Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Wakuu habari, Ningependa kuomba ushauri na mawazo ya kibunifu kutoka kwenu nifanyeje ili niweze kuongeza uzalishaji kwenye mashine ya kusaga na kukoboa? Mashine hii mwanzoni ilikuwa ikiingiza...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
Hii biashara ya usafirishaji wa ndege ni ngumu sana ndio usishangae taifa kubwa kama USA kupitia serikali yake kutojiusisha na biashara hii. Pesa tulizopoteza kununua madege kwa nchi changa kama...
5 Reactions
26 Replies
1K Views
Wanabodi, Japo hili ni Jukwaa la Siasa, na hii ni story ya fursa za Kiuchumi, issues zozote za utilities, umeme, maji na mafuta, ni siasa, hivyo ikitokea sintofahamu yoyote kwenye issues za...
21 Reactions
50 Replies
9K Views
Hawa jamaa wanaotibu kwa madawa asili wanakula mkwanja mkubwa sana. Yani walivowashika watu au mtu yupo tayari kununua dawa ya asili iliyofungwa kijanja laki na nusu kuliko kununua duka la madawa...
2 Reactions
4 Replies
585 Views
Na Mwandishi Wetu. KAMPUNI ya Tanzania Distilleries Limited, ambao ni waanzilishi wa kinywaji cha Konyagi, leo inazindua aina mbili mpya za Konyagi ikiwa ni mwendelezo wa chapa hiyo zinazoitwa...
7 Reactions
43 Replies
5K Views
wakuu natamani nikimaliza form six hapo mwezi wa tano nitafute kitu cha kufanya ili niingize hela mpaka ntapoenda chuo....nisaidieni wakuu wangu kama kuna mahali naweza fit....i can do...
0 Reactions
4 Replies
995 Views
Nimeona nishee na nyie ujumbe huu JINSI YA KUCHAGUA ENEO ZURI LA BIASHARA TANZANIA. Jinsi ya kuchagua sehemu ya biashara kwa Tanzania ni muhimu sana kwasababu itachangia na kuongeza mafanikio ya...
11 Reactions
16 Replies
4K Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amewatembelea wafanyabiashara mbalimbali wa maduka ya vyakula ya rejareja Chake Chake Pemba. Ziara hiyo ya kushtukiza...
1 Reactions
2 Replies
381 Views
Maisha yana ups and down nimefungua duka kibanda nauza kila kinachokuja kichwani nauza kila kitu ambacho nimeulizwa na wateja wangu. Je ni sawa? Nifanyeje ili nipate faida? duka langu lipo...
8 Reactions
46 Replies
2K Views
Habari ndugu zanguni, Mimi najihusisha na DSE naomba kama kuna anayejihusisha pia na hisa, tujuane tuweze kubadilishana mawili matatu.
0 Reactions
13 Replies
906 Views
Wosia wa BABU Mwenye Miaka 103 Kwa Mjukuu Wake Kuhusu Pesa...(Ambao utakunufaisha Pia)... Ilikuwa ni Mwaka 1999... Nikiwa Bado kijana Mdogo Mno... Nilienda kumtembelea Babu yangu Mzaa mama huko...
9 Reactions
8 Replies
1K Views
Ni kitu kigumu kuona kampuni kubwa zisipobadilisha muundo wake kutokana na soko. Lakini kwa bic kaweza ili,Je wataalamu wa masoko ni kipi kimesaidia kubaki mda mrefu
10 Reactions
33 Replies
3K Views
Kuna siri nyingi zimejificha kwenye soko la biashara za online kwaujumla hasa kwenye ubora.Siku hizi ukipitia kwenye mitandao ya kijamii utakutana na manung'uniko mengi kutoka kwa watu hususan...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Imekuwa sasa ni kama kawaida nchi zetu kila kiongozi anapoingia madakani kuunda serikali ya ukubwa anaoutaka na kila mwaka kuongeza bajeti anavyotaka kwa kisingizio cha kuhudumia wananchi. 1...
1 Reactions
1 Replies
315 Views
1. 100000 2. 99990 Je, Ni muuzaji namba ngapi atauza zaidi......? Tupe sababu.......[emoji116] Sent from my TECNO KE5 using JamiiForums mobile app
0 Reactions
2 Replies
531 Views
Habari, wanajukwaa! Ni muda mrefu nimekua nikifuatilia viwanda vidogo vya kutengeneza toothpicks Tanzania na hata Africa Mashariki ili kuona hatua na mafanikio katika kuanzishwa kwake na...
2 Reactions
14 Replies
906 Views
Habari zenu wakuu, Leo naomba kuzungumza na wahudumu wa harusi nchini kote, ikiwahusu wanaojitafuta na wale ambao tayari wamejipata kwenye niche hii ya harusi, hii ikijumuhisha watu wa mapambo...
1 Reactions
0 Replies
349 Views
Mkurugenzi Mkuu asema thamani ya Mfuko imeongezeka na fedha za wanachama zipo salama. Na Mwandishi wetu, TimesMajira Online Zabuni iliyotangazwa na Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa...
0 Reactions
3 Replies
592 Views
Kuna hii mentality moja TZ kwamba kila anayeanzisha juice Point yake basi kaiga kwa Makjuice nachukizwa sana na hili. Niwaekeweshe tu: Juice bar zipo kitambo TZ na ni nyingi sana ila Makjuice ni...
12 Reactions
52 Replies
11K Views
Hii misemo ya kiswahili ina nguvu na maana kweli. Mvumulivu hula Mbivu. Subira huvuta kheri. Licha Soko la Crypto kushuka na kushusha na kukatiza wadau tamaa lakini dhoruba ya muda tu. Huu ndio...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Back
Top Bottom