Biashara, Uchumi na Ujasiriamali

Special forum for those interested in Business and Economics discussions

Mega Projects in Tanzania

Threads
243
Posts
7.3K
Threads
243
Posts
7.3K

JF Prefixes:

Kuna Restaurant Saloon ya kike na ya kiume Duka la nguo Duka la nafaka Bar Duka la mangi Katika biashara hizo ni ipi inalipa zaidi?
6 Reactions
44 Replies
7K Views
Interview ilipoanza imetunyima kupata taarifa Binafsi za Mh. Sumaye. Hatukuijua familia yake, pia Masoud alikurupuka sana na kuanza kuuliza maswali ya juu kabla ya kumfahamu kutoka chini...
2 Reactions
2 Replies
451 Views
Ni watu ambao kwa kipindi hicho walitupa hamasa na tukaona watafika mbali sana kwenye ujasiriamali lakini mambo ymekuwa ndivyo sivyo kwa wengi hasa wakivuka 30 Patrick Ngowi - Alikuwa na kampuni...
10 Reactions
14 Replies
1K Views
Naomba kufahamu namna ya kuhamisha pesa from Safaricom M-PESA to Vodacom M-PESA Asante
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu humu JF ningependa hufahamu zaidi kuhusu hii kitu 1. Vigezo vya kupata mkopo 2. Naskia inabidi iwe kwenye kundi, je ni kundi la watu wangapi? 3. Je ni mkopo kiasi gani huwa wanatoa...
2 Reactions
18 Replies
3K Views
NAIBU WAZIRI EXAUD KIGAHE - SERIKALI INAANGALIA FURSA KUWAWEZESHA WANAWAKE KUWEKEZA KATIKA KATA Naibu Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Exaud Kigahe amesema Serikali inaendelea...
0 Reactions
1 Replies
307 Views
Wakuu habari ya muda huu, naombeni ushauri juu ya haya maeneo.nimepata viwanja viwili pande zote mbili vipo sawa kwa vipimo yani 30*40 na bei kote ni 6m cha kiluvya kipo kwa komba na chanika kipo...
1 Reactions
19 Replies
7K Views
Njia bora za kupata jina sahihi la biashara yako Kupata jina sahihi la biashara ni hatua muhimu katika kujenga kitambulisho chako cha biashara na kuwasiliana na wateja wako. Hapa kuna njia bora...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Jamani mkipenda msome 4IR Token. The Web3 and the 4th Industrial revolution in Africa Karibuni
0 Reactions
3 Replies
391 Views
Habari wana JF, Naomba nijuzwe namna ya kununua hisa za makampuni ya nje ya nchi Mfano:- Amazon, Apple, Tesla na mengine mengi Njia za kununua au wapi naweza kupata taarifa sahihi zaidi...
11 Reactions
103 Replies
9K Views
Lengo ni msingi muhimu katika kufikia malengo yetu. Bila lengo, ni vigumu sana kuamua hatua za kuchukua na njia ya kufuata ili kufikia mafanikio. Lengo linatupa mwelekeo na jinsi ya kushirikisha...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Wakuu nauliza nauli ya kwenda china kwa Sasa ni dollar ngap go and return...na vip sasa hivi ni mpaka uwe uchanjwa chanjo uvico19 ndo unaruhusiwa kuongia china
4 Reactions
49 Replies
7K Views
Wadau Nina fremu,nahitaji kuanzisha biashara ya duka la nguo,jinsi za kike na kiume,kadets,mashati,tishets,boxers,chupi na vinavyofanana na hivyo.....je Ni rangi ipi inafaa kwenye kupaka hiyo...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Miti ipo Suma Katumba Rungwe Mbeya. Leta hela jichukulie miti, ni minene inafaa kwa ujenzi wa aina yoyote. Ipo barabarani kabisa ukifika Suma Secondary ni hapohapo barabarani shamba lilipo. Kama...
2 Reactions
5 Replies
596 Views
Heri ya krismasi ndugu zangu Nina shida na pos/mashine za uwakala wa bank NMB na CRDB. Nimefuatilia bank sasa hivi hawatoi hizi mashine, wanaunganisha kwa njia ya simu na sehemu nilipo wengi wana...
6 Reactions
33 Replies
6K Views
KITUO CHA UWEKEZAJI TANZANIA (TIC) CHAAGIZWA KUKAMILISHA DIRISHA LA KIELETRONIKI LA UWEKEZAJI (TeIW) Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji (Mb) ameagiza Kituo Cha...
0 Reactions
1 Replies
500 Views
Wadau kama kichwa kinavo jieleza apo juu.Ivi ni mchongo gan mtu unaweza wekeza kwa kutumia knowledge tu.Na ukawa unakutengenezea pesa bila ata kuhitaji kias kingi cha pesa kama mtaji.Au pacwepo na...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuadimika kwa Dola ya Marekani katika soko la Kariakoo kumewafanya Wafanyabiashara kumkumbuka Hayati Rais Magufuli, Dola Moja inabadilishwa kwa tzs 2,430 lakini Dola hiyo haipatikani mtaani...
25 Reactions
102 Replies
6K Views
WAZIRI DKT. ASHATU KIJAJI - TANZANIA INAJIPANGA KUACHA KUTUMIA FEDHA ZA KIGENI KUAGIZA MAFUTA NJE YA NCHI SERIKALI imekutana na wadau wa kuzalisha Mafuta ya kupikia kwa ajili ya kujadili...
1 Reactions
8 Replies
878 Views
Habari wana jamvi Poleni kwa shughuli nzito ya kujenga taifa Naomba kujulishwa kuhusiana na mitumba kwa mnyumbuliko huu Baro la mashati grade 1: a)bei b)kg c)piece zinakaa ngapi/ yaani...
0 Reactions
8 Replies
554 Views
Back
Top Bottom