Wakuu poleni na majukumu ya kila siku,
Nimechukua frame na kufungua biashara ya Juice ya miwa(machine ya umeme) pamoja na machine ya kutengeneza ice-cream (koni) Tanga mjini.
Lakini biashara...
Naomba usome kidogo!!!
Hii ni real siyo utani!
Mimi ni kijana wa miaka 32
Mnamo mwaka 2014 nilitoka nyumbani rasmi kuja mjini kutafuta maisha, Niliaga vizuri wazazi wangu nikawaahidi kuwa naenda...
Wakuu nisi wachoshe saana, nataka kuanza kufanya biashara ya kuuza kuku, niwe na kijiwe changu, niwe naenda vijijini hasa kwenye minada nakusanya kuku then nawaleta mjini kuwauza rejareja...
Ipo changamoto ya kuyapata mafuta ya nyonyo yasiyounguzwa katika moto na kuwa meusi. Jamaican black castor oil.
Katika kutafuta kupata mafuta halisi ya nyonyo natural yaliyokamuliwa na kuchujwa...
MBUNGE MHE. JANETH MAHAWANGA AWAHAMASISHA WANAWAKE KUFANYA KAZI KWA BIDII, UBUNIFU NA KUCHANGAMKIA FURSA
Mbunge wa Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Janeth Elias Mahawanga...
Naomba kuuliza,
Kama nikinunua chochote online kwa mfano Aliexpress, je katika kupokea mziogo wangu posta nahitajika kulipa kodi au malipo niliyofanya online yalikuw tax inclusive?
Habari wakuu. Niliweka hii post kule kwenye jukwaa na hoja mchanganyiko lakini sikupata jibu lolote. Nataka kuwekeza kwenye Exchange Traded Funds (ETF) lakini kampuni haina option kuwekeza kwa...
Na GENTAMYCINE naendelea Kuuliza kwanini hawakuwika wala Kutamba Kipindi cha Rais Hayati Dk. Magufuli na badala yake Wameibuka kwa Kasi mno, ya Ajabu na ya Kushtua katika Awamu hii ya Daktari wa...
Ila eneo lipo Mbagala Zakhiem ila bado sijajua nikaweke biashara ghmani kwa huo mtaji nilionao.
Naomba ushauri au mawazo yatakayonifanya nijue biashara gani nifanye eneo hilo na kwa guo mtaji.
In short nina eneo ambalo ni very potential kwa biashara ya apartment's, lengo ni kupata mbia atakaye jenga jengo la ghorofa labda 15, yeye akachukua ten floors, akanipatia 5 floors, tukamalizana...
MHE. STEPHEN BYABATO AWAHAMASISHWA WADAU WA NISHATI KUSHIRIKI MKUTANO NA MAONESHO YA PETROLI YA AFRIKA MASHARIKI
Wadau mbalimbali katika Sekta ya Mafuta na Gesi Asilia nchini wamehamasishwa...
Wana Jamii Forums Salaam. Natumai kila mtu ameshakifuta vumbi kichinjio chake tayari kwa ajili ya kesho.
Nimekuwa nikiona matangazo mbalimbali ya watu kuagiza Bidhaa mbalimbali toka nje ya nchi...
Hivi majuzi Serikali imetangaza kuruhusu wafanyabiashara kuingiza mchele kutoka nje tani elfu 90.
Rai yangu kwa wadau na wafanyabiashara wenzangu wa nafaka ni kupata connection ya wasambazaji...
Dhumuni langu langu la kutengeneza uzii huu ukawasaidie vijana wengii wenye mitaji midogo ambao wanahitajika wasonge mbele kimaisha.
Wana jamii tuleteni mawazo ya kujenga mwenye fursa, mwenye...
Mwenye ufahamu wa utengenezaji na uzalishaji wa pombe kali (gin) anisaidie.
Hapa nazungumzia kiwanda kidogo cha uzalishaji.
1. Upatikanaji wa material zake - Ethanol na flavor zake
2. Machine...
Habari za wakati huu;
Ni matumaini yangu kwamba unaposoma andiko hili na mengine ninayoandika utapata hamasa ya kuingia katika biashara na uwekezaji wa aina tofauti.
Leo nimeleta mjadala mdogo tu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.