Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wanaJF? Polen na kazi ya kujenga taifa letu, lengo kuja kwenu ni kuomba msaada kwa mtu au kampuni ambayo wanajihusisha na shughuli za usajili kampuni brela, nahitaji mtu ambae atanifanyia...
4 Reactions
18 Replies
1K Views
Hello bosses and rosses... Leo nmekaa mahala fln nikakumbuka pilikapilika za COVID-19. Kipindi hicho yalitokea mengi sana kwenye historia ya uchumi wa dunia, likiwemo lile ya bei ya mafuta...
15 Reactions
49 Replies
3K Views
Assalamualaikum, Naombeni ushauri ninunue friza la kampuni gani kwa ajili ya biashara ya soft drinks na maji kwenye duka la rejareja.
0 Reactions
13 Replies
4K Views
MHE. JACQUELINE MSONGOZI - ATOA MISAADA YA CHEREHANI NA VIFAA TIBA VITUO VYA AFYA MKOA WA RUVUMA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma na Mjumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za Serikali...
1 Reactions
2 Replies
631 Views
Natafuta biashara inayouzwa ya playstation (gamecenter) iwe maeneo ya daressalam, anayeuza ofisi yake naomba tuwasiliane 0718029972
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Waziri wa Nishati, January Makamba amesema kuwa Serikali imetenga fedha kiasi cha Dola za Marekani bilioni 1.9 kwa ajili ya miradi ya kuimarisha gridi ya Taifa kwa kipindi cha miaka minne...
0 Reactions
1 Replies
384 Views
Kijana kama unataka kuanza biashara ili uweze kufika pale unataka hakikisha mambo haya una yazingatia 1.Panga chumba ama jengo la biashara kwa mtu ambaye ni muelwa hii itakusaidia kipindi...
1 Reactions
1 Replies
616 Views
Naomba kujua yafuatayo juu ya mashine na biashara za kubetisha mpira. 1. Mashine zinauzwaje. 2. Zinapatikanaje/wapi? 3. Mtaji wake kiasi gani? 4. Risk zake ni zipi? 5. Faida yake inapatikanaje? Nk
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Wadau wanaoamini katika ubia natafuta wazo la biashara na uwekezaji usiozid milion 100. Nina parameters zangu 1. Mwenye wazo awe shareholder wa biashara yenyewe hata kama hana mtaji wa pesa...
13 Reactions
60 Replies
9K Views
Naomba kwa yeyote anapopajua sehemu au duka linalouza vifaa vya mgahawa mfano majiko ya gess mafufulia ,bufee ,mashine ya gass ya kuchoma kuku nyama na nk
1 Reactions
3 Replies
850 Views
Mkuu wa Wilaya ya Korogwe Mkoani Tanga, Jokate Mwegelo amewataka Wafanyabiashara Wilayani humo kutopandisha bei ya vyakula kipindi hiki cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhan. DC Jokate ameyasema hayo...
0 Reactions
1 Replies
512 Views
Wakuu kwema? Nina mpango wa kuanzisha biashara ya kuuza matofali ya block. Kwa mwenye uzoefu ni maahine gani nzuri na zinapatikana wapi na bei zipoje? Nawasilisha
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kaimu Mkurugenzi wa Wateja wadogo na wakati wa Benki ya CRDB, Bonaventure Paul (kushoto) akibadilishana hati na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Usafirishaji Mizigo ya Silent Ocean, Salah...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Meet the offers you can’t refuse. Whether it’s for personal or business use, you need a web hosting service like Computer Springs to get your ideas online. No matter which plans you choose, you...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumia kisima kwa ajili ya carwash sasa watu wanapata tabu wakiwa juu ya bod truck kupata maji mengi nifanye nn ili maji yawe mengi nimesafisha kisima maybe ulikua uchafy mwingi lakini bado maji...
1 Reactions
6 Replies
509 Views
Uwezo wangu wa kununua nafaka kutoka kwa wakulima na kupeleka sokoni kwa ajili ya walaji unazidi kupungua, mzigo niliookuwa nakusanya kwa milioni kumi nahitaji kupata kwa milioni 13, 14. Nipo...
3 Reactions
3 Replies
675 Views
Habari wana jamii, nimekuwa nasikia kupitia watu mabalimbali kuhusu biashara ya miti ya mitiki, binafsi nimepanda hii miti kwa ajili ya kulinda shamba huko Msata miti imefika miche 2400 na nipo...
0 Reactions
42 Replies
15K Views
Habarini wanajamvi, Kama kichwa kinavijieleza, ninatafuta location nzuri inayofaa kwaajili ya kuweka biashara ya Duka la dawa Muhimu (Sio pharmacy) ambapo kumechangamka sana na sio mainroad-sio...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
UZINDUZI WA JUKWAA LA UWEZESHAJI WANAWAKE KIUCHUMI KATA YA MAKONGO Mbunge Viti Maalum Wanawake Mkoa wa Dar Es Salaam na Mwanzilishi wa taasisi ya Tisha Mama Foundation, Mhe. Mhe. Janeth Elias...
0 Reactions
2 Replies
602 Views
MBUNGE MHE. JULIANA DANIEL SHONZA - "MIAKA MIWILI YA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN IMEKUWA CHACHU YA MAFANIKIO KWA TAIFA Mbunge wa Viti Maalum CCM Wanawake (UWT) anayetokea Mkoa wa Songwe Mhe...
0 Reactions
1 Replies
576 Views
Back
Top Bottom