Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza ni ukweli usiofichika kwamba hapa nchini Tanzania ni ngumu sana biashara iliyofunguliwa kwa ushirikiano wa kuanzia watu wawili ni ngumu sana kudumu. Ukimtoa...
3 Reactions
3 Replies
619 Views
MHE. PROF. SOSPETER MUHONGO - LEO BUNGENI DODOMA AKICHANGIA BAJETI WIZARA YA MADINI Mchango wa Mbunge wa Musoma Vijijini, Mhe. Prof Sospeter Muhongo, umeambatanishwa hapa (CLIP/VIDEO kutoka...
0 Reactions
0 Replies
456 Views
Huu Uzi wa kubadilishana contacts za kazi / baishara, mfano ww ni muuza duka unahitaji msaidizi wa kukuza, au una biashara flani unahitaji supplier , Taja aina ya mtu unayemuhitaji, wahitaji...
0 Reactions
4 Replies
512 Views
Nataka kufahamu iwapo makampuni ya magazeti yanapata faida? Pia, wanaanzaje kwa mfano? Nataka kufahamu!
1 Reactions
2 Replies
546 Views
Karibuni kwenye mada hii mdau Nipo hapa nawaza kwa kuilinganisha na kushindanisha mji wa geita na singida Je, ni mji gani mzuri kati ya hii miwili ni mkubwa kifursa kuliko mwingine kimaendeleo...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
WIZARA YA MADINI YAOMBA SHILINGI BILIONI 89.3 Waziri wa Madini Mhe. Doto Biteko ameliomba Bunge liridhie na kupitisha makadirio ya shilingi 89,357,491,000.00 kwa ajili ya matumizi ya Wizara na...
0 Reactions
1 Replies
422 Views
Habari ya mchana ndg zangu.. Naombeni nipate connection ya mfanyakazi wa FAIDIKA , makao makuu. Nna shida ya mhimu sana ... na nikiangalia muda si rafiki. Mwenye mawasiliano aniPM ... Nitashukuru.
2 Reactions
10 Replies
409 Views
Habari za wakati huu; Moja kati ya kero kubwa kabisa ya kulipa kodi hapa Tanzania ni swala la Kwenda kwenye hizi ofisi za TRA,kupanga foleni na kupoteza muda. Swali langu kwa hawa maafsaa wa TRA...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari? Nipo hapa kushirikisha mipango yangu kidoogo. Katika mipango yangu kwa mwaka huu 2023 ni mwaka wa akiba nataka niweke akiba pia akiba iwe inajizungusha bila mimi kuhusika nitafanya kazi...
3 Reactions
9 Replies
1K Views
ningependa kujua wapi Tanzania kunazalishwa zao hili la mzaituni au kwa kingereza wanaina Olive nitafurahi sana kupata maelekezo drop me mail @ macnabsons@telkomsa.net
0 Reactions
14 Replies
12K Views
Wakuu kwema, Ni kawaida kwenye biashara kujieleza juu ya nini unafanya au huduma gani unatoa,Lakini si Kila mmoja anaweza kufanya hivyo kiasi akamshawishi mteja kununua kwake. Tatizo hili si la...
0 Reactions
3 Replies
795 Views
Ndugu zangu, Naomba kuliza ipi ni biashara Bora unayoweza fanya mkoa wowote ule Tanzania kati ya nafaka na nguo? Naombeni ushauri jamani nipo Geita.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
"KWANINI SHIRIKA LINA NDEGE 131 LAKINI ZINARUKA 416 KWA SIKU?" Swali hili limeulizwa mara nyingi zaidi katika chapisho la juzi kuhusu historia ya shirika la ndege #Ethiopian #Airlines. Kwa...
15 Reactions
35 Replies
2K Views
MAJI BWAWA LA NYERERE (JNHPP) YAFIKIA MITA ZA UJAZO BILIONI 6 Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema wanaridhishwa na kasi ya ujazaji maji Bwawa la Kuzalisha Umeme la Mwalimu Nyerere...
0 Reactions
13 Replies
584 Views
BIASHARA YA TOOTHPICK , Namna ambavyo Charles Forster aliweza kuwa millionaire . Kutoka kwenye mji wa Boston Marekani mwaka 1826 alizaliwa kijana Charles Forster ambae alikuwa na kuanza kufanya...
7 Reactions
27 Replies
7K Views
Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara. Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya...
0 Reactions
2 Replies
645 Views
Wakuu salama. Hii fursa nimeiona huku Kanda ya ziwa. Kimsingi Mimi ni mtumishi wa Umma, zaidi ya mshahara sina chanzo kingine. Sasa nimefanya tafakur na kuibuka na wazo la kuchukua mkopo CRDB...
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Habari zenu,wakuu. Ninampango wa kufanya biashara ya kutengeneza matangazo ya biashara,ya picha na sauti...ninaipenda sana hii biashara. Ninaomba mawazo yenu,....nianzie wapi.naitaji nianze na...
0 Reactions
8 Replies
5K Views
Habari wanajamvi Nina mtaji wa 2m naombeni wazo la biashara ambalo nitaweza kuwa naingiza senti kila siku Asanteni
2 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom