UTANGULIZI
Habari Mzazi/Mlezi wa Wanafunzi tajwa hapo juu. Kuelekea mtihani wa taifa wa Kidato cha pili na cha nne, Alpha learning platform inawaletea Programu (Kozi) Maalumu ya Wanafunzi wa...
Habari waungwana,
Ukiwa mwelewa na kuacha ubishi haya maneno yanaweza kubadilisha maisha yako kabisa. Siandiki maneno haya ili kukuonyesha kwamba mimi ni tajiri sana hapana. Naweza kuwa sina...
Huwa ninaikubali sana nchi ya Tanzania. Katika pilka pilka zangu za kudadisi taakwimu mbalimbali za kiuchumi ili kuilewa Tanzania zaidi, nilikutana na statistic ya kushangaza sana na ninaomba...
Habari za majukumu wadau,
Mie ni mjasiriamali mdogo wa nafaka, natoa mikoani nazileta mjini nauza kwa jumla, Sina fremu ya kufikishia biashara yangu hivyo nikifika madalali hunidaka na...
Jamani watanzania tuamke Dunia inaenda mbio sana. Kama utang'ang'ana na biashara moja hakika kilio kwako kiuchumi kitakusonga hivyo jifunze kujivunia pesa mtandaoni kama wenzako wanavyofanya...
Leo ningependa kuwapa zawadi vijana wenzangu watizame hii fursa watakuja kunishukuru badaye.
Tatizo la vijana tulio wengi ni kuharakia maisha tunapenda kupata leo leo, jambo ambalo linapelekea...
Wanabodi, umefia kwenu!
Shughuli pevu kwenye uwekezaji ni namna ya kuwa na fedha za kuanzia biashara...
Watu wana mipango mingi sana, mawazo mengi sana lakini hawana cash ya kuanza biashara au...
Wadau ni siku nyingine tena, nimekuwa nikiona post za watu humu kulalamika juu ya ukosefu wa ajira pamoja na hali ya biashara kwa ujumla.
Ni wazi kuwa watihitimu wanamaliza wengi kila mwaka ila...
Asilimia kubwa ya watu wengi tuna ndoto za kuwa mjasiriamali
asilimia kubwa ya watu wengi wana ndoto ya kujiajili na kumiliki biashara zao wao wenyewe. Kila mwenye ndoto ya kuwa mjasiriamali hasa...
Habari zenu wana jamii forums
I think this is right place ambapo naweza kupata ushauri yakinifu from great thinkers
Mimi ni mdada naombeni ushauri wenu wapambanaji wenzangu ambao mmeshapiga hatua...
Habari zenu wakuu !
Leo nakuja kwenu nikihitaji ufafanuzi wa masuala kadhaa yanayohusisha kodi ya biashara.
Ni kiasi cha miaka minne sasa tangu niingie ktk ulingo wa kutafuta maisha kupitia...
Habari za muda wanajukwaa.
Mimi nina rafiki yangu aliepo Asia (korea) wakati wa kujadili Idea za hela akaniambia yeye anafanyaga pia International trade.
Akaniambia kuwa maaana yake ni yeye ni...
Nimekuwa nikifuatlia mijadala mingi hapa chini kuhusu changamoto mbalimbali zinazolikabili Taifa, wengi wanakwepesha kwepesha sana maneno na kuzunguka mbuyu labda kwa kuona aibu na kumwonea huruma...
Habari.
Nina eneo Singida-Mwaja kilometa 5 kutoka mjini kati. Natafuta mtu mwenye mtaji pesa wa kushirikiana nae tujenge lodge kwa kuanzia vyumba vitano tu. Nipo tayari kutoa umiliki wa biashara...
Wakuu poleni kwa majukumu ...
Nilimaliza kidato cha Nne 2013 na kujiunga na kidato cha tano 2014 na kuhitimu 2016 baada ya kuhitimu nilitoka mkoani Kilimanjaro na kuingia katika jiji la Dar es...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.