Habari wakuu,
Kama mnavyofahamu matatizo ya umeme yanakwamisha sana shughuli hasa zinazohitaji computers, naomba kuuliza kwa wale wanaozifahamu backups za computer je ni bei gani zinapatikana
Kadili taasisi inavyokuwa ndivyo idadi ya wafadhili inavyoongezeka, kitaalamu tunaita "Increase of Donor Base". Katika hali hii, taasisi inapaswa kuwa na utaratibu wa kuboresha taarifa za...
Ukiwa Shule uliwacheka sana walimu juu ya mavazi yao. Uliona habadilishi viatu na nguo zinahesabika.
Haya tuambie baada ya life la kitaa umeonaje uhalisia wa maisha ya kujitegemea na kulea...
MBUNGE NDAISABA ASHIRKI HAFLA YA MIAKA 10 YA CRDB KUTOA HUDUMA ZA KIBENKI KUPITIA MAWAKALA
Mbunge wa Jimbo la Ngara Ndaisaba George Ruhoro tarehe 08 Mei, 2023 alishiriki Hafla ya kuadhimisha...
Salamu Wakuu wa Jukwaa.
Mimi ni moja ya wafanyakazi katika Taasisi wilaya Ya Ngorongoro Mkoani Arusha, mahala nilipo ajiriwa ni karibu sana na Kenya almost kilomita 20 kuingia nchi Jirani. Huku...
Wakuu wajasiliamali mambo ni vipi? Tukiendelea na hustles za kila siku leo nmekuja na hii.,,
Nimebahatika kupata printer mpya kabisaa buree brand ni EPSON L850 ina uwezo wa kuprint coloured...
Mnamo Mei 11 hadi 12, Google ilizindua rasmi Android 13, mfumo wa uendeshaji wa kizazi kipya. Kama mwanzilishi wa kimataifa katika teknolojia ya elektroniki, kampuni ya simu ya TECNO ilikuwa...
Habari zenu wakuu, nimepitia pitia mitandao ya huko kwa wenzetu nimeona kwamba huwa kuna unga ama vimiminika vinarejesha rangi za nguo zilizopauka rangi.
Kwa hapa kwetu nimeona nguo hasa hizi za...
Mie ninafanya biashara za sendol za kimasai, ila sipati kazi nyingi kama zamani na maisha haya naonelea huu muda napoteza Bora nifanye vyote yaani ni ajiriwe huku nikiendela na biashara ya...
Katika uchenjuaji wa makinikia yenye dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi na kupata faida kidogo au hasara.
changamoto hii hutokana na uzembe wa mtalaam mwenye dhamana ya...
Unajua moja ya mambo yananikera kwa muda mtefu ni tabia za MADALALI sio kuuza vitu bei juu hapana nikuchelewesha BIASHARA kwasasa mimi natafuta gari IST au Vitz bajeti 6mil. Lakini nakutana na...
Habari, Hill Medical Equipment ni kampuni inayo jihusisha na uuzaji na usambazaji wa vifaa tiba(medical equipment) katika mikoa yote ndani ya tanzania.
Pia hill medical equipment tunauza vifaa...
Kama heading inavyosomeka, nahitaji kisimbuzi cha azam cha dishi, sio lazima kiwe complete na dishi kwani naweza nikaunga kwa kutumia dishi lolote nililo nalo.
Zingatia: Kisiwe yale matolea ya...
Habarini za muda huu wana jukwaa, nauza iphone 7 plain kwa bei ambayo ipo in mint(excellent) conditions kabsa na ina sifa zifuatazo:
Iphone 7 plain
32 Gb
Ram 4
Battery 100%
280k price...
Habari wana JamiiForums, mimi ni kijana wa kitanzania ninahitaji msaada wa namna gani ninaweza kupata mfadhili au wafadhili wa miradi (project) kutoka ndani au nje ya nchi kwa yeyote.
Anayefahamu...
Mimi nimuajiriwa wa Kijijini chenye idada ya Watu 2300 ,shughuli zao kubwa ni kilimo cha mahindi Kwa Sana maharage Na Mpunga kidogo ,zao la mkonge limetawala baadhi wazee wanapga pesa za mkonge...
1. Biashara ya kuuza vocha za simu;
2. Biashara ya vibanda vya kupiga simu;
3. Biashara kutembea na Camera kupiga picha;
4. Biashara ya Disco vumbi;
5. Biashara ya Kuonesha Video (VHS);
6. Kusoma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.