Hujawai kuchunguza bidhaa nyingi zinazotoka nje na ndani kuona nembo halal.
Nembo halal inayobandikwa kwenye bidhaa kama vyakula ikiwa imeambatana na nembo za idara nyengine mfano TBS, ISO, tunza...
Ndugu zangu nahitaji ushauri wenu, nipo DAR ES SALAAM. Nahitaji kuanzisha biashara, nina mtaji kiasi cha 1,000,000. Sasa sijajua ni biashara gani ambayo nifanye, lengo kwa siku nipate faida...
Steji ya kutengeneza bidhaa inayoweza kuchukua mda mrefu inataka mtaji na sio njaa kama hizi za kutengeneza kemikali moja pombe tofauti na madawa tofauti.
Kuna makala nilipata kuangalia jinsi ya...
Nimekua nikipata maoni ya watu mbalimbali kua ukianza biashara iwe kubwa au ndogo bila kwenda kwa babu ukawekwe sawa basi utakua unasindikiza wenzio. Naombeni maoni yenu wana JF maana tupo na...
Habari wakuu?
Mimi nipo mkoani Mtwara, nimefikiria kuanza biashara ya bucha ya mbuzi, changamoto ni upatikanaji wake! Na utaratibu wa kuanza hii biashara upoje! Naomba kwa mwenye uzoefu...
Bodi ya Wakurugenzi ya Akiba Commercial Bank Pic (ACB) inapenda kutangaza uteuzi wa Mwenyekiti wake mpya, Bi. Catherine N. Kimaryo. Bi Kimaryo ni kiongozi mahiri, mwenye weledi na mbobezi katika...
Habari wapambanaji...
Katika harakati zangu za kuufukuza kabisa umaskini nimeweza kuwekeza kwenye duka la nguo za kiume hapa DODDMA, linaitwa Mserereko Outfits. Bei zangu ni sawa na hamna. Nipo...
Kutokana na maendeleo ya sayansi ya teknolojia na maendeleo ya kidigitali imekuja mitandao ya kijamii ambayo imeambatana na mambo mengi ikiwemo mawasiliano, burudani, sehemu ya kutunza kumbukumbu...
Salam kwenu wakuu,
Kuna jamaa yangu anataka kufungua photo studio. Frame tayari anayo kinachohitajika ni mashine ya kusafisha picha za passport, picha kubwa saizi kuanzia 4*6 na kuendelea...
Poleni na pilika za kutwa na hongeren pia kwa ibada
Mchango wangu ni mdogo sana Ila unaweza kukusaidia
1:kama unataka kufungua duka tafuta eneo lililochangamka lenye movement ya watu kwa...
Siku kadhaa zilizopita naibu waziri wa kilimo Anthony Mavunde katika mkutano na wahariri jijini Dodoma uliolenga kutekeleza ushiriki wa vijana katika kilimo cha biashara program itakayo ongeza...
Salaam,
Katika michakato ya ujasiriamali nimekutana na mambo kadhaa wa kadhaa, iwe kwa kuona au kuhadithiwa au kwa kutenda au kutendewa au kushuhudia, mwisho ukweli umebaki pale pale ambao ni huu...
Wasalaam,
Ukifanya kauchunguzi kadogo kwa familia nyingi zenye uchumi imara (achana na accidental millionaires), utagundua kuwa ni mipira ya mbali iliyopigwa au kuchezwa na watangulizi wa familia...
Habari za usiku ndugu?
Natumai mu wazima wa afya.
Nimekuwa nikiwaza namna nzuri ya kuwekeza pesa yangu niliyoipata hivi karibuni, 3m. Nikataka kuiweka katika fixed account lakini kila nikiwaza...
Nataka nihame kutoka Mbeya kwenda Dar es Salaam ila nina chombo cha moto (bajaji) nataka nihame nayo.
Hivyo naombeni taratibu za kufuata ili niweze kuhama nayo na kuifanyia kazi nitakapo fika...
Tokea kipindi cha nyerere serikali ilipenda kuwa mtu mkubwa wa kufanya biashara ila mwisho wa siku vimekufa na vengine kutoweka.
Jambo ambalo bado tuna rudia bila kukoma ni ili
*Shirika la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.