Tafadhali. Kama unayo Manual Transmission SUV tubadilishane na hii Crown Royal namba 'E' yako iwe alau namba D na hali nzuri. Mine ni full document very fine. Tuchekiane DM.
Chuma iko vizuri mno.
Habari wakuu, nawakaribisha katika mfumo huu mpya wa kidigitali kwa ajili ya majaribio *149*46*14# Buree kwa watumiaji wa Vodacom, Tigo na Airtel
Nunua Bidhaa kupitia Instagram, Facebook...
Habari zenu wana jamvi! Napenda kuwatangazia kuwa nauza mafuta ya alizeti kwenye ujazo wa lita 20 na lita 5. Mafuta haya yamechujwa vizuri kabisa na ni salama. Bei ya mafuta kwa ujazo wa lita 20...
Habari za leo wakuu:
Siku hizi mawakala wapya wa NMB wanasajiliwa bila ya kupewa zile mashine za kutolea risiti badala yake wakala anafanya kupitia simu yake ya mkononi hivyo mteja anaondoka na...
Srinagar (Jammu na Kashmir)
Idara mbalimbali ziko bize kujiandaa kwa mkutano wa G20 utakaofanyika Srinagar, huku zingine nyingi zikiwa zimekamilisha maandalizi yao.
Pia kuna programu ya ziara ya...
Habari wapendwa, Poleni na majukumu
Kuna mwenzangu alifanya maombi ya uwakala wa M-pesa, na hatua zote alishazifanya ikawa katika harakati za kupatiwa till number yule alokuwa anahusika...
SEKTA BINAFSI NI NYENZO KATIKA KUIBUA MIPANGO NA FURSA ZA KIFEDHA
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb.) amesema ushiriki wa sekta binafsi chini ya ubia kati ya...
NAIBU WAZIRI VIWANDA - SIDO LWOSAA KUKARABATIWA KWA SHILINGI MILIONI 293.99
Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe (Mb) amesema kuwa zaidi ya Shilingi Milioni 293.99...
Habari za leo
Hivi karibuni kumetokea wimbi la uchache wa machine za NMB kwa mawakala hivyo baadhi ya mawakala walilazimika kutumia NMB via Selcom
Lakini kutokana na changamoto kati ya NMB na...
Mhe. Khamis Hamza Khamis, Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira)
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii imesema inaendelea kutekeleza mikakati mbalimbali ya kukuza...
Habari za jioni Wakuu?
Leo nimependa kujua biashara ya uuzaji wa kemikali kwa wale wote wanahohusika na hii biashara
Naomba mnipe hints kuhusu biashara hii katika kila kitu kuanzia mtaji...
KUNTI MAJALA AHOJI KWANINI TANGA CEMENT ILAZIMISHWE KUUZWA TWIGA CEMENT
Mhe. Kunti Majala, Mbunge wa Viti Maalum tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga...
Mhe. Sylivia Francis Sigula - Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana
Mhe. Sylivia Francis Sigula, Mbunge Viti Maalum kupitia kundi la Vijana tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia...
Mhe. Njalu Silanga, Mbunge wa Jimbo la Itilima
Mhe. Njalu Silanga, Mbunge wa Jimbo la Itilima tarehe 05 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement wakati wa...
MBUNGE MHE. GETERE - TANGA CEMENT INA HIFADHI YA MALIGHAFI YA SARUJI HUKU TWIGA CEMENT WANA MITAMBO MIZURI YA KUZALISHA SARUJI
Mbunge wa Jimbo la Bunda Vijijini Mhe. Boniphace Mwita Getere...
MBUNGE JUDITH KAPINGA ASISITIZA UTARATIBU UFUATWE BAINA YA TWIGA CEMENT NA TANGA CEMENT
Mbunge wa Viti Maalmu Vijana Kupitia Kundi la Vijna, Mhe. Judith Kapinga jana tarehe 04 Mei, 2023...
Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni
Mhe. Abdulghafar Idrisa Juma, Mbunge wa Jimbo la Mtoni tarehe 04 Mei, 2023 alipata nafasi ya kuchangia suala la Tanga Cement na Twiga Cement...
Mhe. Ramadhan Suleiman Rmadhani, Mbunge wa Jimbo la Chakechake
"Hadi sasa hakuna ubishi kwamba yapo maamuzi ya Mahakama ya Ushindani wa Kibiashara (FCT) kwenye kuzui mchakato wa Twiga Cement na...
MIRADI YA KIMKAKATI YA NISHATI KUIMARISHIWA ULINZI
Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Innocent Bashungwa wamekutana kwa ajili ya kupanga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.