Wakuu hivi kwa location ya Songea kwa mtaji huo anaweza akafanya bize gani? Mi niliwaza afungue salon lakini yeye hajui kunyoa. Ndo ilipo changamoto hapo.
MBUNGE CHEREHANI AISHAURI SERIKALI IPUNGUZE KODI ZINAZOWABANA WANUNUZI WA TUMBAKU
Mbunge wa Jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani ameiomba serikali kuendelea kupunguza kodi zinazowabana wanunuzi wa...
MBUNGE MHE. SANGA - KUSHUSHA KODI YA NGANO INAYOTOKA NJE NI KUIFANYA YA NDANI IKOSE SOKO
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe, Mhe Deo Sanga ameiomba serikali kutopunguza Kodi Kutoka 35...
Wakuu habari za jioni
Naomba msaada wa kufahamishwa sehemu zinapopatika karatasi kubwa zinazotumika kutengenezea vifuko vya kufungia dawa (dispensing envelopes) kwa maeneo ya Dar es Salaam.
Au...
Wafanyabiashara wa electronics wanapitia changamoto kubwa ya bidhaa zao kutouzika kwa haraka kwasababu ya thamani kubwa ya bidhaa hizo mfano Refrigerator, Tv, Cooker, Washing Machine za kuanzia 1M...
Ndugu zangu
Nimenunua mahitaji haya:
Printer epson l850
Compyuta
Meza na kiti
Limu paper
Stapler
Counrer book kwaya 2,3 na 4
NAOMBA MNITAJIE VIFAA VINGINE ILI NIWEZE KUJAZA STESHENARI...
Hellow wazima wakuu, karibuni kwenye uzi wangu wa kujadili fursa za kiuchumi na uwekezaji kwa Mkoa wa Pwani na hususani maeneo ya Kibaha. Napenda kufahamu fursa za uwekezaji maeneo hayo je ni...
MBUNGE BONIVENTURA KISWAGA AISHAURI SERIKALI KUONGEZA KODI KWENYE MAFUTA YANAYOZALISHWA NJE
Mbunge wa Jimbo la Magu (CCM), Mhe. Boniventura Destery Kiswaga ameishauri Serikali kuongeza kodi...
Money (Pesa) ni njia ya kubadilishana ambayo kwa ujumla hukubalika katika biashara za bidhaa, huduma, au madeni. Inaweza kuwa katika fomu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na sarafu halisi (kama noti na...
Wadau nimeona serikali ikipokea gawio la hisa za Nmb bank na CRDB bank hivi karibu kama billion 45 hivi wadau kwa anayejua haya maswala ya hisa za hizi bank mbili ningeomba anifafanulie kidogo na...
Salamu,
Naomba kujua namna ambavyo Mzabuni anaweza kupanga Bei ya bidhaa wakati wa tendering. Je, Kuna Mwongozo WOWOTE wa kisheria au Kanuni?
Mfano ..Kama Bei ya nyama sokoni ni Sh.8000/ ,au...
Alikuwa mwajiriwa wa ATC, sasa anamiliki hoteli 5 za kitalii
WANAWAKE kwa muda mrefu wamekuwa wakiaswa kujituma na kujiamini ili waweze kufanikiwa katika kutimiza ndoto zao.
Kujiamini huko...
Kama ujumbe unavyojieleza nipo north Mara,natafuta mtu ambaye anamiliki krasha tuingie naye share,eneo la kuchimba Niko nalo na dhahabu inapatikana ,aliyeko serious anipm
Digital Marketing - moja ya mada zinazotajwa sana haswa katika fursa za mtandaoni. Wafanyabiashara wengi wanasifu kuwa ni njia muhimu sana katika ukuzaji wa biashara. Kitu ambacho vyuo vingi...
Haiwezekani kampuni iwakeze roughly $1trion kwenye uchumi wako wenye GDP $54bn wenye annual budget close to $2bn mtu afunge mitambo na mifumo yake ya kimataifa worthy $500m robo ya bajeti yako kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.