Kuna mada niliongolea kuhusu wachina wanaweza kukutajirisha naona ikapokelewa kufumbwa na watu wasio taka mjue mwanga unachomokea wapi.
Watu wengi hususani hapa bongo si rahisi mtu kukupa code...
Wakuu habari,
Nilileta uzi hapa kuomba ushauri wa nini nifanye pindi nitakaporeje tz.Nashukuru mlinishauri shauri mbalimbali.
Ila katka shauri zote nimeona nichukue hizi mbili kati ya Bajaji au...
Bandugu kama kichwa Cha juu kinavyojieleza nilitaka kufahamu mikopo ya halmashauri kwa ajiri ya vijana kujikwamua katika wimbi la ajira na umasikini.
Vipi ni nani aliewahi pata mkopo na taratibu...
Habari za leo wakuu, pole na majukumu
Kama heading inavyosomeka hapo juu kama umebarikiwa mtaji au unaweza nikopesha mtaji hata kwa riba au tunaweza elewana namna ya kugawana mapato kwa asilimia...
Simu ndogo ndogo hususani hivi vya batani za kampuni pendwa Africa namaanisha Tecno na Itel. Tumekuwa tukinunua simu hizi bei ya jumla maduka kadhaa kkoo arusha na kwingineko.
Nahitaji kujua vp...
Mimi ni mstaafu Serikalini. Ni mmojawapo wa wastaafu tuliohamisishwa kujiunga na Benki ya Posta, nikahamasika kwelikweli hata nikahama Benki ya NMB. Jambo mojawapo lililonivutia kuhamia Benki ya...
Maisha yanaenda kwa kasi ya wastani wa mwendo wa jongoo wala siyo farasi.
Cryptocurrency sijui zile Bitcoin na nyingine nyingi tu zimeletwa zikiwa na makusudi ya kuifanya dunia kuwa sehemu salama...
Umuhimu wa Bodi ya Wakurugenzi yaani "Board of Directors" kwa Asasi za Kiraia umeanza kuonekana na kuchukuliwa kwa uzito wa kipekee. Bodi ya wakurugenzi inatoa dira ya namna ambavyo Asasi inapaswa...
Jamani, tuzungumze vitu real, kama unayo idea au biashara unazo zijua mfano;
1. Aina ya Idea.
2. Mtaji wa bidhaa.
3. Namna ya Kutengeneza iyo bidhaa, upatikanaji wa materials.
4. Soko lake...
HABARI zenu Ndugu zangu.
Mimi ni mkulima na agent. Wa mazao ya Mboga mboga Mboga. Kama upo Zanzibar na Unahitaji Kufanya Biashara ya NAFAKA na mazao ya Mboga mboga kama Vitunguu,nazo,nyanya n.k...
Miaka ya nyuma, uchumi wa nchi ulitawaliwa na serikali kupitia udhibiti wa njia za uchumi chini ya umma. Hata hivyo, kwa sasa, serikali imebakia kuwa mtunga sera na msimamizi wa utekelezaji wa...
NW UTALII, MARRY MASANJA - SERIKALI KUTANGAZA UTALII KUPITIA MBIO ZA KILIMANJARO
Serikali imesema itaendelea kutangaza vivutio vya utalii katika nchi wanazotoka washiriki wa mbio za Kilimanjaro...
Habari za leo wakuu,
Kijana wenu naomba mwenye uzoefu na utaalamu wa kurecord mapato na matumizi kwa kutumia android app anisaidie ni ipi iliyo bora na yenye mpangilio mzuri.
Natanguliza...
habarini ndugu zangu,
Naomba kufaham garama halisi endapo mtu anataka kuanzisha kiwanda kidogo kwa ajir ya kukamua mafuta ya alizeti hususan garama ya mashine zote zinazohitajika
Nahitaji mtu wa kuungana naye tuwekeze ktk kiwanda cha sembe nina mashine na jengo lipo kubwa store za kutosha shida mtaji wa kununua malighafi (mahindi), nembo ya kiwanda ,usajili , masoko,n.k
How To Make More Money
The first step to making money is to decide how much more you want to make. The need to emphasize the need to use the power of affirmations, and visualization to see...
Halloww, naombeni msaada jamani.
Wapi nitapata mkopo kwa Kuweka dhamana ya Nyumba?. Nimejaribu kwenye Banks wanasema mpaka niwe na biashara au Mfanyakazi wa Serikali, NAHITAJI MKOPO ambao...
Habari zenu wakuu! Mwaka 2023 ukawe wenye kheri kwa kila mmoja humu ndani.
Niende straight kwenye point ya uzi huu. Wakuu naomba tusaidiane kujuzana muongozo mzima wa kuanzisha na kuendeleza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.