Anayejua chimbo la mitumba la nguo za kike anisaidie namba za simu za muuzaji wa hiyo mitumba.
Please naomba nitumiwe hiyo namba inbox JF au kwa normal sms kupitia 0624573133
Mabibi na mabwana, wakubwa kwa wadogo nawasalimu hamjambo?
Ninao ujumbe huu kwa yeyote aliye Tanzania na anakwazika na kupakua hela zake kutoka mtandao wa malipo, PayPal.
Nipo tayari kutumia...
Avoid these to become successful & rich
Towfiqu barbhuiya
Have you ever started working on a dream or a project full of energy, only to drop or forget about it a few weeks later? I know I have...
Habari za muda wapendwa,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni mjasiliamali niko mkoa wa Dar es salaam naomba kupata a,b,c za namna yakufanya hii biashara ya kuuza dawa yaani famasia. Ni...
Habari wadau. Kwa mwenye ujuzi na biashara hii anipe maelekezo inaendeshwaje mtaji wake , n.k. Niko interested na hii biashara lakin sijui chochote kuhusiana nayo.
Habari wana jukwaa,
Naomba kueleweshwa: Natarajia kusajili kampuni na hivyo nimefuatilia taarifa zote za msingi kuhusu hatua za kufuata ili niweze kufikia lengo. Hatua mojawapo ni ya kulipia ada...
Katika kuongeza ajira katika sekta binafsi na serikali kuwekeza ili kupata kodi baadaye, napenda kuunga mkono jitihada za Rais Magufuli kusaidia watanzania kukuza uchumi wao kwa kupendekeza mambo...
Habari za muda Great Thinkers,
Leo nimeona nilete elimu fupi juu ya makundi haya matatu ya watu waishio hapa ulimwenguni, ambao ni MATAJIRI (The rich), WATU WA MAISHA YA KATI (The middle class) na...
Nafanya biashara ya Bar na Gest house. Naombeni msaada wa kijua generator nzuri ya kuweza kusaidia umeme ukikatika.Taa 20 enegy saver muziki na TV.
Bei ya chini ninayoweza kuipata na aina nzuri.
Hello,
Ukiangalia forbes list ya richest people in Tanzania, yani mwafrika yuko mmoja tu (Reginald Mengi), kama sio wawili (ukiongeza Ali Mufuruki). Tena Mufuruki hela zake za mashaka mashaka...
Wadau habari zenu?
Naomba msaada tafadhali nataka kuanza biashara ya Travel agency nafanyaje?
Mwenye uzoefu au taarifa sahihi na rasmi anisaidie, Kwa muhtasari sijaanza chochote Niko square one...
Samahan boss .. nilikua nahitaji kufahamu zaidi kuhusu biashara ya kuuza compyuta pamoja na simu katika duka moja. ila nahitaji kupewa ata mwanga kuhusu iyo biashara katika vipengele vifuatavyo...
Habari wakuu,
Naomba ushauri wa biashara nzuri kwa mtaji wa sh ml. 15 mpaka 20.
Mara ya kwanza nilikuwa nafanya biashara ya bodaboda kwa mkataba, nanunua nawapa vijana baada ya miezi 12 inakuwa...
Kwema wana jamvi? Kama kichwa cha mada kinavojieleza naomba ushauri wa buashara kwa mtaji wa Mil 10.
Kuna biashara nilikua nafanya,nilikua napata faida nzuti na mtaji kukua sana ila baadae ikawa...
Biashara yoyote lengo ni kupata pesa na kupata pesa mwishowe kuwa tajiri kukua kiuchumi.
Naombeni ushauri wenu. Nataka kufungua biashara ya spares za pikipiki. Je mnadhani naweza anza na mtaji wa...
Wadau Mimi ni mfanyabihashara ya Tigo pesa na Mpesa, nimekuja kugundua ghafla commission imeshuka, na kugundua kwamba binti niliye muweka dukani ana line ya lipa namba ya Tigo, so mteja akija...
Habari wakuu,
Hongereni kwa majukumu ya hapa na pale nimekuja kwenu kupata mawazo na ushauri hasa katika kukuza mtaji.
Biashara yangu Ni uuzaji wa laptop, desktop and accessories.
Nilianza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.