Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Salaam wakuu! Hii app ya kikuu ina ukweli au uaminifu kwa kiwango gani? Kwa sababu nimeona bei ya simu samsung S23 ultra plus nimeshindwa kuelewa. Hii ni bei halisi au namna gani hapa??
3 Reactions
30 Replies
4K Views
Waheshimiwa baada ya mapambano makali sana. nimefanikiwa kupata mtaji wa shilingi milioni nne. Sasa kutokana na mimi mwenyewe kuwa mvutaji wa sigara. Nimefikiria kufanya biashara ya sigara kwa...
2 Reactions
28 Replies
12K Views
Mimi ni kijana, mwajiriwa lakini katika kupambana na maisha na kufikiria idea mbalimbali za biashara nilikutana na mdada akanigusia kidogo sana kuhusu biashara ya kununua sigara kwa jumla na...
4 Reactions
15 Replies
3K Views
MGANGA ATANIRUDISHA KWELI KWENYE RELI. INTRODUCTION: Mimi ni mtumishi wa umma Ila pia nina ndoto za kuwa mfanyabiashara mkubwa sanaa... Na nikiri NAPENDA HELA SAA. Yaani ukitaka niwe na Amani...
28 Reactions
171 Replies
14K Views
Wakuu habari, natarajia kufungua biashara ya kupaka kucha rangi na kubandika kucha rangi kwa wadada yan kuwa na frame mwenye kujua ABC ya hii biashara anipe muongozo tafadhari.
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wajasiliamali tuambizane unafanya biashara gani saizi, ulianza na mtaji wa kiasi ngapi? Na sasa uko wapi kibiashara? Ili na wengine tupate picha wapi
0 Reactions
1 Replies
405 Views
Inavyo onekana mitandao ya simu haiko Regulated kumaintain balnce of fairness kati yake na mlaji pamoja na a mawakala (Agent) Hivi siku za karibuni ukianzia Dec 2022, Mitandao ya simu imekua...
6 Reactions
9 Replies
2K Views
Wakuu baada ya kukaa kwa Muda mrefu bila ajira, sasa nimepata sehemu. Je kwa mshahara huu kwa jinsi nilivyo na usongo nataka kujiongeza Lakini sina Muda mwingi wa kusimamia naplan kumweka dogo...
5 Reactions
68 Replies
4K Views
Saffron is on its way from the ‘saffron bowl’ Pampore in Kashmir to the northeast as NECTAR in an ambitious project has successfully grown the spice at Yangyang in south Sikkim and parts of...
1 Reactions
0 Replies
364 Views
Ni kweli kila kizuri kipo Dar ila kuwepo hapo sio kwamba kinasaidia mikoa mengine kuibuka kwa majiji. Wimbi kubwa la wasomi, wafanyabiashara, watafuta maisha, miradi na n.k limelekezwa Dar na ili...
3 Reactions
11 Replies
755 Views
Habari zenu Wakuu? Ndugu zangu masika ndio hii mvua zinazidi kushika kasi kwenye baadhi ya mikoa mingi nchini, huu ni wakati sahihi wa kufaidika na mvua zinazoendelea kunyesha kwa kuwekeza kwenye...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
MHE. AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 20 KUNUNUA MAJIKO YA GESI 500 KWA WANAWAKE WA MKOA WA SINGIDA SEMINA YA MAFUNZO YA UTUNZAJI WA MAZINGIRA NA UWEKEZAJI, RC MISSION MJINI SINGIDA KAULI...
0 Reactions
2 Replies
512 Views
Hello! Nipo Mwanza nahitaji kuuza pazia japo sio mara yangu ya kwanza nimekua nikiziuza, kwahapa Mwanza nachukulia 20000 pazia Mbili. Natamani kujua kwa Dar Bei inawezakua sh ngapi? Maana wengi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MAWAZO YA BIASHARA NDOGO NDOGO, KUANZIA MTAJI WA ELFU 10-50 1,DAGAA WA BUKOBA Dagaa hawa wanapatikana masoko mengi, hawa wanakua hawana mchanga kabisa, wanauzwa kg moja elfu nane huwa inashuka...
47 Reactions
92 Replies
160K Views
Kitaalamu kuna haja ya kuwapeleka watu bara au nchi fulani ili kujifunza ni kwa jinsi gani wao wamefanikiwa kiuchumi. Nimeiona mahali nikawa najiuliza mwenyewe; hata hivyo, nikaona niwahusishe...
0 Reactions
0 Replies
359 Views
Habari wakuu, nina mfumo ambao unamuwezesha mteja kufuatilia mzigo wake kila hatua mpaka unamfikia bila utumizi wa Internet, yaani nipo Mwanza nimeagiza mzigo kariakoo, nikisha lipia, niweze...
5 Reactions
10 Replies
889 Views
Habari ya humu wadau? Nauliza mtu anayejua sehemu wanauza MIAMVULI KWA bei ya jumla Dar
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habarini Guys. Nimepata idea ya Kukamua Mafuta ya Mawese au ya Mchikichi ila sasa malighafi ya uhakika na bei rafiki ndio najaribu kuwaza.. inapatikana wapi kwa wingi?? Kama una uzoefu wa...
2 Reactions
24 Replies
5K Views
Habari wakuu, Natafuta mwekezaji ambaye atawekeza kwenye gharama za uendeshaji wa Kampuni. Kampuni inadeals na Engineering works na supply of materials. Kwa sasa, Kampuni ina investor ambaye...
0 Reactions
12 Replies
896 Views
Back
Top Bottom