MHE. CHARLES MWIJAGE AIONYESHA SERIKALI MBINU YA KULINDA VIWANDA
Mbunge wa Jimbo la Muleba Kaskazini, Mhe. Charles John Poul Mwijage Akizungumza Bungeni wakati akichangia hoja kwenye bajeti ya...
MHE. DUNSTAN KITANDULA - TARATIBU ZIFUATWE TWIGA CEMENT KUINUNUA TANGA CEMENT
Mbunge wa Jimbo la Mkinga, Tanga, Mhe. Dunstan Luka Kitandula wakati anachangia hoja ya bajeti ya Wizara ya...
MHE. TIMOTHE MNZAVA - MCHAKATO WA TWIGA CEMENT KUINUNUA TANGA CEMENT UWEKWE WAZI KUONDOA MALALAMIKO
Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Timotheo Paul Mnzava leo Bungeni wakati akichangia...
Kutokana na kutembea sana humu JF nimekutana na baadhi ya member wakiuliza njia za kutumia ili waweze kulinda mawazo yao ya biashara mimi kama member mwenzenu nilikuwa katika sintofahamu hiyo...
BAJETI YA WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/2024
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara, Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb,) amesema ndani ya mwaka mmoja, mifuko na...
Nyie LATRA na TABOA RATIBA zenu za mabasi zinamnufaisha nani. Wananchi hawanufaiki na hawana pa kusemea. TABOA ni chama cha wamiliki wa mabasi sio wasafiri.
Mnaanzisha ratiba za mabasi saa 9...
Karibu wadau wote kwa alie kuwa na muda tayari wa kuweza kuwekeza kwenye sekta ya uvivu na wakaribisha kigamboni, mjimwema
Kila kitu kuanzia mtumbwi unavo anza kutengenezwa mpaka kukamilika...
Bila shaka mko njema wakuu
Kwa hapa Dar wapi wanafungua mabelo yenye nguo kali grade one
Nahitaji za kupoint nikauze mtaani
Naimani hapa kuna wazoefu wa hizi kazi
Naombeni msaada wenu kwa hili...
Habarini wakuu,
Nina swali zito naombeni majibu yake.
Nimepata mfadhili mmoja katika tafuta zangu. Ameniambia nitafute mradi mmoja wa kuwekeza unaoweza kugharimu billioni 116.
Je, ni mradi gani...
Habari za mida hii wanajamvi.
Naomba msaada kwa yeyote anae fahamu ni wapi na weza kupata viazi mkoani Mbeya au Njombe.
bei iwe ya jumla ya shambani na pia gharama za usafiri zimekaaje? Kwa...
Natumai muwazima wa afya poleni na harakati za kusaka haki ya tumbo.
Nipo mkoa wa tanga mimezunguka sana kusaka hiyo bidhaa pichani.
Lakini bado sijafanikiwa nahitaji msaada wapi nitapata kwa...
MHE. SUBIRA MGALU ATOA ELIMU YA MLIPAKODI CHALIZNE MKOA WA PWANI
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mhe. Subira Mgalu ambaye ni Balozi wa kuhamasisha kulipa kodi tarehe 2 Mei, 2023...
Katika kujitafutia ridhiki watu hufanya kazi mbalimbali za kuajiriwa au kujiajiri, za kutumia taaluma, ubunifu na ujuzi wa nguvu zao walizojaaliwa na Muumba lengo likiwa kupata kipato kwa aliji ya...
Kuna katabia ambako huenda viongozi wa Simba na Yanga wananufaika wao binafsu nyuma ya Pazia. Iko hivi... toka Mwaka jana Clouds wamekua na tabia ya kukampenisha matangazo yao ya Bahati nasibu ya...
RAIS DKT. MWINYI APANDISHA PENSHENI KWA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapandisha pensheni kwa wastaafu...
Baadhi ya Tuzo zilizotolewa zinafikirisha, kwa mfano mkurugenzi anapokeaje tuzo ilihali katika taasisi anayoiongoza ina watu zaidi ya 100 ambao wao ndio wanaofanya kazi kwa kutaabika kumenyeka...
Aisee maisha yalinipiga wadau miaka kadhaa iliyopita, nilikuwa Dar kwa kipindi kirefu hela nilikuwa nashika lakini ni Kama nawatafutia watu. Kodi ya nyumba, nauli za daladala kila siku, kifungua...
Hello JF, ni muda umepita toka niandike kitu chochote humu, na kwa leo, since I feel like writing, nimeona niandike kuhusu kitu kinachoitwa Lead Generation; Skillset muhimu ambayo itabidi uwe nayo...
Pendekezo la Mradi yaani "Grant/Business Proposal" ni andiko linaloonyesha hitaji (need), fursa (opportunity), au tatizo (problem) lenye kuhitaji kuchuliwa hatua. Mmiliki wa tatizo, fursa au...
Mamlaka ya Mapato TRA imesema itaendesha msako mkali kwa wote wanaouza na kununua bidhaa bila kuwa na risiti.
Msako utaanza rasmi tarehe 01/02/2022.
Mjulishe na mwenzako kama nilivyowajulisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.