
30 Replies
5K Views
Sina utaalamu wa kutosha sana na Biashara ya HISA. Lakini nimeshauriwa, kwa kuwa muda mwingi nipo kazini basi vema niwekeze kwenye HISA. Tafadhali 10m hiyo, HISA zipi nichangamkie?
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wana jamii wenzangu habari za wakati huu... Ninaomba msaada nimetoka kumaliza chuo kikuu mwaka jana lakini maisha ya ajira naona bila bila Msaada wenu nataka kufungua kampuni ya usafi kwa...
3 Reactions
3 Replies
2K Views
Leo nimeamua kuanzisha thread itakayodumu nyakati zote na majira yote . Pia uzi huu unamgusa Kila mmoja wetu. Tunalo tatizo la umasikini katika jamii yetu. Unazaliwa masikini, unakua kimasikini...
22 Reactions
98 Replies
11K Views
Naomba kuuliza wadau, nawezaje kuangalia tena zile namba za wakala kwenye till yangu ya tigo pesa kama nimezisahau? Naombeni msaada
1 Reactions
1 Replies
3K Views
Habari Ndugu zangu, Napatikana Dar es Salaam nahitaji kuanza biashara ya kununua mchele kutoa mikoani kuleta kuuza jumla DSM, hivyo naombeni msaada kwa mwenye uzoefu wowote na biashara hii ili...
1 Reactions
7 Replies
5K Views
KIJANA MTAFUTAJI: Kama unatamani kufanya Biashara za Sketi za mtumba na hauna mtaji njoo ofisini. WEKA NAMBA YAKO YA WHAT'S AAP INBOX YANGU, UWE DAR ES SALAAM Ila kwa wateja wa mikoani tunauza...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
1. Nunua pikipiki ya dhamana ukaanza biashara ya boda boda. 2. Fungua saluni. 3. Mradi wa tofali za kuchoma. 3. Fuga kuku. 4. Somea ujuzi wowote. 5. Mradi wa kushona nguo. 6. kijiwe cha...
20 Reactions
33 Replies
9K Views
Nauza Heka 1 Kibaha kongowe Mil.70 barabara ya zamani pana faa kwa Godown au Kiwanda, mita 100 hadi Morogoro road. WhatsApp kama ukiitaji picha 0674223223
0 Reactions
1 Replies
433 Views
Nauza kiwanja Kibaha miembe Ukubwa mita 54 kwa mita 23 Nimepunguza bei ya awali ilikua Mil.13 sasa nauza kwa Mil.9.5, WhatsApp au kupiga kawaida 0674 223 223.
0 Reactions
1 Replies
887 Views
Heri ya mwaka mpya . Kuna kitu nimewaza kufanya lakini sijui kama nipo sawa kimahesabu kwa Sababu sio uzoefu nayo, iko hivi nimewaza nianzishe biashra ya chakula (wali) kwa kufanya partnership na...
1 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama mnavyojua mashamba yetu ni ya kienyeji yanahitaji machine all weather badala ya zile kubwa za Kubota kama hiyo hapo juu. Nipeni connection chap nikimbizane na msimu wa mavuno
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nimejichanga nimefanikiwa kupata mtaji wa milion 6, nataka ninunue pikipiki 3 moja yangu na nyingne niwape vijana. Kama unafahamu changamoto au ushauri tafadhali sema.
9 Reactions
116 Replies
13K Views
Habari Mimi ni kijana mjasiliamali nataka kuanzisha kiwanda cha kuzalisha Unga (sembe +dona) Dar. Nilikuwa naomba wazoefu kwenye hii biashara wanipe muongozo kwenye haya. 1. Mashine zipi ni bora...
2 Reactions
12 Replies
8K Views
Habari wanandg natumai hamjambo, Nilkua nahitaji kujua na kujifunza kuhusu biashara ya kununua mbuzi na kupeleka viwandani. Nilkua naomba mwenye uzoefu wa biashara hii ani Pm au anaweza kujibu...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Back
Top Bottom