Wasalaam,
Watu wengi maeneo ya mijini vipato vyao ni wastani wa Tsh. 10,000 kwa siku, hii inafanya wengi wafikishe angalau Tsh. 330,000 kwa mwezi.
Kwa kipato hiki wapo wanaishi vizuri kabisa kwa...
Bima ni mkataba wa kulipa fedha katika shirika la fedha ili kupata fidia wakati mlipaji anapofikwa na ajali au hasara fulani au kurejeshewa fedha zake pamoja na faida baada ya muda maalumu.
Bima...
NW UTALII MHE. MARY MASANJA ALIVYOSHIRIKI MAADHIMISHO YA SIKU YA WANAWAKE DUNIANI
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Mary Masanja ameshiriki katika Kilele cha Maadhimisho ya Siku ya...
Royal Tour Yaendelea Kulipa: Cartier Ponant Nayo Yatua Tanzania
Filamu ya Royal Tour aliyofanya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, imeendelea kulipa baada ya...
Habari za mchana wana JamiiForums na wapenzi wa jukwaa la Biashara na Ujasiriamali.
Nimekuja kwenu kuomba ushauri na sitaki kuwachosha, naenda moja kwa moja kwenye mada.
Haya wanajamvi, ndugu...
Binafsi niliwahi kuchukua mkopo wa milioni 5 kwenye bank moja hivi. Marejesho nakumbuka yalikuwa 516,666TZS kila mwezi kwa miezi 12.
Hakukuwa na manufaa sana ila tu mkopo ulisaidia kuinusuru...
Habari za mda huu mabilionea wa sasa na wajao. Tumaini langu mnaendelea vema na harakati za kutimiza ndoto zenu.
Ni kama mwezi nilikuja kuomba msaada kwa wajasiliamali wenzangu juu ya biashara ya...
Habari wakuu,
Niende kwenye mada Moja kwa Moja : tufahamu biashara kwa Sasa Kila unachokifanya haufanyi peke yako Kuna mwingine nae anafanya inafanya na yako inaweza ikawa tofauti ndogo, vitu...
Habarini za muda huu Wanajamvi poleni na mihangaiko ya wiki nzima nimekuja hapa kutafuta soko la kuku wa nyama (broiler) kwa Moshi na hata njee ya Moshi kwa sasa kuku Wana week 4 na siku 5 hivyo...
Wanajamvi vipi?
Naomba uliza. Hivi kuna mkopo wa nyumba hivi.
Una kiwanja, then bank inajenga nyumba afu ikusanye kodi mpaka itapomaliza mkopo wake.
Je, kuna hii huduma kwa bank yeyote Tanzania?
Wakuu salaam,
Nimeona kuna mada ya mambo ya kusevu nikaona nishee story yangu inaweza kuwa msaada kwa mtu fulani sehemu fulani..
1. Take home ilikuwa ni 1,300,000 baada ya makato yote kazini...
Salamu Wakuu
Kwa muda mrefu sasa nilikuwa na mpango wa kufungua biashara ya kuuza CEMENT kwa bei ya rejareja mkoani Arusha.
Wakuu naomba kupata mawasiliano au kuunganishwa na wakala anayeuza...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mh. Mahawanga Janeth amekabidhiwa Tuzo ya Heshima na Wafanyakazi Wanawake wa TALGWU Mkoa wa Dar es Salaam katika sherehe zilizoandaliwa na Wanawake hao...
Za asubuhi, naombeni mwongozo kidogo.
Nimenunua mzigo wangu toka Ali express ila sielewi, ikiwa hivi ndo inakuwaje? Mzigo umefika ama niendelee kusubiri?
Meneja Mwandamizi wa huduma za kidijitali kwa Benki ya Akiba Bi. Magreth Mwasumbi akizungumza na waandishi wa habari katika uzinduzi wa Akaunti maalumu wa kwa ajili ya Wanawake inayoitwa "WARIDI...
Wakuu habari za majukumu?
Naomba msaada jina la App inayotumika kwaajili ya mauzo.. Yaani itakayo nisaidia kwenye kujua mauzo yangu.. Kutoa invoice na kujua faida kila siku, wiki na mwezi. Pia...
Team, from your experience ni bank gani nzuri kwa kampuni ya utalii?
Ukizingatia yafatayo
1. Makato nafuu
2. Huduma nzuri za kiofisi
3. Huduma nzuri za Online payment kama POS n.k.
4. Smooth...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.