Habari za usiku wanajamvi.
Kwanza nikiri kuwa nilifanya uzembe Kwa kuleta ujamaa kwenye biashara.
Nashughurika na Mambo ya Logistics sasa last year kuna jamaa yangu mmoja alifungua kampuni ya...
Habarini wadau,
Samahani nilikuwa naomba kujua jinsi ya kuwa wakala wa rangi za majumbani, je ni vigezo gani mtu anatakiwa kuwa navyo, na kiasi gani mtu anatakiwa kuwa nayo ili awe wakala wa...
Naombeni msaada wa kueleweshwa maana TRA hawajanielewesha Kila nilipohitaji.
Juzi nilifika Ofisi za TRA kwa ajili ya kufanyiwa makadirio ya kodi. Nikakutana na ofisa pale nikazungumza nae na...
Habari wana JF,
Nataka kufahamu process zote za kusajili kikundi cha kikoba, kitu gani kinahitajika na wapi pakuanzia. Mwenye uzoefu naomba anifafanulie hatua zote
SHANTA GOLD MINE KUANZA KUMIMINA DHAHABU KUINEEMESHA IKUNGI, MBUNGE MTATURU AFUNGUKA
SHANTA gold mine sasa Kumimina Dhahabu kuineemesha Ikungi. Ni baada ya Kusimama kwa muda mrefu takribani miaka...
Mkuu kwema? Pole na uchovu wa safari ya kuperuzi JF.
Boss, ebu tuongee kidogo kuhusu hii mitandao ya kijamii mpaka leo imekusaidia chochote ?
Au unaonaga mauzauza tu 😅?
Graduate uliyehitimu...
Kuna huu mfuko unaotarajia kuanza hivi karibuni Faida Fund ambao ni kama UTT, mwenye taarifa zaidi atujukishe kuhusu huu mfuko Faida Fund.
Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Salaam ndugu,
Mimi ninayo TIGER EYE,SUGILITE,PYRITE,CHRYSOCOLLA,QUARTZ,LAPIS LAZULI AND CARNELIAN.Mwenye kufahamu soko au kununua madini hayo.Tuwasiliane.NB:Kama kuna mwenye taarifa za bei zake na...
Ndg ZANGU kwayeyote anaetumia mtandao wa AliExpress naomba kujulishwa namna ya kufanya malipo Kwa bidhaa itayofanyiwa order wao wanaelekeza nifanye Kwa card nami sinakadi ndio maana nauliza kama...
Wadau habari zenu very soon nitafungua mgodi wa sunstone naomba sana support ya mawazo kwa wazoefu/ wanaofahamu kwa kina kazi hii inavyokwenda. Asanteni Sana.
Hello bra and Sist.
Naomba msaada wa kuanzisha shule (Sekondari ya kisasa ) yenye madarasa manne na ofisi mbili za walimu.
Shule hiyo iwe katika mazingira ya Dar es salaam.
pia na njia ya...
Natafuta mtu anaetoa mikopo..nina shida na mkopo wa laki tano nipo tayari kulipa riba 30%
Tutaandikishana na utakuja mpaka napoishi kwenye makazi yangu.
0692407964..nipo tayari hata leo
Utafiti mbali mbali kuhusu ujasilia mali na ajira umegundua kwamba watanzania wengi wamejikuta kwenye ajira zisio rasimi zifuatozo kwanini?
1. Udalali wa viwanja nyumba na gari hi tasinia ya...
Kampuni ya Greenchain ya Shanghai, nchini China itatembelea Tanzania mwezi Machi 2023 kwa ajili ya kukutana na wazalishaji wa Pilipili aina ya Tajin (Sweet And chili pepper au kitaalamu Capsicum...
Habari,
Nahitaji kupambana na utafutaji wa maisha kinamna nyingine hii biashara ya kutegemea kitu kimoja kama chanzo cha mapato naona inafanya maisha yawe magumu na nafuu kwa muda.kwa sasa...
Ukumbi mpya wa KIMATAIFA Upo Masaki Dar wa mikutano na matamasha unaitwa The super dome una kila kitu ndani yake
Fixed sound system
LED Screen
Stage
Fixed Lights
Fixed Camera
Tables and...
Hi everyone.
I believe everyone has those good business ideas worth millions of money and hoping to practice on them one day.
Unlike the capital, potential market is the one factor that can...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.