Graduates wengi tunachanganywa na vyeti vyetu na zile picha za majoho kwamba tukimaliza tunategemea kwenda kufanya kazki katika shining new office, tupige picha na kupost kuonyesha colleagues...
Habari wanajamvi,
Mungu akipenda hivi karibuni natarajia kufungua mgahawa hapa Dar, kuna maeneo kadhaa nayafatilia kama nitapata mojawapo nitakuja tena kuwatangazia. Mgahawa wangu utaitwa Mihogo...
Tim hakua na uwezo mkubwa wa masomo darasani, kuna mtu alinisimulia kuwa jina la Weartherspoon lilikua jina la mwalimu wake aliyemtakia kwa hasira “Tim you’re good for nothing, you can not write...
Zama za leo kama wewe ni mfuasi wa kuifurahisha nafasi yako kupitia kwenye kumbi za starehi ni wazi uwezi kukosa kinywaji cha Redbull. Hichi ni kinywaji cha nguvu (energy drink) ambacho eneo...
Tigo kupitia huduma yao ya BUSTISHA leo siku ya 3 imetukata wateja wake mara mbili ya kiasi walichotakiwa kurudishiwa na wateja lakini mpaka sasa tunahangaika kuwapigia simu wanachojibi ni majibu...
Freelancing jobs: Hizi ni kazi za mtandaoni ambazo mtu unafanya ukiwa katika ofisi yako ama nyumbani kwako zinaitwa freelancing jobs, ajira hizi unakuwa hujaajiriwa na mtu yeyote bali umejiajiri...
Niliwahi kuandika juu ya wakala wa NMB aliyekuwa ana double transactions bila ridhaa ya mteja. Alipiga wateja wanne kama 20m hivi. NMB hawakuchukua hatua dhidi ya wakala huyo.
Leo ninaandika tena...
Je, ulishawahi kuwa na wazo la kufanya biashara au kazi lakini hauna mtaji?
Pengine unahisi fedha ndio changamoto? Usijali, basi upo eneo salama.
Unaweza kujifunza mengi kupitia: Upendokitundu...
Habari wana jf
Kama kichwa kinavyojieleza mimi ni kijana mjasiliamali nimekua nikifanya biashara tofauti tofauti kwa muda sasa na kila siku nawaza kufanya kitu kipya
Nipo hapa kwaajili ya msaada...
Ukiachana na hasara nazo zipata ndugu yetu mfuga kuku kwenye biashara yake kutokana na uzembe wa kuto fatilia mwenendo wa biashara yake bado Tatizo la hesabu kuto ku balance ni Tatizo kwa wafanya...
Habari ya jioni wakuu,
Nianze kwa kusema kwa upande wangu nipo vizuri. Nipo napata coffee [emoji477]️ya moto muda huu. Kuna baridi hapa Arusha kwahiyo hii coffee inanifanya nijisikie murua kabisa...
Habari wakuu.
Kuna exchange traded funds (ETF) za kampuni ya Marekani nilitaka kuwekeza kidogo ila wanahitaji tu US residents. Kama kuna mtu anamjua broker ambaye naweza kufungua akaunti kupitia...
Wanajukwaa wenzangu tunaopenda kufanya kazi za online na watukutoka nje ya nchi nilikua naomba kuulize hivi payoneer inaruhu kupokea pesa toka nje ya nchi??
Wanajf mimi pamoja na kuwa muumini mzuri wa kulipa kodi hali inazidi kuwa mbaya.Mwezi julai wakati naanza kuuza haka kagenge nilikuwa nauza hadi sh.80000/= kwa siku nikaenda TRA wakanipa tin...
Niliziea kukuona ukiuza chupi (boxer) sox na singland(carwash) sijui kwa nini huitwa hivi. Nimekuona toka 2017 ukiuza hivi vitu kwa kupita kwenye bar na migahawa mikubwa.
But hivi karibuni...
Habari za majukumu,
Nani anaijua biashara ya accessories za simu kama cover, glass, spare no?
Tusaidie kujua ni Vitu gani mtu afanye kama anaanza ni cover or glass zipi aanze nazo.
Asante kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.