Nataka mtu anishauri kwa undani how to become rich. Ninahakikisha hapa kuwa, kitakachosemwa nitakifanyia kazi na kuleta mrejesho hapa baada ya kufanikiwa.
Mbunge wa Jimbo la Handeni Mjini Mhe. Kwagilwa Reuben Nhamanilo wakati akichangia bajeti ya Wizara ya Maliasili na Utalii amesema Wizara isiwahesabie abiria kutoka Mkoa mmoja kwenda Mkoa mwingine...
Siku tisini (90) baada ya kufungua Biashara.
Habari wana JamiiForums, leo nimekuja kwenu kupata maoni kuhusu mwenendo wa biashara yangu hii niliyoianza siku 90 zilizopita.
Nilifikiria kuanza...
Kama kuna mtu ana uzoefu na biashara ya uuzaji wa nguo za kike za ndani kama vile chupi, sidiria, tight etc naomba anifungue natamani kuijua hii biashara imekua ni biashara nlokua naiwaza siku...
Habarini za wakati!
Basi niende kwenye ombi langu, ninaomba kujua kuhusu viatu vya spesho vya wanawake na watoto wadogo husani zile simple tu.
Nahitaji kujua bei zake kwa anaye chukua kwa...
Naomba kujuzwa taratibu za kununua kiwanja zanzibar zipoje. Utaratibu ni kama huku bara au kuna utaratibu mwingine!?
Ukizingatia na hili vuguvugu la muungano siombei uishe lakini je ikatokea...
Wafanya biashara mmeshawahi jiuliza changamoto mnazoweza kumbana nazo ktk huu mfumo mpya ulioboreshwa wa tin kuandika tin ktk manunuzi utakayofanya...tambua baadhi ya watu ambao umewauzia bidhaa...
VIKWAZO 10 VYA KIBIASHARA KUONDOLEWA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI
Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) zimekubaliana kuondoa vikwazo kumi vya kibiashara visivyo vya kiforodha...
Habari za wakati,
Ni matumaini yangu kwamba mu wazima na mnaendelea vyema katika utendaji wa shughuli zako na ujenzi wa nchi.
Leo nimeleta mjadala mfupi kuhusu maneno ambayo tumezoea kuyasikia...
WADAU WA MAONESHO YA 47 YA BIASHARA YA KIMATAIFA (DITF) MAARUFU KAMA SABASABA WAMESEMA MAONESHO YA MWAKA 2023 NI YA KIPEKEE - KIONJO CHA SABASABA EXPO VILLAGE
Wadau wa Maonyesho ya 47 ya Biashara...
Katika vitu napataga shida ni kwenye kuchagua vichwa vya habari ya thread ninazoanzisha kwahiyo ndugu zangu tuwe tunasameheana inapotokea nimeandka kichwa cha habari halafu content inapishana hapo...
Habari wana jamii forums.
Nipo na rafiki yangu yupo USA,mji wa califonia anahitaji kunitumis zawadi huku nchini Tanzania, anadai gharama za tozo ni kubwa nchini kwao kuja afrika as parcel...
Habari wapambanaji,
Mie nipo na fedha za kigeni ila nadhani muda wake ktk currently utilise kwema market umeisha, nauliza kuna uwezekano wa kuziexchange hizo fedha ktk pesa ya ndani tafadhali.
Kwa yeyote mwenye kuhitaji mahindi meupe naomba tuwasiliane.
Kiasi ni kulingana na mahitaji Yako ila si chini ya Tani 30.
Bei pia ni kulingana na bei ya soko Kwa wakati husika.
Habari zenu wakuu, Kwa yoyote ambaye anauzoefu juu ya biashara ya kuuza dawa za binadamu ,naomba ushauri, endapo nikifungua niwe na mtaji kiasi gani Kwa kima Cha chini kabisa, pia faida zake ...
Its not a trade-off
It used to be that big cars were safer while small cars were more economical. Thats no longer the case crash ratings for both new and used cars show that many small cars...
Kauli mbiu ni kufanya uzalishaji vijijini, na kuleta mauzo mjini. Kwa yeyote atakayependa wazo langu, anaruhusiwa kulitekeleza; elimu haina mwisho.
Nitaanza hivi:-
Nitafungua kampuni yenye jina...
Wakuu habari. Nafikiria kuanzisha kiwanda cha juisi za maembe, passion na miwa. Naomba mwenye uzoefu anisaidie kuwa pamoja na kuwa na matunda hayo, ni vitu gani vingine natakiwa kuwa navyo na ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.