Wakuu poleni na majukumu, natarajia kwenda Njombe au Kilolo kununua msitu wa pine ekari moja kisa kupasua mbao za 2x6 ,2x4 kisha nizipeleke mwenyewe kuuza Babati.
Sasa anayefahamu kwa undani...
Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza,ninaitaji kuagiza mzigo China kwa kupitia Alibaba Sasa ninahofu ya kutumia njia ya mtandao kuagiza hivyo Kama Kuna agent wao waliopo hapa daresalaam naomba...
Nahitaji kununua machine ya kuvunia ufuta na binde, ili niwe nakodisha mashambani niko mkoani Pwani Ikwiriri, naombeni ushauri wenu, bei na kila kitu kuhusu ili swala.
Mfanyabiashara wa Kitanzania, Aunali Rajabali.
The richest Tanzanian investors on the Dar es Salaam bourse have amassed a total wealth of $81.77 million, according to data gathered at the end of...
Hivi karibuni kampuni ya Mitindo ya Mavazi ya #MSCHF iliingiza sokoni mzigo mpya wa Viatu aina ya 'Big Red Boots' ambao uliuzika wote ndani ya dakika 7 tu
#BigRedBoots zimeanza kutrend Instagram...
Wadau anaejua taratibu za ushuru wa bidhaa pale bandarini kama umenunua vitu zanzibar inakiwaje anijuze. Kama wanachaji kwa asilimia za bei ya bidhaa au wanakuangalia unafananaje ndio wanakuchaji...
Habari wana Jamii forum, natumaini mko salama kabisa mnapambana kutafuta ugali
Sasa hivi kumekua na wimbi kubwa la vijana ambao wanaingia kwenye biashara, baada ya kukosa ajira walizokua...
Habari JF
Kwa wale wanaohitaji passive income, Naomba wawasiliane na mimi!
Tunaenda kuwekeza kwenye Biashara ambayo gurantee ya kupata hasara ni 0000.0001%
Biashara hii ni huduma ndio huduma...
Niko na idea kama unahitaji kufanya biashara ya kuuza dagaa toka bukoba. Maana ndoo /debe moja 10k so ukiwa na 100k unapata ndoo/debe 10. Kwa bongo ndoo moja huwezi kosa 30k kiwango cha chini...
Naombeni mtu wa kunipa details nikihitaji kuwa mtengenezaji wa mafuta na sabuni za kuogea na formula zake
Naomba kama kuna chuo wanatoa course kama hizi aniambie nikasome
Ni kweli kwamba kila mwenye biashara yake ana imani zake za kidini ila sasa wateja mbona ni wa dini zote.
Iweje biashara zako zinahudumia dini zote alafu leo umeamua kisa una mfungo ndo ufunge...
Habari wakuu,
Nikiwa kama mfanyabiashara ninayeanza kujikita katika hii tasnia huwa kuna hali inanijia kwa asilimia kubwa vitu ninavyokutana navyo huwa nahusisha sana na biashara.
Katika pilika...
Wakubwa wenzangu poleni kwa kazi.
Nimekuwa nikijiuliza swali hili kwa muda Sasa.
Kwanini Ilala haina pub ambazo zinafanya vizuri kama Tabata, Sinza, Kinondoni na Temeke kidogo?
Naliamini sana...
Ndugu wajasiriamali sekta ya vyakula /vinywaji baridi au wajuvi wa mambo,
Ninahitaji kufahamu kuhusu kifaa tajwa hapo juu, deli. Nimeambiwa kwa sasa vingi ni fake/duni. Je, kwa wenye uzoefu...
Habari zenu wadau. Naamini mpo vyema. Nahitaji mtu wa kushirikiana nae kibiashara nipo Zanzibar. Nahitaji baibui za mtumba ndo biashara ambayo nna expirience nayo coz niliwahi kufanya na mtu kabla...
Ewe, Mjasiriamali nchini Tanzania, Unaepata shida Kuungana na WATEJA na Kuelewa Mahitaji yao, Soma hiii...[emoji116]
.
Je, Ungependa Kuunda Brand Ambayo Inawavutia Wateja Wako Na Kuwatia Hamasa...
Habar za kazi wadau,
Naomba kupewa Elimu ya kutosha kuhusu Life Investment Insurance maana naona leo Ndugu Mfanyakazi wa Jubilee amekuja ofisini kutushawishi kujiunga na Bima ya Maisha wanayotoa...
Habari Wana JF,
Naomba msaada wa kujua namna gani naweza kupata Mashudu mazuri ya Alizeti kwa Bei nzuri.
Na pia soko lake zaidi hapa Dar es salaam kwa Wenye viwanda wanaotengeza .chakula cha...
Kama mjasiriamali nchini Tanzania, unaweza kuwa unajiuliza jinsi ya kutengeneza story ambayo itawavutia audience wako na kukusaidia kufikia malengo yako ya kibiashara.
.
Naam,
.
... jibu ni rahisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.