Ndugu habari za majukumu naomba anaefaham juu ya soko husika la bei za ngozi ya ng’ombe pamoja na pembe zake soko linapatikana wapi lakini pia nahitaji kufahamu kiundani zaidi kuhusu hii biashara
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu, Profesa Joyce Ndalichako akimkaidhi tuzo Mkuu wa kitengo cha Ulinzi, Usalama na Mwendelezo wa Biashara wa Benki ya CRDB...
Wadau, nina kampunga kama 220M, ni wapi naweza kafix kwa ziadi ya asilimia 15 per annum?
Nimecheck;
~ UTT ni kati ya 12 hadi 14
~ NMB 7
~ CRDB 7
~ Access bank 14.5
~ Finca 14.5
Je, benki gani...
Ndugu zangu habarini naomba msaada Kwa ambao mshafanya kazi migodini Kuna kufaa kinatumika kuchimbia sehem ambayo ni ngum kinaitwa (Bamubamu) je ukiwa mlikii wa kufaa hiki faida zake ni nini na...
Habari wakuu,Niko mkoani Mbeya,naomba kwa yeyote mwenye connection ya biashara za mazao.Nina mtaji kiasi 2.5M.Niko tayari kushirikiana pia katika kufanya hiyo biashara.
MASACHE KASAKA - 40% YA MADINI YANATOKA KWA WACHIMBAJI WADOGO LAKINI MAISHA YAO HAYAAKISI WACHOKIZALISHA
Mbunge wa Jimbo la Lupa tarehe 27 Aprili, 2023 akichangia bajeti ya Wizara ya Madini ya...
Fanya utafiti (Research) katika platform tofauti za freelancing au sehemu ya kuuza ujuzi wako
(zipo zaidi ya 100)
Uchague sehemu chache na Uzifanyie kazi.
Mfano:
Upwork, @fiverr, linkedIn...
Kutoka kwenye clip fupi ya mtanzania mwenzetu Bwana Saimon Sirikwa anayefanya kazi kwenye sector ya utalii nimejifunza mambo machache ambayo nadhani tunayapuuzia au hatutaoni japo ni muhimu...
Habari za asubuhi na hongereni kwa majukumu ya utafutaji.
Kumekuwa na mijadala mingi sana huu ya pesa mtandaoni. Na kuna baadhi wametoa shuhuda jinsi wanavofanikiwa kwa njia mbalimbali za...
Naomba kujua ABC's za kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel. Yaani iwe kutengeneza aina zote za vifaa vya aluminium na grills za madirisha, milango na mageti.
Pamoja na...
Naomba wadau wa jukwaa hili tusaidiane kuweka taarifa muhimu za kibenki ili ziwasaidie wadau wanaohitaji mikopo midogo midogo na ile ya kati kwa ajili kuendesha biashara. Natamani tungekuwa na...
Wandugu ushauri please nataka kufanya biashara ya wine kama Dompo, Bihawana, Image, Dodoma wine, Hombolo nk kutoka Dodoma na kupeleka mikoani kama Mbeya, Songea nk nimepeleleza soko la huko kwa...
Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii...
Wazee,
Mimi nipo Mbagala naomba kuuliza kwa wanaojua au kwa ambao walishawahi kuagiza kitu kupitia Ali express. Mimi nataka kuagiza kitu kupitia Ali express ila inanishinda.kwa sababu nilishazoea...
Wakuu habari zenu nahitaji kufahamishwa mahali kilipo au vilipo kiwanda vya nguo kwa Dar au Pwani ambacho kinazalisha tshirt.
Achana na vile vya external pale.!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.