Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Sijawahi kuifanya biashara hii naombeni mwenye ufahamu anipe abc za biashara hii. Pia aniambie kwa uzoefu wake kwa siku unaweza kupata kiasi gani. Changamoto za biashara hii ni ipi. Nategemea...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
Mwezi unatuendea mwishoni Allah atubariki sana ,Amiin Katika harakati zangu za maisha Huwa nimezoea sana vibiashara vidogo vidogo mana nilishajikatia tamaa huko ajira portal Kipindi ambacho...
8 Reactions
30 Replies
1K Views
Nimeona niliweke hili ili kuwaweka huru wengi wetu, ambao tunakimbilia kununua simu za bei ghali halafu mwisho wa siku unaweka bando la mia tano (500) kwa mwezi. Hizo hela za simu afadhari...
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Wadau za kutwaa!!! Jana katika pita pita Kwa wadau wangu kadhaa wakongwe mujini nikawachana kuwa wadauee "eeee" Leo kijana wenu Dina hela hata ya kipiga masta hebu nitoeni basi mdogo wenu...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Biashara ni ni kazi nzuri sana lakini inahitaji akili nyingi sana ili uweze kuifanya kwa mafanikio ukafikia ukaipenda na kuona maisha yako bila biashara nikazi bure,yahitaji ujue kufikiri sana...
27 Reactions
20 Replies
9K Views
MHE. JANETH MAHAWANGA ACHANGIA WIZARA YA TAMISEMI MIKOPO YA 10% Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Janeth Elias Mahwanga amechangia Wizara ya TAMISEMI kwa kuiomba Serikali kuangalia...
0 Reactions
0 Replies
337 Views
Husika na kichwa cha habari. Mimi ni dada mfanyabiashara, mpambanaji ila nimekwama kidogo nahitaji mkopo wa haraka, nitakupa dhamana ya bodaboda (Mpya Haina hata mwaka) na dhamana ya kiwanja kipo...
2 Reactions
41 Replies
7K Views
Habari wakuu; Kuna ndugu yangu yupo kwenye harakati za kufungua playstation center, naomba kujua taratibu za kupata vibali n.k... ili kuifanya biashara hiyo kuwa halali na wapi kwa kufanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Habari wakuu mimi ni mjasiriamali mdogo mdogo,nilikuwa nahitaji huduma hii ya kuscan kwa kupitia seclom mastercard.msaada jinsi ya kuipata na vigezo vyake
0 Reactions
0 Replies
601 Views
Leo nakuja mbele yenu wana jf kuomba guidelines za namna ya kufungua ofisi ya kubet ofisi kubwa kabisa Kwa mzoefu na ambae alishawai kufanya hii kazi naomba anipe msaada. Swala la mtaji liko...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu? Hope mko salama! Ningependa kufahamu connection ya vifaa na material za stationery kwa bei rahisi ya Jumls kama vile notebooks, counterbooks, pen, na vifaa vingine vingine...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI Na Timotheo Mathayo, Dodoma. Waziri wa Nishati, January Makamba amesema Serikali imetenga fedha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya...
1 Reactions
4 Replies
646 Views
Ni kitu ambacho nimekua nakiona sana saivi na naona watu wengi wakitamba mitandaoni kwamba wanapiga hela ya kutosha Forex. Mtu anatengeneza mpaka milioni 3 za kitanzania kwa siku. Kiukweli...
3 Reactions
103 Replies
7K Views
Nimetengeneza application inayotaka kufanana na uber kidogo, lakini hii inaweza kufanya kazi bila kutegemea google map, na hata kama upo Kijiji unaweza kuitumia. Inahusu transportation and...
5 Reactions
7 Replies
458 Views
Wakuu kwema, naombeni ushauri. Mimi nimeajiriwa na kaka yangu kwenye biashara yake hapa ila kitu kinanisumbua akili yangu ni hiki nafanya mauzo ila kwenye mahesabu hela haifiki tena hela kubwa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari wapendwa. Nina mgodi mdogo wa dhahabu geita yani (planti)sasa nlkuwa nahitajii wataalam wa IT computer wawilii. Ambao nitakuwa nawalipa mshahara kila mwezi.
0 Reactions
4 Replies
424 Views
Habari zenu wanaJF, Nina mpango wa kununua pikipiki used, nimeona mitandaoni Facebook na Instagram pikipiki nyingi zinauzwa. Ukiachana na hofu ya kununua bidhaa mbovu, hofu yangu kubwa zaidi ni...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
SERIKALI KUTUMIA TRILIONI 6.7 KUSAMBAZA UMEME KWENYE VITONGOJI Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba amesema Serikali imetenga kiasi cha shilingi Trilioni 6.7 kwa ajili ya miradi ya kusambaza...
0 Reactions
2 Replies
435 Views
Salaam.....Good morning billionaires 😁😁😁😆 kabla hujakaa kwenye kiti wewe ni bilionaire a big mogul. ufugaji wa ng'ombe wa kisasa wa maziwa hapo sawa ukifuga ng'ombe 10 tu wanatoa maziwa wote lita...
11 Reactions
69 Replies
5K Views
Hellow ni kampuni ya utengenezaji na uuzwaji wa vinywaji baridi vya jamii ya cocacola, kwenye maeneo ya kanda ya ziwa, anaejua mmiliki wake atujuze tafadhali
0 Reactions
33 Replies
17K Views
Back
Top Bottom