Haiwekani mimi nimepanga frem labda laki moja kwa mwezi, nakuja kutaka tin namba mnaniambia niletee mkataba wa pango, nikasheleta mnaniambia nilipe 10% ya Kodi niliyolipa kwa mwaka halafu mimi...
Habarini,
Leo ndugu yangu kaingia cha kike baada ya kuchelewa basi la Newforce kutoka Dar kwenda Sumbawanga na kupanda basi la Majinjah special.
Alikata tiketi ya Newforce siku 2 kabla leo...
Hello waungwana,
Nipo mkoani Arusha. Nina mtaji wa vifaa vya Lab ila gharama ya kulipa pango na pia kurekebisha chumba pesa imeniishia. Sasa basi kama na wewe una ndoto hiyo naomba tushirikiane...
Ukiacha ualimu wangu wa Serikalini, hii ndo hobby yangu.
Faida ya kuwa master kucha:
1) Uhakika wa kula ni nje nje, kulala njaa utake mwenyewe
2) Uhakika wa constant flow of income ni 100%
3)...
EWE ndugu nakuomba Husika na kichwa chahabari hapo juu,lengo na dhumuni nikitaka ujuzi na maarifa mapana juu ya biashara ya VIFAA vya sora na umeme.MAWAZO YAKO NDOKUFANIKIWA KWETU
Unaweza usielewe kichwa ya habari ila maana yangu ilikua ni moja tunapoongelea moyo tunaongelea kile kitu unachopenda, katika vile tuvipendavyo ndio vina fursa nzuri ndani yake.
Nimewahi na...
Wanajukwaa na wasalimu kwa jina la Jamhuri Tanzania.
Ndugu zangu kiukweli nahitaji mtu ama Taasisi yeyote ya kuweza kunisaidi kumalizia miradi yangu ambayo nimekwisha ianza.
1) Mradi wa kwanza...
Msaada wenu waungwana, nahitaji wazo la biashara yoyote/kitu chochote kitakacho nikiingizia faida kuanzia Tsh. 10,000/= na kuendelea.nikiwa na mtaji wa 1.5m
Napatikana ukanda ambao Mbaazi, Ufuta na Korosho vinapatikana kwa wingi sana.
Kwa mwenye connection na Mtu au Kampuni yoyote inayojishughukisha na ununuzi wa mazao tajwa; Nipo tayari kufanya nao...
Niliajiriwa 2014 kwenye sector ya elimu (mwalimu), nimepambana na maisha ya utafutaji Si haba Mungu kanisaidia nimefanikiwa kupata mtaji kiasi,nimefungua maduka mawili, duka la mahitaji ya...
Wana Jamiiforums sasa ni muda wa kuangalia fulsa vijijini kwenye mazao....ni mkoa gani kuelekea mavuno unaweza ukachukua bidhaa mjini na kwenda kijijini kibiashara ukapata kufanya biashara...
Tangu muda mrefu nimekuwa nikiwiwa kutaka kuanzisha Taasisi au Kampuni Binafsi ya Upelelezi hapa nchini Tanzania ili kufanya uchunguzi juu ya masuala mbalimbali ambayo yanahitaji kuchunguzwa...
Wanaforum naomba kujua kwa yeyote mwenye kujua sehemu wanapouza mayai ya jumla kwa Dar es Salaam.
Trey ni sh ngapi na unatakiwa kuchukua trey ngap ili upate kwa bei ya jumla?
Habari
Naomba mwenye uzoefu wa faida ya haya madude, yanalipa pesa nzuri? Nataka niweke kibarazani kwangu
Baadhi ya Michango toka kwa Wadau
=======
Hayauzwi, ila unaongea na kukubaliana nao...
Mauzo ya Biashara za Mtandaoni yanakadiriwa kufikia Kiasi cha dola za Kimarekani Trilioni 6.3 mwaka 2023, sawa na ongezeko la asilimia 10.4 ikilinganishwa na mwaka 2022.
Ongezeko kubwa zaidi...
Habari Wana jukwaa la Biashara, Uchumi na Ujasiriamali. Niende moja kwa moja kwenye mada tajwa Apo ju. Je, Ni kweli Kuna free movement across SADC members.
Source: ITV, Katika kipindi Cha dakika...
Wakuu heshima zenu!
Bila kupoteza wakati niende kwenye point ya muhimu ilionifanya kufungua hii mada, mimi ni kijana mwenye miaka 20 na kwasasa nipo Mwanga Kilimanjaro, mpango wangu hasa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.