Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Nijikite kwenye mada moja kwa moja, nina hitaji kupata dalali wa nyumba na viwanja kwa mkoa wa Dar es salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Mwakilasa: Man who dreams biodiesel fuel...
1 Reactions
20 Replies
4K Views
Mfanyabiashara Fred Vunjabei ameandika hadithi fupi kuhusu maisha yake ya kibiashara na rafiki yake Frank Knows. Ameandika hivi:- [emoji117]Miaka kadhaa iliyopita nilikuwa na duka moja dogo sana...
21 Reactions
64 Replies
17K Views
Wakuu hisa za Tanga cement zimerise for almost 50% ndani ya wiki mbili tu. Kama mjuavyo hii mostly imechangiwa kwa kampuni hii kuuzwa kwa Twiga cement company PLC hivyo future prospectus itakuwa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Hellow members,Naweza kufanya kitu gani au kutoa huduma gani kibiashara kwa kutumia vitu hivi nilivyo navyo bila mtaji? Vitu vyenyewe ni: 1.Smartphone 2.Simu ndogo.
2 Reactions
6 Replies
461 Views
Msajili wa Hazina Bw Nehemiah Mchechu (wa tatu kushoto) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya Tsh 6 Bilion kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya NBC Bw Theobald Sabi (Kushoto) ikiwa gawio...
0 Reactions
1 Replies
870 Views
Wandugu I am reaching out to you with a crazy idea that I'm sure will boost your business. As we all know, people love to come together, socialize and have drinks including cold beers😋🍺🍻 whoow...
0 Reactions
2 Replies
460 Views
The heading doesn’t need further explanation
0 Reactions
4 Replies
248 Views
Wakuu hii risit ya machine kodi ni kuanzia bei gani maana mimi nadai risit kila uchao ila hii ya leo naona sifuri kwenye kodi Hii ni laki imeonyesha kodi chini ya 10000 serikali haikati asilimia 18
1 Reactions
9 Replies
583 Views
Wakuu, Kumekuwa na mvutano sana kati Serikali kwa maana ya TRA na wafanyabiashara ambapo wafanyabiashara wengi hawapendi kutoa risiti hizi za mashine(EFD), na kama wakitoa basi itabidi uchague...
6 Reactions
53 Replies
10K Views
Habari wakuu, kuna wazo moja nimepata la kuweka haya madude ya wachina kwenye moja ya frame nilionayo, nataka kuanzisha haya ma bonanza kidogo walau paweze kuchangamka maana pamedorora kweli. Kwa...
1 Reactions
28 Replies
4K Views
Katika biashara kuna mambo mengi sana ya kufanya ili uweze kufanikiwa na kufika sehemu ukaona faida ya biashara,Katika mambo mengi kuna moja ambalo wafanyabiashara wengi hawalitambui na wachache...
9 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau poleni na majukumu ya kulijenga taifa. Kama Mtanzania mwenye ndoto na malengo ya kufika mbali nimewaza na kuona njia mbadala ya kuwekeza kwa Dunia ya sasa ni kununua dhahabu. Hii imetokana...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Wapo watu wengi, wanatamani kuwa wajasiriamali; wamiliki biashara zao, kampuni, kiwanda n.k Na wengi wetu huwa tunalenga kupata faida kwa haraka haraka, na inapotokea ukapata faida kidogo, baada...
3 Reactions
6 Replies
1K Views
Naomba mwenye ufafanuzi wa uchumi kati ya china na Amerika maana kila siku naskia Amerika inaongoza kiuchum. Nikirudi nyuma zamani tulikua na baiskeli za fonex zimefanya vizuri sokoni na ilikua...
1 Reactions
9 Replies
600 Views
Natamani kutuma maombi ya CSR yani corporate social responsibility kwenye makampuni yaliyo karibu yangu hata yaliyo mbali. Ila sijui nifanyeje ili maombi yangu yawafikie na wanizingatie Mwenye...
1 Reactions
9 Replies
980 Views
Wakuu (wahusika) habari ya jioni. Samahani kwa usumbufu, lakini nimekua nikiifuatilia sana hii kitu NMB SANDBOX API huduma ya NMB Bank kwa ajili ya staturps/computer developers ambapo wanaweza...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari Watanzania, Heri ya miaka 58 ya uhuru! Bila kupoteza muda ngoja tuongee namna ya kununua vitu kutoka nchini China hasa kupitia platform ya Alibaba ( Made in China) Kwanza Kabisa Alibaba...
25 Reactions
24 Replies
12K Views
Wasalam wana JF Mimi ni kijana najishughulisha na ujasiriamali kwa kufanya biashara ya duka la rejareja pamoja na shughuli zingine. Dhumuni la kuleta uzi huu ni kutokana na kuyasoma mazingira...
5 Reactions
5 Replies
3K Views
Habarini naomba mnisaidie kuniambia kuhusu online Bussiness kwasababu Natafuta kazi ya online.
0 Reactions
0 Replies
857 Views
Back
Top Bottom