Huu mkoa gharama za maisha zipo chini sana. Mtu akishindwa kuishi huku basi ni bora afariki.
Nimefika hapa na kushangaa guest house nzuri kabisa na ipo sehemu nzuri, haina mambo ya hovyo lakini...
Habar za mda huu ndg na Jamaa ktk jukwaa hili.
Mimi binafsi akili imegoma Kujenga nyumba 11, kila nyumba iwe na vigezo vifuatavyo.
1.S/room 1
2. Vyumba vya kulala viwili kimoja master
3. Jiko
4...
Habari guys
Kuna kitu watu wengi huwa hawakisemi ila kwa utafiti wangu na bado najiuliza kwanini watu huwa hawakisemi
kufanya kazi kwa kuaminianaau makubaliano.
Unafanya biashara na watu unawapa...
Akili haikuwa sawa wakati huo, sikupiga hesabu vizuri ndio nashtuka saa hizi.
Mbaya zaidi niliyemrudishia alikuwa anatoka kanisani dhehebu fulani nililokuwa naliamini sana.
Nawaomba mkizidishiwa...
Benki ya CRDB imekabidhi kituo cha mawasiliano katika Taasisi ya Saratani ya Ocean Road ikiwa ni matokeo ya fedha zilizokusanywa katika mbio za CRDB Bank Marathon 2021. Kituo hicho cha kisasa na...
Wakuu kuna hii biashara ya shisha ambayo naona bado haijagunduliwa na wengi haijasambaa sana lakini naona ina wadau wengi (wateja).
Kuna mwenye details za hii biashara aweze kushare na sisi...
Wasalaam
Ni mimi C.T.U nimekuja tena kwa mara ya pili leo nimeota ndoto ambayo nafikiri ni ndoto fulani ambayo nimeamua nije kuzungumza na nyinyi ndugu zangu TTCL
Ndoto yenyewe ni kuwa TTCL...
Habari ndugu! natumaini mnaelendelea salama.
Naomba kufahamu chimbo la mafuta ya kupikia hasa haya ya Mico Gold nahitaji nipate kwa bei ambayo itaniwezesha mimi kuuza kwa bei ya jumla kwa wateja...
Hii ni kampuni inayokopesha Sola kwa matumizi ya nyumbani vijijini. Walikuja huku Nyamanoro na kuweka matangazo yao. Kwenye maelezo ya mdomoni wanajua kushawishi, sasa ukiwalipa Pesa ya kianzio...
Kwanini Jamiiforums haina matangazo kama tunavyoona blogs nyingine zinavyoendeshwa wanagenerate vipi mapato yao wanatumia vipi hawa wafuasi wao kuwa na fedha kwa kupitia matangazo madogomadogo...
Wakuu, habari za muda huu?
Naomba tupeane uzoefu, Je unawezaje kufanya ufuatiliaji wa biashara ya Nyumba ya kulala wageni iwapo utakuwa Mkoa tofauti na ulipofungulia biashara yako?
Nimepata...
Uzi huu ni maalum kwa wale watu wanaofanya biashara za mitandaoni na zisizo za mitandaoni ambao wanataka kuzitangaza biashara zao, tuna group la WhatsApp ambalo lengo lake kubwa ni kupigana tafu...
Niliomba ushauri huku mkanipa vizuri kabisa nikaenda kufanyia kazi.
Nilifanikiwa kupunguza deni kwa mtu mmoja ila bado deni langu kubwa sana.
Alafu mzigo dukani umeshuka sana mwezi wa kwanza...
Hello Wapendwa naomba mnisaidie kwenye kujua wapi naweza pata matunda haya hapa chini kwa bei nzuri au mfanyabiashara anayeleta mengine yanatoka South Africa naomba msaada jamani.
IMPORTED ITEMS...
Huu ni mwendelezo wa mada nilizokuwa nikiandika
i) Treasury bills
ii) Treasury bonds (Utajiri uliopo kwenye dhamana za serikali: Sehemu ya II (bonds))
iii) na leo ni FOREX TRADING (Fahamu utajiri...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.