Kwa takribani wiki moja sasa kumekuwa na uhaba wa Sukari katika Mkoa wa Manyara. Hali hii imesababaisha bei ya Sukari kupanda Kwa Bei, ambapo kilo moja inauzwa Kati ya Sh.3500 hadi 4500.00.
Hivi...
Hii tabia nimeiona kwa watu tofauti tofauti, sijuwi wanafanyaje ili biashara zao ziendelee kuwa hai maana si kwa dharau hizi kwa wateja!!
Ni wale ambao ukifika dukani kwake hana hata muda wa...
SERIKALI YAPIGA MARUFUKU KUINGIZA MALIGHAFI YA CHUMVI KUTOKA NJE KWA VIWANDA VYA NDANI
"Mkakati wa Serikali kuvutia wawekezaji katika sekta ya Chumvi unaendelea ikiwa ni pamoja na kutenga eneo...
Wajuzi wa hili waseme neno!
Kuwa na jengo la kutoa huduma za vipimo vya afya, inalipa?
Kama mjuavyo watoto wetu wanagraduate na Hamna ajira!
Mzazi wa Sasa ana jukumu la kusomesha mtoto Kisha...
Wanajamvi habari,
Nilikuwa nataka kuweka pesa yangu kiasi cha shilingi milioni 60 kwenye fixed account NMB, kwa miaka miwili, je nitapata faida kiasi gani kila mwezi, kwa wazoefu naomba mnisaidie.
Takwimu ulimwenguni zinaonyesha kwamba zaidi ya asilimia 70 ya fedha zinazoenda kwa Asasi za Kiraia kama ruzuku hutolewa na mtu mmoja mmoja yaani "individual supporters" . Kufanikiwa kwa Taasisi...
Wajuvi hasa wa bank, ni kwango gani cha pesa ni limit ya mtu toka kwenye savings account na kwenda current account? kuna mtu kaniuliza swali na mimi sio banker.
Hello brothers and sisters. Poleni na harakati wapambanani wenzangu. Niwashukuru kwa msaada tunaopeana kwenye upambanaji.
Naitwa Abdul ni mwanafunzi niko NIT nimekuwa najihusisha na biashara ya...
Waheshimiwa nahitaji msaada kwenye hili, hivi inakuwaje mtu hauuzi kabisa dukani kwako kwa siku karibia 20 yani kila siku patupu tatizo linakua ni nini?
Binafsi nimefungua frame nauza mitumba ya...
Nimekaa chini nimepiga hesabu kutoka tar 20May mpaka Leo tar 16 June, wastani WA mwezi huo (28days), nimejikuta nimetumia kiasi Cha shilingi za kitanzania 70000, Kwa ajiri ya bundles hasa internet...
Habari Wakuu, msaada wenye uzoefu
Nahitaji kujua hii biashara ya kubani CD, kuingiza season na nyimbo nk vinavyoendana vizuri ikoje changamoto zake, Unahitaj kuwa Na vifaa gani Na inacost bei...
Mfanyabiashara maarufu Mohammed Dewji ameshinda tuzo ya Afrika ya mzalishaji bora wa bidhaa za viwandani.
Mo ambaye ni bilionea namba moja Afrika Mashariki na Kati alitangazwa mshindi jana...
Wakuu kichwa habari kinasomeka, nimeamua kujikwamua kwa kuanza kutengeza sabuni za miche, changamoto kuu nayoipitia ni upatikanaji kwa malighafii hii kwa gharama kubwa hasa ya mafuta.
Kiasi...
Habari wana jf Mimi nimkazi wa Arusha,
Kama kichwa kinavyojieleza Mimi nimuuzaji mdogo wa gesi mpaka sasa Nina mwaka katika biashara hii, kutokana na uhitaji wa kukuza biashara nimepata mtaji wa...
habar wakulima wenzangu na wafanyabiashara wa mpunga naomba kujua Bei ya mpunga Kwa mkoa wako ulipo.
Mimi Tabora, Nzega junia 95,000 - 100,000
Naombeni na wenzangu wamikoa mingne
Huduma za kuwasilisha Ritani na ulipaji kodi
KWA HUDUMA YA
HESABU ZA KODI (FINANCIAL REPORT)
RITANI ZA TRA (TRA RETURN) RITANI ZA VAT (VAT RETURN) SDL, PAYE, WCF
KWA HUDUMA YA
MAKADIRIO YA KODI...
Habari za muda huu, naomba msaada kwa anayejua namna ya kumpata mtu alienitapeli milioni karibia 15, mtandaoni, hyu bwana anasema anajishughulisha na uuzaji wa ream, tukakubaliana kua angetuma...
Habarini wakuu.
Eti zile pesa ambazo mabenki yanadai kama riba zinatoka wapi? Mfano, benki kuu ndiyo kwa mara ya kwanza imeanza.
Imechapa pesa, tuseme 100bilioni. imekopesha pesa hizo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.