Naomba kujua kama ukitumia Aliexpress kuagiza mzigo kuwa uwezekano wa kutumia agent wengine wa usafirishaji tofauti na options ambazo Aliexpress wanakuwa wameziweka...
Yani kwa mfano nataka...
Warren Buffett, in his speech and later in his article in 1984 titled The Superinvestors of Graham-and-Doddsville, told his listeners to imagine all 215 Million Americans pair up and bet a dollar...
Habari za leo wakuu,
Naomba leo tujadiri mambo ya msingi sana, mambo ya biashara.
Ni njia zipi mnazotumia kutuma mizigo ya biashara kutoka China kuja hapa Tanzania.
Mfano mzigo wa nguo, simu au...
Heshima kwenu wana bodi. Kwa miaka zaidi ya 15 nimekuwa nasumbuliwa na vidonda vya tumbo and sikuwa najua kama ni vidonda. Miaka kama ya 2013 ndo nlipimwa kwa mara ya kwanza nikaambiwa nina...
Habari wana JamiiForums,
Naombeni msaada kwa mtu anaejua biashara hii ya kuuza jeans za kike au ambae anafanya au alishafanya ,nahitaji kuuza jeans ambazo sio za mtumba, yaani kufungua duka la...
Kuna njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumiwa ili kufufua uchumi wa Tanzania. Hapa ni baadhi ya njia hizo:
Kukuza Sekta ya Kilimo: Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa wa kilimo na ina ardhi...
Habari wanaJf
Week hii tunaona IMf iki isifia Tanzania kupaa kiuchumi kutoka 69.9bilion Dollar kwa Miaka miwili tumefikia 85.45Bilion dollar.
Ambapo wastani wa pato la mtu moja moja ni sawa na...
Jamani ndugu zangu wana JF, ninalo wazo kabambe la Biashara. Mazingira yote ya biashara nimeshajiridhisha nayo.
Na wazo langu haliko na mambo mengi, lakini kila kitu kipo kwa uhakika. Nipo Dar es...
Habari wanajamii forums...
Naombeni msaada kwa mtu anaejua biashara hii ya kuuza jeans za kike au ambae anafanya au alishafanya ,nahitaji kuuza jeans ambazo sio za mtumba, yaani kufungua duka la...
Habari wana JF,
Natumai wazima ndugu zangu nimekuja kuomba ushauri kuhusu bank gan hapa nchini yenye makato nafuu kwa mwezi, na pia wakati wa utoaji, na ipi yenye huduma bora sana, na yenye...
Habarini wadau, ninatatizo moja hapa nahitaji ufafanuzi wenu. Nimesajiri kampuni kama business name au huitwa Solo Proprietor Company. Inahisika na utalii, hivi sasa na taka kujitanua kwa kufungua...
GHATI CHOMETE - SERIKALI KUFUFUA KIWANDA CHA NGUO MUTEX MUSOMA
MASWALI NA MAJIBU BUNGENI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Mara Mhe. Ghati Zephania Chomete ameiuliza swali Wizara ya Uwekezaji...
Watu wengi tushawahi kuwauliza watu eneo kwaajili ya kufanyia biashara fulani, yaani baada ya kupata wazo unalitekelezea wapi...??
Njia rahisi ya kupata eneo sahihi kwaajili ya biashara yako ni...
Hello guys,
Mimi ni mfanyabishara wa vitu vya kike (nguo na viatu). Nataka kwenda SOUTH AFRICA kujuana na supplier na kujua soko la kule likoje. Utaratibu wa kusafirisha mizigo na kilo kitu. Kuna...
Habari wakuu , Mimi ni mtumishi hivyo katika harakati za kupambana Ili kujitafutia mkate nimeona fursa katika vitu vya electronics hasa kwa watumishi kwa kuwa mm bado sipo vizuri kwa UPANDE wa...
Ebu tuelimishane,
Kwanini kwenye mfungo wa Ramadhan vyakula vinapanda bei?
Kwanini bar, gesti na kitimoto biashara inakuwa ngumu kwenye mfungo?
Mimi nilitegemea biashara ya chakula iwe ngumu...
Habari wadau,naomba msaada kuagiza mzigo kutoka Nigeria,ni ki parcel cha kubeba mkononi,mwanzo nimeagiza kupitia DHL bei ni kubwa na bado mpaka sasa sijapata, sababu ni watu wa customer TRA...
Waungwana hapa nafikiria kufungua kituo cha kuziba pancha lakini kwanza nahitaji hii machine ila sijui napata wapi mwenye ufahamu Naomba anielekeze niipate
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.