Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari za wakati huu ndugu zangu wanajamvi, poleni kwa Majukumu ya siku nzima. Natumaini mko mnaendelea vyema kabisa. Niende kwenye maada, Mimi ni mjasiriamali na kwa Taaluma nimesomea masuala...
0 Reactions
0 Replies
374 Views
Kwema wazee! Naomba kujua machache kuhusu biashara ya saloon classic za kiume barbershop. Mtaji kiasi gani? Maeneo yapi ya jiji la Dar zinalipa? Je, mimi ndo nawalipa vinyozi au wao wananipa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uhai wa Taasisi yoyote isiyo ya faida (not-for-profit organization) unategemea watu ambao watakuwa na jukumu la kuisaidia Taasisi husika katika kutimiza malengo yake. Watu hawa kitaalamu tunawaita...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari zenu Wanajamvi Mimi ni msemaji wa vijana tusioajiriwa tuna degrees zetu tuko tunahustle mtaani kwenye harakati mbalimbali za mtu mweusi kwa bahati nzuri harakati hizi zinatupatia pesa...
8 Reactions
26 Replies
2K Views
Siku hizi imeibuka biashara ya simulizi mitandaoni ikiwemo Whatsapp na Facebook. Hawa watunzi wamejigawa katika makundi. Watunzi halisi, wanaocopy kazi za wenzao na kuziuza bukubuku. IPO mifano...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Habari wana jamii Ni matumaini yangu ni wazima wa Afya Kikiwa kimepita kipindi kirefu toka Nilete maombi kwenu. Niseme tu Asante Kwa waliokuja na kunipa mawazo na kunisahauri ila Nakuja tena...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna mdau alikuwa ni mteja wangu, hapa Kariakoo. Nilikua nampa mali kauli ili akauze, mara ya mwisho kabisa uyo mteja alinitapeli. Hakunilipa pesa yangu. Nikafuatilia kwa njia ya sheria na kutumia...
7 Reactions
67 Replies
3K Views
Baada ya siku nyingi kupita leo nimemkumbuka rafiki yangu kipenzi ambaye alipatwa na matatizo makubwa katika safari yake yakusaka maisha miaka kama 5 iliyopita tukiwa kidato cha sita yaani kila...
53 Reactions
1K Replies
328K Views
Hisa Ni Nini, Nafaidikaje Na Uwekezaji huo? ___________________________________________ Na #Mwenda ND, Nimekuwa nikipata maswali mengi juu nini maana ya hisa na nini faida na changamoto za...
9 Reactions
15 Replies
12K Views
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza Kupitia jarida la World of Statistics limetoa orodha ya watu matajiri zaidi duniani au Mabilionea wa Wakati huu kulingana na Forbes, wameeleza kuwa Elon...
2 Reactions
3 Replies
1K Views
Wakuu nitapataje zile banner zinatolewa na makampuni ya simu kama tecno Samsung na Infinix.
0 Reactions
6 Replies
490 Views
The government has reiterated its resolve to ban the use of foreign currencies, especially the American dollar, in buying and selling goods and services in the country. We are studying the trend...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Na hili nalo mkalitizame Naombeni mwongozo wa biashara yoyote halali ya kufanya kwa hapa Dar es salaam itakayoniwezesha kutengeneza 10k hadi 15k kwa siku. Biashara iwe ya mtaji kati ya 100k na...
3 Reactions
49 Replies
6K Views
Wadau nimeamua kuweka habari hii kuwapa taadhari vijana wapya wanaotaka kujiingiza kwenye kilimo. Kuna usemi unaosema kwamba kupitia failure ndio kujifunza, huo usemi uko sahihi, lakini kupitia...
9 Reactions
63 Replies
17K Views
Wakuu, katika harakati nyingine ya kujiajiri. Kuna hii idea ya car wash. Sio vibaya kama tukipatiana details zote zinazozunguka hii biashara. You know, stuffs kama vifaa, location ya biashara...
1 Reactions
29 Replies
8K Views
Habari wakuu, nipende kuwatakia kheri ya mwaka huu mpya wa 2021 mungu akawafungulie baraka kila mtu kwa hitaji lake. Naomba nirejee kwenye mada baada ya salamu. Niko maeneo ya moja ya vyuo vikuu...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Matukio kwa ajili ya harambee (events - based fundraising) ni miongoni mwa njia zitumikazo na Taasisi kwenye ukusanyaji wa fedha kwa ajili ya utekelezaji wa Miradi au Programu. Matukio huiwezesha...
2 Reactions
2 Replies
3K Views
Hawa jamaa nawaita wezi kwa sababu wameniunga na huduma ambayo Mimi siipendi Wala sio kwa matakwa yangu Huduma hii mwanzo walikuwa Kila siku wanakata sh 100 kwenye Kila vocha ambayo naingiza...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Back
Top Bottom