Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Mara nyingi wamiliki wa biashara (kampuni) wengi huwaamini wafanyakazi wao kuendesha biashara zao katika idara tofauti za kampuni husika. Wafanyakazi hawa huharibu biashara za mabosi wao either...
0 Reactions
1 Replies
519 Views
Huku mtandaoni nmeona kampuni moja wanaitwa m kopa wanakopesha tvs unalipa kidogo kidogo wamesema wapo msavu morogoro karibu na ofisi za halotel nmetuma pesa week Sasa naona kimya je Hawa watu...
3 Reactions
36 Replies
18K Views
Wadau habari za muda, Mimi ni kijana wa Kitanzania, ninaomba mnisaidie mawazo yenu. Nilikuwa nimewekeza pesa zangu kama 30m kwenye mfuko wa UTT Amis, sasa faida ipo ila sio kubwa sana maana ni...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari Wa Jamii, Naomba Tutoa Rai Kwa Wasomi Wetu Wale Walioamua Kujiajiri Kwa Kupenda Au Wale Wenzangu Na Mimi Kwa Sababu Ya Chamgamoto Ya Ajira. Tunapofanya Biashara Ndogo Au Kubwa Tujaribu...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Tutumie uzi huu kupambanua mawazo mbalimbali ya kibiashara, yanayohitaji mitaji midogo, kuanzia shilingi 50,000/= mpaka 1,000,000/= Hasa kwa wale wenye mawazo ya kibiashara na hawana mitaji...
9 Reactions
78 Replies
6K Views
Habari, Lengo la huu uzi ni kuwashirikisha kuhusu kazi ya kujiajiri ya kubandika kucha bandia na kupaka rangi za maji kucha za akina dada na wake za watu katika suala zima la urembo! Ujuzi...
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari wakuu, Nahitaji nikachukue bidhaa za kuweka katika stationery yangu na materials mbalimbali ya printing (karatas za aina mbalimbali) na vifaa vingine mbalimbali. Naomba kujuzwa ni sehem...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu habari. Mi ni mfanyabiashara, Ila kwa Sasa biashara yangu niliyokuwa naitegemea imekwama. Nataka kujikwamua kutoka hapa nilipo. Sijawahi kukopa, Ila kwa hali niliyofikia inanilazimu...
3 Reactions
18 Replies
770 Views
Naomba msaada wa masiliano ya kiwanda na Himo industry kinachotengeneza vifungashio.
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Habari za uzima wajasiria mali, nauliza mwenye uzoefu na biashara ya perfume anipe uzoefu kwa mtaji wa laki 3, Machimbo na perfume za aina gani napaswa kuanza nazo. Nb nipo dodoma, na nitakua...
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Napenda kufanya biashara Comoros ya kupeleka mbuzi mwenye uzoefu wa hii biashara naomba msaada wake na biashara nyingne pia ambazo mtaji wake maximum M15, awe mzoefu anae kwenda kila siku.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Katika biashara ni muhimu kufanya kitu ambacho unakiridhia kutoka ndani ya moyo wako, ili ukikutana na changamoto usitupie watu lawama. Mtu mwenyewe ndiyo uamue kipi upo tayari kukifanya halafu...
1 Reactions
0 Replies
284 Views
Mimi sio mwenyeji sana katika mji huu ila natamani sana kuanza biashara ya Nguo za watoto Katoro sema sina connection ya frame na bado sijajua fursa zilizopo Katoro Kwahiyo nawakaribisha...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Ndugu zangu naombeni mnipe mbinu za kufanya kwa mtua liyeanza biashara alafu WATEJA MWANZONI WALIKUA WANAKUJA TU ILA KWASASA NI WEEK INAENDA WATEJA NI WA KUSUA SUA HASA MWEZI HUU. Nifanyejeeee...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Habari za muda huu: Niende kwenye mada kabisa hivi mbona mimi kila siku stress za mizigo. Daah, biashara ni ngumu sana yaani. Mwezi huu nafurahi mwezi ujayo naanza stress yaani, hasa hizi za...
6 Reactions
38 Replies
4K Views
RUWASA YAENDELEA KUFANYA VIZURI MUSOMA VIJIJINI: MRADI WA MAJI WA CHUMWI-MABUIMERAFURU UNAENDA VIZURI Maji ya Ziwa Victoria yaendelea kusambazwa Musoma Vijijini. Jimbo la Musoma Vijijini lenye...
0 Reactions
3 Replies
637 Views
Dunia hii bhana haina huruma Haijui umesoma nini, unajua nini, una magumu gani. Usipojihangaisha inakupiga kweli Hakuna atakayekuonea huruma Kuna watu wanasema mimi nimesoma injinia siwezi...
4 Reactions
11 Replies
746 Views
Nilikuwa nikipita karibu na ile bank niliyokopa zaidi ya m18 moyo unaanza kimbia na pumzi nayo nzito😂😂😂😂 Mkopo kwa nia ya biashara, kujenga, gari ikatokea tu ghafla paap pesa huioni imekata bila...
8 Reactions
21 Replies
4K Views
Kwanza nianze na kusema kwamba fursa Ni nyingi sana ila tatizo mitaji tuu... Ma haswa watu wasio na mitaji kama mimi hizi fursa tunaziona sanaa.. 1.KYELA, MBEYA TANZANIA NA FURSA ZAKE =ufugaji...
3 Reactions
14 Replies
13K Views
Huu msemo ni wa kawaida sana. Ukiutafakari una maana nzito sana. Kinachoingia kidogokidogo huchukua muda mrefu ila hakilingani na kinachoingia haraka. Kinachoingia kdgkdg kinadumu sana kuliko cha...
0 Reactions
1 Replies
458 Views
Back
Top Bottom