Baada ya muda kidogo kufuatilia vifo vinavyotokana na biashara hizi mbili nimegundua kuwa utofauti uliopo baina ya biashara hizi ni kwamba Betting haiitaji mtaji mkubwa wa kifedha bali inahitaji...
Habari wakuu,
Najaribu kutafuta biashara salama ya kufanya ambayo itanipa Mzunguko Mzuri.
Nimefikiria kuhusu biashara ya used simu kutoka Dubai / Europe , changamoto ni sina experience na sijui...
Baada ya Forex kupata reputation mbaya hapa Bongo hasa baada ya makanjanja kuiharibu, sasa nadhani ni mwakati tuwasikilize waliofanikiwa kupitia Forex, huenda tukapata mawili matatu ya maana...
Fred Vunjabei ameamua kuweka duka lake Zanzibar kuwapa ahueni ya kununua vitu kwa bei ya juu. Kabla hata hajaanza kazi keshaanza kupata mizengwe na Manispaa ya Mjini Zanzibar.
Ngazi za...
Wazee kama mada inavyojieleza, hapa nina kiasi taslim 150k ila nina uhitaji wa 250k, Je, ninaweza kufanya nini ili kiasi hiki kitimie ndani ya muda mfupi? Nipo mkoa wa Manyara.
NB; Sitaki habari...
MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYETU VYOTE 68 VINA MIRADI YA MAJI SAFI NA SALAMA
Miradi hiyo ya maji iko kwenye hatua mbalimbali kama ifuatavyo:
*Vijiji 2 vinatumia maji ya visima virefu
*Vijiji 32...
Habari Wakuu, Bila shaka Mungu ametupa uzima hivyo hatuna budi kumshukuru..!
Naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la kuanzisha uzi huu...... Naomba wajuvi, wenyeji na hata wafanya biashara...
Wadau mimi ni mchimbaji mdogo kutoka Kanda ya ziwa pia nafanya biashara, mwaka 2021 nilitembelea chunya, tunduru na mbinga katika harakat I za kazi yangu kabla ya kurudi mwanza kwa masuala ya...
BOOKKEEPING TERMS.
Tumesema bookkeeping sio kwaajili ya wafanya biashara tu, hata mtu binafsi anaweza kuweka rekodi zake kutokana na shughuli zake za kila siku.
Sasa kuna maneno madogo dogo ya...
Habar wana jf nna wazo la biashara ila sina mtaji[emoji27] wazo langu ni kufungua pharmaceutical industry or cosmetic industry tz hivyo mtu yeyte ambayo yupo stable financial anahitaji kuivest aje...
Nawa salimu kwa jina la M/Mungu.
Niko na wazo la muda mrefu, nataka nianze Biashara ya uunganishaji (Assembly Business) kwa Bidhaa mbalimbali.
Changamoto yangu Ni:
1. Nitumie njia gani ili...
Hongereni kwa kazi.
Kumekuwa na nyuzi nyingi za maulizo na nyingine za kuhamasishana juu ya biashara na njia anuai za kuingiza kipato. Uwepo wa jambo hill unaashiria kiu lakini namba ya kuikidhi...
Anatafutwa wakala wa Dubwi au slot machine mwenye biashara maeneo yoyote ya kigamboni. Commision ni 20% ya token za kila mzunguko. Kwa maelezo zaidi nicheki 0654867115
Wakuu habari zenu...
Natamani kujua kuhusu hii biashara ya kutengeneza na kuuza mvinyo wa zabibu...
Mtaji
Vifaa
Upatikanaji wa mazao
Jinsi ya kutengeneza
Kuhifadhi
Soko lake...
Karibuni kwa...
Habari za wakati huu;
Leo nataka nilete darasa fupi la jinsi ya kutengeneza website (Tovuti ) kwa ajili ya biashara yako kwa gharama nafuu kabisa.Nitaanza kwa kuelezea kidgo tovuti ni nini na...
Ukiwa masikini! Hakuna mtu anataka kujua chanzo cha umasikini wako, ila ukiwa na hela, watakuuliza umepata wapi.
Kuna mwaka flani nilifungua ka-biashara, nikiwa na kamtaji Tsh milioni 2,800,000/=...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.