Utalii wakutembelea mbuga za wanyama huenda ukawa haupendwi sana Duniani ukilinganisha na utalii wa Fukwe, utalii wa kutembelea mambo ya kale na hata kutembelea miji, au utalii wa matamasha...
Ukienda kukopa kwa hawa watu sharti lao la kwanza uwe unalipa kila siku ndani ya siku 29. Then riba ni 18%. Hawataki kwa mwezi wala kwa wiki ni daily.
Dhamana ya vifaa vya nyumbani kwako ni...
Habari zenu,
Nauliza hivi; wamiliki wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi wao wanapataje faida? Nimeuliza hivyo kwasasabu usajili wa Makampuni ya Ulinzi Binafsi unaongezeka kila kukicha na inavyoonekana...
Ni matumaini yangu hamjambo wakuu,
Moja kwa moja kwenye mada, nimefanya utafiti karibu biashara zote kubwa na ndogo aisee my friend biashara haitaki usamalia.
Hakuna mfanyabiashara kafanikiwa...
Ninaomba kufahamu kuhusu mradi wa miti ya mbao, ninawazo la kununua shamba na kupanda hiyo miti. Ninaomba kufahamisha kuhusu chochote kuhusiana na mradi huo kwa wenye uzoefu.
Inakaribia sasa wiki sasa bila taarifa kwa wateja channel za Upendo na Joy Tv zimeondolewa king'amuzi cha Azam.
Hii imetokana na nini? Anayejua atujuze tafadhali maana hiyo ilikuwa sababu...
Hello Waungwana wanaoishi nchini China, Nana mpango wa kuagiza gari Aina ya HOWO tractor Truck used pamoja na flatbed trailer , issue inakuja swala la uaminifu kwenye company ambazo ziko China ...
Rais Samia amesema mazao ya Mahindi na Mpunga Sasa ni rasmi mazao ya biashara sio ya Kilimo pekee kama hapo awali hivyo Serikali inayachukulia kama mazao ya kimkakati yanayoweza ingizia Serikali...
Habari wana Jamvi, ni matumaini yangu mpo salama kabisa, mnaendelea kuchapa kazi na kutafuta tonge
Katika uzi wangu uliopita nilizungumzia mbinu mbalimbali ambazo unaweza kuzitumia katika...
Ni jamii ambayo ilikuwa haijulikani lakini hivi karibuni kutoitambua ni sawa na kusema hakuna kitu kwenye chumba mlichomo na tembo, hata kwa wanaofunga mizigo yao soko kubwa kuliko yote nchini...
MAMBO YA MSINGI KABLA YA KUINGIA KATIKA FOREX TRADING
Ajira ni changamoto na tatizo linalokuwa siku hadi siku.Miongoni mwa vijana na watu wengi wamejiingiza katika biashara ya forex.JE HII AJIRA...
Habari ndugu zangu, mimi ni kijana nilijikita kwenye Software development sasa kuna app yangu nimeitengeneza sasa nina tafuta wawekezaji, nilikua nina uliza naweza kujiunga vipi na hawa sahara...
SERIKALI INA MKAKATI WA KUWAWEZESHA WAZALISHAJI WA POMBE ZA KIENYEJI KWA KUTUMIA TEKNOLOJIA YA KISASA
"Hadi kufikia mwezi Oktoba 2022 jumla ya leseni 43 za ubora zimetolewa kwa bidhaa mbalimbali...
Habari wakuu,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nina nyumba yangu ya kuishi sehemu ilipo nimeona panafaa kufanyika biashara ya lodge/ Gesti hivyo nipo kwenye mpango wa kumtafuta msanifu aje...
Je, unafahamu kuwa kupitia simu yako unaweza kupata msaada wa kufahamu ghalama mbalimbali za malekebisho ya simu bila hata kufika katika kituo chetu cha matengenezo CARLCARE SERVICE CENTER...
Habari wakuu,
Bila kuwapotezea muda kwa maneno mengi, ngoja niende moja kwa moja kwenye mada tajwa.
Naomba kupata ufafanuzi kwa anayejua namna ama hatua mpaka kupata kibali cha kufungua butcher...
Habari.
Mi mwenzenu sijui nikoje haya maimani ya ajabu ajabu yananipa shida sana huku duniani yaani huwa hata siwazagi haya mambo.
Sàsa mimi nina ela yangu msimbazi safi nahitaji kitu kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.