Habari wadau!
Huu nimuda wa kutangaza na kupenda vitu vyetu ili kukuza uchumi wetu mtu moja moja na maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla.
Taja jina la online business ambazo sio za kitapeli pia...
Habari wakuu,
Nauliza kwa mwenye uelewa wa biashara ya tairi za magari mapya magari makubwa na madogo..Aina za makapuni tairi zinazonunulika haraka na imara kwa kipato Cha kawaida na wakipato kikubwa
[emoji3463]BF SUMA Company Profile......
[emoji1911]Maana ya BFSuma ni
[emoji1607]B- Bright ,,=mwangaza
[emoji1607]F-Future ,,=ndoto/malengo
[emoji1607]S- Superior ,,=ubora...
Wakuu habari ya majukumu!
Nimepata mfadhili anataka awe ananitumia bidhaa kutoka China, kaniambia nifanye utafiti wa bidhaa zinazouzika Tanzania. Msaada wa bidhaa na mtaji unaohitajika...
Dar es Salaam 16 Machi 2023 – Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Lawrence Mafuru ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Sekta ya Bima (TIRA), pamoja na Benki ya CRDB kwa kutekeleza...
Natamani Sana Kuona Mnakuwa Front Line Kwenye Baadhi ya Vitu. Naumizwa Sana na namna Ambavyo hii idara inakuwa ni ya Siri kweli kweli.
Siku Endapo nitapata madaraka huko nitahakikisha mnakuwa na...
Habari zenu ndugu zangu wana JF I hope wote mko salama kwa majina naitwa Fadhili. I think this might sound stupid kwa baadhi ya watu lakini point ni kwamba ninao mtaji wa shillingi million 100...
Habari wana jamvi, nimeiweka mada kama ilivyo hapo juu mm sina uzoefu na kitu chochote kuhusiana na mambo hiyo kitu pi.
Kuna siku uliingia ujumbe katika cm yangu na namba ngeni ukielezea vitu...
Nahitaji wadada wawili kufanya kazi saluni ya kike maeneo ya Pasiansi Sokoni mkoani Mwanza...kwa maelezo zaidi piga simu namba 0657201120 or 0678369477
Nafanya kazi na watu tofauti kutoka mikoani. Mimi napatikana Dar, Mbezi Mwisho watu wanaotaka kununuliwa mizigo au kufanyiwa shughuli zao kwa ufasaha angali wapo mbali.
Kwa msaada wa kitu...
Habari wakuu
Tujadili mfumo ulioboreshwa wa kuweka TIN number katika manunuzi yako au mauzo yako hivo kufanya vyote vionekane TRA.
Mnunuzi na muuzaje watakapo toa au kupokea risit isiyo na tin...
Takwimu zinaonyesha kwamba aslimia 75% ya fedha zinatolewa kwa Taasisi zisizo za Kiserikali (NGOs) hutoka kwa mtu mmoja mmoja (Individual Donors) na asilimia zinazobaki hutoka kwenye Taasisi...
Habarini wanajamvi,
Heshima kubwa kwenu maana mmekuwa msaada Sana kwa vijana katika harakati za kujikomboa na umaskini na kuacha utegemezi wa ajira baada ya kumaliza vyuo maana umekuwa...
Kuna mambo mengi ambayo yanaweza kukusaidia ufanye biashara yako iwe na mafanikio, kama vile:
1. Kufanya utafiti wa kutosha juu ya soko na washindani wako ili uweze kubuni bidhaa au huduma ambazo...
Wakuu kheri ya Mwaka mpya kwenu[emoji113].
Asee wakuu ndugu yenu yamenikuta ya mwezi wa kwanza yani uhitaji wa pesa ni mkubwa kuliko maelezo na katika pitapita zangu mtandaoni nmekutana na...
Wadau tusaidiane, Mimi Nina 5m nataka kuanzisha biashara ya kuuza vitenge vya jumla na rejareja. Je, ni wapi point ya kuzichukulia.
NB: Niko Kanda ya ziwa.
Hi Wanajamvi, hope mpo poa,
Mi ninaomba maoni yenu maana napenda sana ze ushauri from humu jamvini!
Sasa nina plan au lengo langu kuu/GOAL ya 5 to 10 yrs ni kujenga Hotel atleast ya nyota 3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.