Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Habari wadau kama kichwa cha habari kinavyosema ninahitaji wazo zuri la biashara kwa mtaji wa tsh milioni 2 hadi 5 nipo Mkoa wa Lindi nakaribisha maoni ya wadau.
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Wakuu, poleni pia hongereni kwa majukumu. Hivi ni mimi tu au kuna wengine wanapitia changamoto kama yangu, hii issue ya kukosa frame ya biashara maeneo yenye interaction ya watu?
10 Reactions
44 Replies
4K Views
Nahitaji kupata maelekezo namna ya kufunga kampuni BRELA KUPITIA PORTAL YAO. Kuna kampuni haifanyi kazi nahitaji kuifunga nishamalizana na TRA bado brela.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama wengi tunavyojua katika ulimwengu wa biashara, unaweza kukuta mmoja ana wazo zuri la biashara lenye kuleta faida kubwa pengine ndani ya wiki, lakini hana mtaji mkubwa wa kutosha. Mwingine...
6 Reactions
19 Replies
5K Views
Nina mtaji wa laki 3 na nusu, wakati natafuta ajira nimeona nijiajiri niuze chips, vipi mtaji unatosha? Any idea ya how to make them in a way it suits me (kisomi)? Ushauri wenu unahitajika...
5 Reactions
704 Replies
268K Views
Habari zenu tena wadau.. nafikiria kwenda katika nchi za jirani hapa kama Msumbiji, Malawi au Zambia. Yoyote mwenye uzoefu wa namna ya kufanya biashara katika nchi hizi anisaidie na connection...
2 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari jamvini. Nikikuambia Leo Fanya chaguzi ungechagua IPI? Una m2.5 unatakiwa uwekeze. Nunua voda umpe kijana akupe hesabu kila siku 10,000 bila kukosa kwa siku 365. Njia ya pili uwekeze kwa...
2 Reactions
6 Replies
689 Views
Nawasalimu nyote Katika jina kuu lipitalo majina yote.! Straight forward, nimepigiwa simu na mzee wangu yapata mwezi umepita anahitaji kununua gari ya mizigo used inaitwa isuzu injection...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Habarin wana jf..... Mimi ni kijana wa miaka 22 ni mwanachuo nina business plan kuhusu mgahawa hivyo napend kupata mtu serious amabe tutaweza kueka plans ili kufanikisha iwe kama partnership...
1 Reactions
7 Replies
965 Views
Hivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake. Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13%...
9 Reactions
72 Replies
14K Views
MBUNGE MARY MASANJA ACHANGIA MILIONI 21, AGAWA MAJIKO YA GESI 700 KWA WANAWAKE WAJASIRIAMALI WADOGO MKOA WA MWANZA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mwanza na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii...
0 Reactions
1 Replies
731 Views
Nawasalimu katika jina la Muungano wa Tz Karibuni katika uwanja wa mawazo ya kibepari na Beberu wenu J Ipo hivi pale mtaani kwako kulikuwa na duka moja la mangi nae akapata pesa nyingi...
6 Reactions
8 Replies
2K Views
Wadau, kuna Kirikuu inauzwa bado ipo kwenye hali nzuri sana haijatumika ipasavyo huku mtaani. Model: Daihatsu (Hijet) Year: 1997 Engine Capacity: 850 Gross Weight: 1000KG Location: Mikocheni...
1 Reactions
0 Replies
486 Views
Hlw Habari wakuu, Naitwa khalfan ni mkaz wa Mkoa wa simiyu mjini bariadi. Nawaza kuanza biashara ya kukusanya kuku vijijini na kuwatafutia soko mwanza kwenye mahotel makubwa. Shida connection...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Kwamtu anaehitaji kujumua mazao kutoka mikoa ya Iringa, Njombe, Mbeya, Songwe, Rukwa lakini anakwama kutokana na changamoto za kutojua mazingira sahihi ya wapi pakupa mzigo husika. Tunaweza...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Kuna ndugu yangu anataka kuchukua mkopo. Sasa anaomba ushauri je, ajiunge na SACCOSS apate mkopo au achukue mkopo BANK? Ni mkopo kama milioni 5 hivi Please ushuari wako muhimu sana =======...
0 Reactions
47 Replies
8K Views
Alhamdullaah mwenyezi Mungu uliyetupa uhai hadi sasa Helo ndugu zanguni KATIKA Adam najua kila MTU yuko Na njia zake za mafanikio lakini kuna wale waliofanikiwa tayari tena huenda wakiwa KATIKA...
1 Reactions
46 Replies
10K Views
Wakuu Mi nadhani Zama za kutegemea chanzo Cha umeme cha aina moja kama maji pekee na gesi kidogo imepitwa na wakati. Kilichotokea jana uwanjani kinatupa picha kuwa nyakati zimefika za...
1 Reactions
0 Replies
718 Views
Summary: Financial writing is dense with jargon and complexities. However, studies show that investors prefer simple, clear writing with short sentences. The simple reason is that complex writing...
2 Reactions
6 Replies
631 Views
Habari ya Wakati huu.. Kiwanda cha kutengeneza Kalamu za wino (Pen) hapa Tanzania. Naomba kufahamishwa wapi kilipo Kiwanda Cha kutengeneza Kalamu za wiko/peni hapa Tanzania. Nataka kuanza...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom