Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

"Lack of Capital" Umekua ni msamiati unaoimbwa kila siku kila Kona ya nchi yetu na hata nje ya nchi pia. Kijana akiambiwa kwa nini hufanyi kazi yeyote ama hujajiari,, Anasema sina mtaji...
7 Reactions
4 Replies
856 Views
Nina ndugu yangu kaanzisha biashara ya Restaurant na tayari imeanza kumshinda. Nilienda kufanya tathmini kidogo ili niweze kumshauri nikajikuta nashindwa cha kumshauri...ingawa makosa nimeyaona...
19 Reactions
31 Replies
4K Views
Naomba kufahamishwa ni kampuni gani ya kusafirisha mizigo inayoweza kusafirisha kwa haraka na kwa bei nafuu kama nikinunua Bidhaa online kwenye mtandao wa Ali express
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Naomba kujua kuhusu bishara ya miti yambao Iringa. Ninataka kununua shamba ili nipande miti then baadae nije kuiuza. Nilichokuwa nataka kujua ni... *Je, huwa inachukua miaka mingapi? *Bei ya kila...
3 Reactions
15 Replies
5K Views
Naomba Kuuliza anaefahamu muda wa marejesho ya Mikopo ya Amana Bank Mfano nikichukua vifaa Vya ujenzi vyenye thamani ya m.20 Muda maximum wa kurejesha ni miaka mingapi?
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Editorial Note: We earn a commission from partner links on Forbes Advisor. Commissions do not affect our editors' opinions or evaluations. There’s no magic formula for building wealth and...
2 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari za wakati huu JF Members. Dhumuni la thread hii ni kutafuta partners wa kushirikiana nao Kuunda team kudevelop ideas na kuzibadili ideas hzo kuwa ajira kwetu na kwa vijana wenzetu...
7 Reactions
55 Replies
4K Views
Kupata TIN NO siku mbili au moja, kupata leseni yaweza kukata mwezi unaenda na kurudi nauli 15000. Alafu kuna makadilio ya mapato sijui mnatumia vigezo gani kukadilia mapato sehemu ya vijijini...
7 Reactions
31 Replies
2K Views
Metaverse ni ulimwengu wa 3D wa kidigitali ambao umetengenezwa kwa mifano ya vitu vyote vilivyopo kwenye dunia tunayoishi kwa sasa. kupitia Metaverse watu wataweza kukutana,kushiriki...
15 Reactions
43 Replies
5K Views
Nimefuatilia utangazaji wako kwenye kipindi chako cha PPR kwenye wiki ya ubunifu. Nimeuona umahiri wako. Kama kawaida nimefurahia utangazaji wako na mbwembwe zako. Hongera sana Bwana Paschal.
3 Reactions
3 Replies
453 Views
Karibuni kwa maandiko bora ya BUSINESS PLAN at a very negotiable price. Kindly inbox me for a serious client only. Jua kabisa hatutashindwana malipo na utendaji kazi ni wa kiwango kilichotukuka...
1 Reactions
1 Replies
787 Views
Ndugu zangu wanajamvi naomba kusaidiwa hatua za kufungua Zahanati itakayokuwa chini ya kampuni na namna ya kuandaa memorandum ya zahanati husika.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wadau, mimi ni kijana na ninae jishughulisha na utoaji wa huduma ya mikopo. Ofisi yangu ilianzishwa mwaka 2022 mwezi wa 3 na nimefanya usajili na kuendelea kutoa huduma ya mikopo midogo kwa...
6 Reactions
14 Replies
2K Views
Habari zenu wana jamvi, kama kichwa kinavyojieleza kiukweli natamani sana kufanya uwekezaji kupitia hisa lakini sifahamu wapi nitaanzia hasa kuyapata hayo makampuni na miongozo mbalimbali. Kama...
2 Reactions
4 Replies
503 Views
Wadau poleni na majukumu nilikuwa naomba kuuliza jinsi ya kunua hisa za NMB au CRDB ni mpaka uwende DSE. Kingine je faida za hizo hisa zake kwa aliyejiunga zikoje naomba mwenye uzoefu tafazali...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Nipo Uturuki kwa muda mrefu sasa nimekuja kimasomo na kuangalia fursa nyingine pia. Ila nimegundua kitu kimoja baada ya kufanya internship kwenye biashara ya kifamilia wenzetu kampuni zao za...
15 Reactions
29 Replies
2K Views
Jf nadhani hamshindwi jambo lolote ikiwemo pamoja maoni mbalimbali nataka kuanza biashara ya kuuza vyombo vya nyumbani mtaji wangu ni m3 sehemu ya kuuzia ninayo lakini naona ni bora nitafute kitu...
2 Reactions
174 Replies
81K Views
Kwahiyo, location imekuwa tatizo kuoata kwasababu sehemu nyingi watu wamejaa wenye kufanya tasnia hiyo ya stationery. Location ambazo nakusudia ni: Posta Sasa sijapata na naskia stationery...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Ndugu zanguni naomba kueleweshwa na kupata uzoefu wa namna ya kuifanikisha biashara ya kuuza nafaka kwenye frem, mfano Michele, unga, marage, dengu nk. Naomba kuelewa 1. Risks zake 2. Faida...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wana JF, natumaini mko salama kabisa mnapambana na majukumu ya kila siku leo nmependa niongelee kwa ufupi kuhusu lead generation, amapo Kukusanya leads ni muhimu kwa mafanikio ya biashara...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Back
Top Bottom